Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

Hili zee lililoleta uzi huu ni lidini na mtu mzima ovyo yupo radhi amsaidie Mwarabu anayemuita nyani kisa muislamu na kuacha kumsaidia Mwafrika mwenzake kisa sio muislamu.. Hawa watu hawataki kuongoza nchi
Edwayne,
Nionapo mtu ameghadhibika anatoa matusi mimi humkwepa.

Hatoniona tena kumjibu.

Nasimamisha mjadala na wewe hadi utakapo rejea kwenye mjadala wa heshima na adabu.
 
Edwayne,
Kwa kweli si adabu kumwita mtu "We fulani," khasa unapojua kuwa huyo unaezungumza nae ni mzee kama mie au ni mtu mzima wa makamo.

Adabu ni kitu cha bure.
Hii ni dalili ya kibri au kuwa umeghadhibika.

Mimi sijasema nimepigania uhuru.

Waliosimama dhidi ya ukoloni ni babu, bibi, baba, wajomba na shangazi zangu na nimeandika kitabu kuhusu historia hii.

Hawa ndiyo waliounda African Association na TANU wakapigani uhuru wa Tanganyika kuweka haki na usawa kwa watu wote.

Nilichoweka hapo kinaonyesha hali iliyopo nchini.

Wafuasi wa dini moja wamehodhi uongozi.

Hii ni fitna.

Inaelekea hujui tatizo linalokabili nchi yetu au hupendi kuona mgawanyo wa haki kwa waumini wa dini zote.

Ikiwa hujui ukweli huu hutoweza kujadili.
Mzee nisamehe kwa kauli zangu ni kuteleza kutokana na hasira tuu.. Kwahiyo kigezo cha kuwa kiongozi Tanzania ni dini na sio uraia wa Mtanzania na uafrika wake
 
Mzee nisamehe kwa kauli zangu ni kuteleza kutokana na hasira tuu.. Kwahiyo kigezo cha kuwa kiongozi Tanzania ni dini na sio uraia wa Mtanzania na uafrika wake
Ed...
Hili limeshapita tuendelee na mjadala ili jamii inufaike na fikra zetu.

Inapokuwa serikali imehodhiwa na wafuasi wa dini moja kwa kipindi chote toka uhuru na wafuasi wa dini nyingine wako nje ya serikali na fursa zote lazima watu watajiuliza kwa nini iwe hivi?

Tuanze hapa sasa wewe badilisha hii hali katika hizo kurasa mbili pale walipo Waislam waweke Wengine na jiulize wewe uko upande wa pili kweli ungeridhika kuwa kwa kuwa Wengine ni Watanzania na Waafrika hali iendelee kuwa hivyo hivyo kwa zaidi ya miaka 50?

Lakini nataka nikuonyeshe kitu katika hii fikra ya ''Lizee,'' ikusaidie kuyaona maisha kwa uhalisia wake:

1624300954298.png

Mohamed Said Mtaa wa Kipata/Livingstone, Dar es Salaam 1953

1624301070466.png

Mohamed Said Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, 1966

1624301372476.png

Mohamed Said Magomeni Mapipa Ijumaa iliyopita 18 June 2021 Dar es Salaam.

Huyu kijana nadhani ni umri sawa na wewe ni mtengezaji filamu alifika kwangu kuniomba mahojiano ya documentary anayofanya.

Si mgeni nyumbani kwangu.

Tafakari hizi picha tatu za ''Hili Lizee.''
 
4by...
Hawa vijana si mimi ninaowafahamu mji mzima wa Tanga wanafahamika kwa ubinadamu wao kama nilivyoeleza.

Sheikh Chambuso aliachiwa na mahakama.
Sheikh Kidege huu mwaka wa pili ushahidi haujaletwa mahakamani.

Nkuulize Unafahamu nini kuhusu UGAIDI?
 
Nkuulize Unafahamu nini kuhusu UGAIDI?
4by...
Nilialikwa University of Ibadan na nilitoa mada kuhusu ugaidi na uhusiano wake na siasa za Tanzania.

Naingia Maktaba kutafuta link niiweke hapa kwa manufaa yetu sote:

4by...
Nilialikwa University of Ibadan na nilitoa mada kuhusu ugaidi na uhusiano wake na siasa za Tanzania.

