Kisa cha Rich Mavoko na ushauri wa kuuza Ruby

Nafaka, ikumbukwe pia kufuata ushauri sio vibaya pia unaposhauriwa ni vizuri kupima kwa urefu na mapana huo ushauri sio kupuuzia tu

Kichwa cha serikali yangu iliyojengwa na watu
 
KWELI NDUGU..LEO MM SINA MKE
Dah mifano yko miwili ya kwanza imenisikitisha kukiko hata Maviko ukiyemlenga hapa kwenye uzi.Pole sana mkuu.pole sana ila usikaye tamaa.Na wish sana kusikia kama umweza kusimama tayar na maisha yako hii itakua poa zaid.Mambo ya mtoto na nini hayo yapo tu utapata na kwa early 30 bado hujachelewa sana.
 
Demu wake anaitwa fey mweusi Sana alafu mrefu alafu Hana mvuto na Kuna kipindi waliingia kwenye mzozo baada ya rich Mavoko kuchepuka na Gigy money.Huyo diva hajawahi kutoka kimahusiano na Mavoko Bali ukaribu wao ulikuwa wa kikazi ndo wakatoa ngoma moja hiv nimelisahau jina baada ya hapo kukawa hakuna ukaribu kiufupi Mavoko hajui kuchagua mademu wa kali huyo demu wake fey ukinipa ata nioe bure sioi shape Hana, sura ya baba.
Weka picha ya huyo fey tumuone, mavoko diva kapiga vizuri tu na demu hakuwahi kukataa sehemu yoyote, sasa hata huyo demu wa mavoko ukimpata utampeleka wapi wakati unalala sebuleni kwa shemeji yako? Au mavoko alikugonga hajakulipa hela yako?
 
Demu wake anaitwa fey mweusi Sana alafu mrefu alafu Hana mvuto na Kuna kipindi waliingia kwenye mzozo baada ya rich Mavoko kuchepuka na Gigy money.Huyo diva hajawahi kutoka kimahusiano na Mavoko Bali ukaribu wao ulikuwa wa kikazi ndo wakatoa ngoma moja hiv nimelisahau jina baada ya hapo kukawa hakuna ukaribu kiufupi Mavoko hajui kuchagua mademu wa kali huyo demu wake fey ukinipa ata nioe bure sioi shape Hana, sura ya baba.
huko sasa unapoenda sio
Au unataka Wewe ndo uwe dem wake mavoko? Achaga ujinga kijana..
 
Kuna ka ukweli fulani, ila mwanaume utashikiwa vipi akili na mtu au watu?
 
Dah mifano yko miwili ya kwanza imenisikitisha kukiko hata Maviko ukiyemlenga hapa kwenye uzi.Pole sana mkuu.pole sana ila usikaye tamaa.Na wish sana kusikia kama umweza kusimama tayar na maisha yako hii itakua poa zaid.Mambo ya mtoto na nini hayo yapo tu utapata na kwa early 30 bado hujachelewa sana.
Yes nilipambana sana. Mwaka 2013 nilikimbilia
Kuna ka ukweli fulani, ila mwanaume utashikiwa vipi akili na mtu au watu?
Kwani mwanaume ni Nani yeye siyo mtu.
 
Jamaa anaonekana kabisa hali yake si shwari..
richmavoko-20200202-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kipaji unacho kijana..leo unakwama wapi. Kwenye maisha usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha sana. Ona sasa wale jamaa zako waliokuambia jamaa hakufai anakuharibia ANAKUNYONYA. Ona sasa walisema anakunyonya umeona show ya fiesta unavyolipwa..ona wasivyokuwa hata busy na wewe tena. Leo huna hata hit songs upo upo tu mzee. Kijana siyo kila ushauri unachukua..

mavoko ni km mm.
1. Mwaka 2016 kuna rafiki yangu wa karibu alikuwa ananishauri nimuache demu wangu kwamba hajatulia..jamaa akadai kamuona maisha club akiwa na wana wengine mara kibao....Nikafata ushauri ..nikapiga demu chini demu alilia sana.. February, 2017 jamaa huyo huyo kamuoa demu aliyenishauri nimuache. Leo nina miaka 30 naokota mizoga tu sina mtoto wa maana. Siyo kila ushauri wa kufata. Na wamepata mtoto mmoja wanaishi Tegeta Nyuki. Leo naumia nilimuacha bank teller yule kiboya sana.

2. Nilimaliza chuo Mzumbe 2011 first degree, nikapata kazi ya muda jhpiego iliyopo pale karibu na victoria njia ya bagamoyo road. Mm nilikuwa research officer.. sasa jamaa wale walitupromise watatupa ajira within six months..sasa mpka mwaka ukaisha hakuna ajira ya kudumu. Ninaye anko wangu mmoja akaniambia ukimaliza mkataba wako wa mwaka 1 acha kazi chukua mafao yako ( gratuity) tukafanye biashara ya Ruby..aisee hakuna kipindi nilipata pressure km ile. Nikawa napigiwa mchoro wa kununua ruby na kuuza najiona km utajiri kesho tu..daah. Millioni 12 zangu zote mafao na saving zilivyoisha kwenye biashara ya ukichaa ya madini..Maisha haya basi tu. Wale jamaa zangu leo wameajiwa wote na waliongeza wengine.

siyo kila ushauri wa kuchukua.

Kuna mwana 1 anaishi Tabata anastudio juzi kaniambia Mavoko anastress sana wadau wake wote walimshika masikio wamemkimbia. Hata dada ake DOKII KAMKAUSHIA..WATANZANIA HAWAMINIKI. Mavoko alikuwa anaelekea kimataifa leo hata ndani hayupo mainstream.Sasa Hivi hata demu wale lulu diva hataki kumsikia mavoko.

WANASEMA BORA KIDOGO CHA UHAKIKA KULIKO KIKUBWA AMBACHO HUKIJUI.
Tumshirikishe Mungu kwenye kila ushauri tunaopewa na tuishirikishe sana akili zetu. Hisia ukifata utapotea.
Pole Mavoko. Kutake risk ni vyema but kwakutumia Akili.
Una series ya blindspot hapo ?
 
Back
Top Bottom