Naingia Maktaba kutafuta link niiweke hapa kwa manufaa yetu sote:

Nkuelimishe mkuu Gaidi hana mwonekano maalumu , anaeza akaishi ktk jamii Z akiwa na wasifu X ila kumbe ni Gaidi , na Gaidi si lazima ashike mtutu bali kushiriki tu ktk kuhakikisha ugaidi unafanyika basi na ww ni Gaidi mf kuhamasisha ajenda zeny ishara hasi ktk jamii mf kuhamsisha udini , ukabila na uchama nk pia kuwa shushushu wa kikundi cha kigaidi , kuwa wakala wa usajili wa nguvu kazi ya vikundi vya kigaidi , kuwa mfadhiri wa ugaidi either kufedha , chakula , maradhi hata kitalaamu , pia kuwa kiunganishi chao kati kikundi P na R , na kuwa muumin wa itikadi zao , mwanakikundi au hata mshiriki wa tukio la kigaidi , Hivyo usipende kumtetea mtu ungali haulali nae , kama ameonewa basi hao viongoz wa imani moja na hao watuhumiwa wangesaidia maana ukiitizama serikali yetu waislam ni wengi sana kuanzia ngaz za juu tofaut na mnalishana matango pori misikitin eti serikali ya wakatoliki ( propaganda za wale jamaa wa msumbiji ambao wanapambana kutumia upeo wenu mdg ili waje waichafue Tz ili iwe km Somalia , Yemen , Libya , Iraq , Syria , na Msumbiji kaskazini)
 
Una ghera ya kujadili hili somo lakini naona unahitaji maarifa kwanza.
 
Huyu mzee Mohamed huwa anaandika upumbavu mtupu ila ajue vyombo vya usalama vya Tanzania viko makini sana. Huu udini anaoueneza hautafanikiwa. Na katika mambo mazuri aliyowahi kufanya mwalimu Nyerere ni kufutilia mbali lile kundi la wazee wa Kariakoo linalojinadi kupigania uhuru. Wangeachwa wangesumbua sana. Tumpuuze huyu Mzee Mohamed kama condom iliyotumika.
 
Mi katika vitu huwa nashangaa binadamu ni kuamini mambo ya mbinguni..kwamba akienda huko atapewa "mahurulain" 40 sijui 100. Awe anafanya nao mapenzi tu. Sijui Mara huko kuna mito ya maziwa na asali inapita mtu anajichotea anakula. Yan story za kijinga kijinga nyingi! Mbinguni ni wapi huko? Maana sayansi imeprove kuwa nje ya sayari ya dunia ni sayari zingine tu na hazikaliki. Jambo la msingi mtu ni kutenda mema na kuwa na upendo. Sio mpaka uahidiwe wanawake wa kwenda kulala nao ndo uanze kuhangaika..
 
🤣🤣
 
Tanga hasa maeneo ya Handeni na kule Amboni kwenye mapango mmnh!

Serikali izidi kuimarisha udhibiti (Controls) ambazo zitawawezesha ku detect uharifu wa kigaidi kabla ya kutokea na kuleta madhara makubwa.

Nazani wawe makini hata kwa maeneo mengine Pia yasiyo na viashiria kwa tahadhari zaidi.

Wazidi kuwa proactively.

Nani angejua mwanafunzi wa Kule Dodoma Bihawana angefundishwa Ugaidi?

Wakasema alikuwa haingii darasani muda mwingi alikuwa msikitini.

Mama yake mzazi akiongea kwa masikitiko makubwa na majonzi mazito.

Mzazi anajua mtoto kaenda Shule kusoma kumbe?!

Yule Mtanzania alokamatwa chuo kikuu Garisa nchini Kenya?!

Na haijulikani kama akifundishwa peke yake au kuna wenzie wengine of which is most likely!

1672339643479.jpeg

Hii sura imekaa kigaidi.
 
4by...
Una ghera ya kujadili hili somo lakini naona unahitaji maarifa kwanza.
Ugaidi wa mtu haupimwi kwa kumtizama usoni.
Wala kwa kuona anavyo wasaidia watu wengine.
Magaidi huwa wanakuwa wema sana usoni pa jamii ili wasigundulike kirahisi.
Ni mbinu na wanaisomea.

Mimi nina swali dogo
Hivi hawa baadhi ya vijana wa Kiislamu wanaingia kwenye Ugaidi Mzee saidi, unawashauri nini ?

Tumeona tukio la Mabomu Ubarozi wa Marekani wa hapa Tanzania Kujana Mtanzania Mwislamu alihusika.

Ugaidi wa chuo kikuu cha Garinsa Kenya vijana wa Kiislamu wakitanzania walihusika.

Ugaidi wa Kibiti, Mkuranga, Rufiji, Tanga, vijana watanzania wa Kiislamu walihusika.
Tena hayo maeneo yoye yanakaliwa na Jamii ya Kiislamu.

Hili swala unachukuliaje Mzee saidi, ?

Kuna juhudi zozote unazozichukua kama mwandishi na mtetea haki za waislamu kuwaelimisha vijana wa kiislamu kujiepusha na maswala ya Ugaidi wa kidini ?
 
Che...
Kiasi cha kama miaka miwili iliyopita alikuja Mzungu mmoja nyumbani kwangu baada ya kunipigia simu na kuomba miadi.

Nilimkaribisha.
Alichotaka kuzungumza na mimi ni suala la ugaidi.

Mimi nikamuuliza mambo ya ugaidi yananihusu vipi mimi kiasi atake kunihoji?
Jibu lake akaniambia kuwa amekuja kwangu kwa kuwa mimi ni ''msomi,'' katika jamii ya Waislam.

Huyu bwana akanifahamisha kuwa yeye ni mtaalamu wa mambo ya ugaidi na ametokea Msumbiji na alikuwa Rufiji na sehemu nyingine za Tanzania ambako kumekuwa na ugaidi.

Akanihakikishia kuwa ugaidi uko kwa hakika Tanzania na upo ushahidi.
Mimi swali langu likawa moja tu.

Ikiwa kweli upo ugaidi na sisi Waislam ndiyo wahusika wakuu Tanzania kwa nini hakuna hata kesi moja mahakamani iliyotolewa hukumu?

Nikaendela kumweleza kuwa tunachosikia ni kuwa magaidi wameuawa.
Vipi gaidi atauawa bila ya kufikishwa mahakamani?

Sikupata jibu la kuniridhisha.

Baada ya mazungumzo haya na huyu Mzungu nikaandika makala kueleza yote niliyozungumza na huyu mtaalamu wa ugaidi na nikaweka picha yake.

Makala ilipotoka huyu Mzungu akanipigia simu akionyesha hofu kubwa na kunilaumu kwa nini mazungumzo yetu nimeyaweka bayana.

Jibu langu kwake likawa sikujua kama alikuja kwangu kwa siri na kama ningelijua alitaka mazungumzo yetu yawe siri mimi ningemkatalia kuzungumza na yeye kwani baina yangu na Waislam hakuna pazia.

Nina wajibu wa kuwaeleza kila nilijualo kuhusu wao.

Ahmada na Chambuso ni vijana ambao nimewajua kwa karibu sana na wao ni walimu wanasomesha Qur'an watoto wadogo hadi leo.

Hawa walikamatwa kwa nyakati tofauti kwa shutuma za ugaidi.

Wamewekwa rumande kwa muda mrefu na mwishowe Mahakama imewaacha huru kwa kukosa ushahidi.

Wamewaumiza watu kwa dhana tu pasi na ushahidi.
Naamini unaijua vyema kesi ya masheikh wa Zanzibar waliowekwa rumande kwa miaka 8.

Mahakama imeaacha huru kwa kukosa ushahidi.

Hii ndiyo hali tuliyokuwanayo hapa kwetu.
Umenitaja kama mtetea haki za Waislam.

Mimi si mtetezi wa haki ya yeyote awaye yule.

Nimepata kutoa mada kuhusu ugaidi Chuo Kikuu cha Ibadan, Nigeria kuhusu ugaidi.

Mada hii nakuwekea hapo chini ni ndefu na ya Kiingereza kwa bahati mbaya.

Mada hii iliniletea matatizo makubwa hadi kupelekea kukamatwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere nikitokea Tehran, Iran ambako nilialikwa kwenye mkutano.

Nimepitia kwa haraka mada yako na naiona inaongea kama unavyo ongea hapa.
Kifupi inaongea kuwa waislamu wanaonewa katika swala zima la ugaidi.
Sababu mojawapo unasema ni mtazamo hasi dhidi ya dini yaani
Islamophobia.

Naweza kukubaliana nawewe
Lakini tujiulize
Hii Islamophobia imetoa wapi ?
Kwanini iwe kwenye uislamu pekee na sio dini nyinginezo ?
Je katika uislamu hakuna ugaidi kabisa ?

Uli kuthibitisha vitendo vya kigaidi tuaona inachukua muda mrefu kundesha kesi ili kujiridhisha.

Mfano kesi ya kijana gaidi wa kitanzania Muhammed Ghailan aliyeshiriki ktk mlipuko wa ubalozi wa Marekani ilichukua muda mrefu ili kukamilisha ushahidi.
Mwisho akabainika ni gaidi.

Katika tukio la Garisa kijana wa kitanzania mwislamu alikamatwa live kwanye tukio.
La ingekuwa ngumu kumthibitisha kama gaidi kama angefanikiwa kutoroka.

Je leo tunawajuaje akina Ghailan waliojificha katika jamii yetu ?
Ikiwa Marekani yenye kila ubora wa maswala ya upelelezi inawachukua miaka kuwabaini

Swali nililo kuuliza ni kuwa kumethibitishwa baadhi ya vijana wa kiislamu wa kitanzania kujiunga na vikundi vya kigaidi vinavyojitambulisha mfano Al-Shababu. Kwa mitizamo ya Kidini tu.

Je hao vijana wa kiislamu ambao wanazidi kujiunga na hivyo vikundi, kama Mzee mwislamu mkongwe.
Na jamii ya Kiislamu za hapa Tanzania

Ni hatua zipi zinachukuliwa ili hao vijana wa kiislamu wasizidi kuongezeka kujiunga na vikundi hivyo ?
 
Ungesoma paper niliyotoa University of Ibadan ungepata majibu yote ya hayo uliyosema hapa.

Vijana gani wa Kiislam walio magaidi?
Unajenga hoja kwa kijana mmoja aliye Garissa?

Usiingie uvivu.

Umelileta swali hili la ugaidi soma paper yangu.

Kwa nini Mahakama za Tanzania hazijatoa adhabu kwa watuhumiwq wa ugaidi?

Soma paper ujue upande wa pili wa kadhia hii.

Hii paper ndiyo iliyosababisha Wamarekani waifahamishe serikali msimamo wa baadhi ya Waislam kuhusu dhana ya Ugaidi nchini na ikapelekea mimi kuzuiwa uwanja wa ndege kwa mahojiano na vyombo vya usalama.
 
hata abduli rogo alisema kama hivi na mwisho wa siku !.
serikali ikose wote wakupoint wewe tu .
 
Che...
Ungesoma paper niliyotoa University of Ibadan ungepata majibu yote ya hayo uliyosema hapa.

Vijana gani wa Kiislam walio magaidi?
Unajenga hoja kwa kijana mmoja aliye Garissa?

Usiingie uvivu.

Umelileta swali hili la ugaidi soma paper yangu.

Kwa nini Mahakama za Tanzania hazijatoa adhabu kwa watuhumiwq wa ugaidi?

Soma paper ujue upande wa pili wa kadhia hii.

Hii paper ndiyo iliyosababisha Wamarekani waifahamishe serikali msimamo wa baadhi ya Waislam kuhusu dhana ya Ugaidi nchini na ikapelekea mimi kuzuiwa uwanja wa ndege kwa mahojiano na vyombo vya usalama.
Mzee unamtizamo wa upande mmoja tu.
Labda kama unaizungumzia Tanzania pekee.

Dunia na Africa tunawashuhudia baadhi ya magaidi wakijambulisha wenyewe kabisa kuwa ni Wakiislamu na wapo kwa ajiri ya kulinda maslahi ya Uislamu.

Moja ya makundi maarufu yaliyoko Africa ni ASIS, Boko haram, Al-,Qaida na Al-Shabab.

Mzee una uhakika kuwa hakuna mwislamu mtanzania ambaye yupo kwenye hayo makundi ?

Makundi ambayo yanawafuasi katika nchi zote za Kiafrika na hasa zenye Waislamu wengi.

Kama watanzania wapo, je wanatambulika kwa alama gani ?

Kama huwezi kuwatambua, ni vipi ueleze kuwa watu flani hawawezi kuwa magaidi ?

Hali yakuwa hawana alama rasmi ?

Ukimtizama gaidi usoni au anavyo ongea unaweza kumtambua ?

Tanzania kama nchi nyingine za afrika ina baadhi ya raia wake kwenye makundi karibu yote yanayo jiita waislamu wenye itikadi kali, yaani magaidi.

Serikali inayo mamlaka ya kumkamata mtu yetote atakayeshukiwa kuwa na kosa lolote lile na kumhoji, ikiwemo kosa la ugaidi.

Ninacho penda kuongea ni kwamba.
Nyumba za ibada zifundishe maadili mema kati yao wenyewe na wao na majirani zao.
Wazee kama Mzee wetu kipenzi
saidi,
tuendelee kuwapa mafundisho ya kutenda mema wajukuu zetu na jamii kwa ujumla.

Swala la nani ni nani tuziachie mamlaka husika zenye nguvu ya kufanya uchunguzi.

Ila kumbuka Mzee kuwa.
sio wenye hatia wote hupewa adhabu na serikali.

Wengine huachiwa baada ya kuona wanaonesha nia ya kutubu yaani kujutia makosa yao na kuahidi kuto yarudia.
 
Sasa kile kitu najiuliza kwanini makundi karibia yote ya ugaidi ni ya kiislam? kwanzia al qaida, alshabab, isis na hata boko haram? bona hatujawai kusikia kundi lolote la kigaidi la kaa wakiristo, budhaa na wengine,Najua hii itawauma sana waislamu lakini ukweli ni kuwa hii kitabu cha dini ya kiislam, mambo mengi mabya, kaa kulipua mabomu ya kujitoa muhanga, kuua makafili(wale wasioamini dini ya kiislamu na mengine mengi) jiulize kwanini mataifa kaa ya huko warabuni kaa saudi arabia ukiwa wa dini kaa mkiristo adhambu ni kifo? jiulize kwanini huwezi kuta kitu kaa kanisa mahali kaa kuwait na saudi? jiulize bona huko pakistani na mataifa mengine kubadilise dini toka uislamu na kujiunga na dini ingine adhabu ni kifo, au hata kusema vibaya kuhusu mohhamed adhabu ni kifo, kule pakistani **** mama moja mkristo alisingiziwa ati amemutukana mtume mohhamed kahukumiwa kifo, kakaa jela miaka 9 kisa mahaka ya juu ikamuachilia lakini waislamu wakaleta hujo kutaka kumuua mpaka yeyena jamii yake wakatorokea kaifa moja sitalitaja sababu ya usalama wa huyu mama mkristo.bona mataifa kaa pakistan wanateka mabinti wadogo wa kikiristo wana walazimisa kuwaoa na kuwangeuza kuwa waisilamu, ??????? angalia hata jirani yetu musubiji zile kundi la kigaidi la kiisilamu linaua watu bila huruma huko cabo delgado, angalia nigeria, mali, burkina faso, niger vile makundi ya kigaidi ya kiisilamu yanaua wakiristo na hatujawai sikia kundi la kigaidi la kikiristo au dini ingine, kwa maoni yangu iko shida na mafudisho ya kiisilamu
Ukisoma vyema kuhusu tafsiri ya neno Hili ugaidi utagundua Russia,us, NATO na hata Rwanda Ni mataifa ya kigaidi.
Ni ajabu kwamba uislamu kwa miaka hasa ya baada ya Vita baridi umenasibishwa na ugaidi.
 
Miaka ya utotoni shuleni , alikuwa akituhubiria dini mwanafunzi mwenzetu aliyetutangulia darasa. Ye form six si form three enzi hizo. Nilikua nikienda humo kusali na baada ya Sala akitoa nasaha Hapa na pale basi mwenzetu Yule alikua charismatic Sana. Akiongea Yale ayaongeayo watamani kuyatekeleza kwa uharaka.
Katika siku flani akaanza katika hotba zake kuchomekea chuki dhidi ya wengine. Na Kwamba sisi tunaonewa Sana. Ohh huko niliendaga kusoma maza alinikataza kujihusisha na makundi yoyote hasa hata Yale ya kutetea maslahi yetu kibabe.
Basi sikukuu flani ya idi Yule bwana akatuwekea katika screen ( sikumbuki Ni ya tv au PC) video moja ya shekh kavaa kibarghashia, half combat ya kitopu Cha bakabaka flani hivi Cha mtumba, kanzu, pamoja na Smg pembeni yake.
Yule shekhe kideoni alikua akiongea kiswahili Cha Kikenya flani hivi akihamasisha hiki na kile juu ya uonevu dhidi ya dini na hasa akituomba kiushawishi tuchukue hatua dhidi ya Mambo kadha wa kadha aliyosema.
Ah Mimi isitoshe kwetu Ni mbali Sana na niliposomea ikawa mi nasali na kusikiliza kama redio na kutembea. Nikasoma nikafanya mtihani nikatembea.
Baada ya kuona Hili nikakumbuka stori hii
Ni miaka 22 Sasa tokA Jambo hili litokee.
 
Maza asipokuwa na awareness ya hao jamaa wa imani yake watampelekesha mkuku mpaka achanganyikiwe!

Awareness is empowering.

Hawaishiwi madai.!

Na hivi wanajua ni Mama wanachukulia atakuwa mtu wa ku thympasis kirahisi.

Nchi hii wanaoleta matatizo ni wakristo. Walianza kwa kuivamia Zanzibar na kuuwa maelfu ya watu chini ya kinara wao Laanatullahi Nyerere.

Na mpaka leo vita wanaiendeleza kwa kulazimisha kuweka kibaraka wao kila uchaguzi unapofika .

Hivi vita dhidi ya uislamu haviwezi kuisha kwani wakristo wanalazimisha waislamu waingie kwenye dini yao kwa kutumia mbinu badala ya hoja , kwani hawana .
 
Back
Top Bottom