Kisa cha kweli: Mama wakwe wengine pasua kichwa

Kisa cha kweli: Mama wakwe wengine pasua kichwa

Mkuu kupeleka matumizi ni kurahisisha kuongeza mtoto mwingne maana ataaga naenda kumwona mtoto

kama ni wewe utaruhusu awe anaenda kumwona mtoto kila wakati usalama wa ndoa yako itakuwa na usalama kiasi gan
aende apeleke matumizi msaliti msaliti tu achungiki..ila akiongeza watoto sina pressure nae bila na yeye nitamtia adabu kwakweli
 
Ni kisa cha ukweli kabisa na hii ndoa sasa IPO mashakani.Hivi nachokifanya huyu mkwe ni sawa au yupo nje maadili.

Ni hivi huyu mama ana mtoto wa kiume ambae ameoa mwaka 2005 katika miaka ya elfu mbili na kumi mke huyu jamaa alipata mtihani wa maradhi ambayo aliumwa kwa muda wa miaka mwili.KAma unavyojua mwanaume akawa anachepuka pembeni mpaka akamtia mimba mwanamke mwingine na wakazaa mtoto wakiume muda huo alishazaa na mkewe mtoto mmoja na hawakuwa wameachana isipokuwa mke alikuwa anatibiwa maradhi yaliuyokuwa yanamsumbua ya kiswahili.MW mungu akajaalia mke akapona.

Sasa hapa utata uliokuwepo ndugu wa mume wanamsema huyu Dada kwa nini anakataa kulea mtoto wa mumewe na anashutumiwa ana roho mbaya sana.Jamanii hivi kweli ni sawa mwanaume kukuletea mtoto aliyakuwa mpo wote hamjaachana ila yeye kachepuka ni sawa kweli kwa nini huyo mtoto asilelewe na mama yake.yote tisa kumi

Huyu mkwe amejifanya kwenda kumchukua yule mtoto kinguvu ili tu amkomeshe mke wa mwanae amlee yule mtoto.baada ya kuona yule Dada amemkataa mama mkwe kwa vishindo akajifanya kumng'ang'ania yule mtoto amlee yeye eti na unataka yule mke wa mwanae kila wiki akamfulie yule mtoto.

Na anachokifanya anamtumia huyu mwanamke aliyezaa na mwanae kumrusha roho mke wa mtoto wake.basi neno si neno kapigiwa simu huku ukweni kwa sababu kazaa na mwanae.

Wiki kazaa zilizopi eti kapigiwa simu mtoto wake kamaliza chekechea wafanye sherehe alafu mkwe ndio yupo Benet na yule aliyezaa namwanae.DAda wa watu uvumilivu umemshinda ilibidi aulize kwani mama dhamira yako nini kwa hayo unayoyafanya au ndio unaamua kumletea mwanao mke wa pili..mama wacha ajilize katukanwaaa..basi mume wa mtu alivyoambiwa na mama yake mkeo kanitukana karudi kwake kafura na talaka kaandika tayari lakini bado anatembea nayo tu mfukoniii😀😀😀 bado ajamkabidhi anatishia kumuacha.

Hivi wiki sasa inafika nyumba yao aina amani kila MTU anaishi kimpango wake ..kwa sababu ya fitna za huyu mama mkwe..

Sasa najiuliza maswali haya

1 Haoni alipokosea mwanae kwenda kuchepuka mpaka kuleta mtoto akiwa na mke tayari

2 Na kama kosa lishatokea tayari kwa nini amkumbatie hivyo huyo mwamke aliyedhini na mwanae .kama kweli lengo mjukuu wake kwa nini asiendelee kukaa na mjukuu wake bila kuleta mbwembwe zote hizo

Tena huyu mama mkwe wa huyu Dada mume wake miaka ya nyuma alichepuka pia kaja kujua mtoto wa mumewe amekuja akiwa binti wa miaka 25 mkubwa mzima na chozi lilimtoka kwa nini mumewe alichepuka iweje unaona kitu nahisi kwa mwenzie kama yeye MTU mzima nauvumilivu ulimshinda.

OK nisiwachoshe hivi kwa upande wenu mnamchukuliaje mama mkwe wa aina hiii.

Huyo Mama mkwe sioni kosa lake hata moja, kakataa lea mtoto, kaamua kumlea!
 
Kabisa bora umweleze tu maana hapo anaonekana kaongea tu kiushabiki lakini ukweli anaujua
Hawa wanaume wasiojua kufunga zipu zao wanaleta changamoto sana kwenye maisha, hapo ndugu wa kiume wote wapo upande wa ndugu yao inaonekana mke hana maana tena yaani ana roho mbaya wala hawayageuzi haya mambo nakujiuliza ingekuwa wao.
 
Wewe tunafanana akili na ndio sheria mtoto anayezaliwa nje ya ndoa baba hana haki na huyo mtoto yoyote yule ni mtoto ni wamama kwa kila kitu isipokuwa kibinadamu tu anaweza kumsaidia kumlea lakini si mtoto wa baba huyo ni Mali yamama peke yake na wajomba zake na bibi zake upande wa kwa mama yake .na mwanamke ana uwezo wa kuamua lolote kwa mtoto huyo bila kumshirikisha mwanaume aliyezaa.
Huyu mama mkwe ana kiherer here na mfitinishaji wa ndoa ya mtoto wake kwa kiherer here chake.na mtoto huyu hana urithi wowote kwa baba isipokuwa baba anaweza kumpa chochote akiwa hai Tena kirafiki tu.
Swadakta kabisa.
 
Kwa uislam huyo mtoto alozaliwa kwa mchepuko si wa mwanaume.
Kama atamhudumia basi anatoa msaada wa kibinadam tu.
Hivyo MKE wa ndoa hana wajibu wa kumtunza huyo mtoto kwa namna yeyote ile kwa sababu sheria za kidini zinamlinda.

Pili mama mkwe anazidi kushadadia UZINZI wa kijana wake,nae hesabu zake ziko palepale,mtoto amezini hadi amezaa na yeye anajichetua,nae kama ameamua kumlea "Mjukuu" basi ni kwa utashi tu wa kumsaidia binadam mwenzie sio mtoto wa mwanae,
Mjukuu wake halali ni yuleee alozaliwa ndani ya ndoa.

Ndugu nao wanacheza ngoma sawa na mama mkwe nao ni wa kupuuzwa.

Kuhusu maradhi,uislam umeruhusu kama mke anaumwa hasa maradhi yasiyoponyeka basi MUME anaruhusiwa kuoa mke wa pili,lakini si KUCHEPUKA.
Isipokuwa ulimwengu leo umechukulia kawaida ndo maana hata hili la jamaa linaonekana la kawaida sana.
Kupitia kisa hiki ndo maana waislam walipaswa kuwa na KADHI,haya masuala ni ya kisheria zaidi ambayo mahakama za kisekula haziwezi kuyatatua.
Tanbihi:Nimeongelea hili kama ni ndoa ya KIISLAM.
Wassalam
 
nimekuelewa mkuu upo sahihi kabisaaa
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Huna Kazi?Fuata yako achana na ya watu!kama ni wewe yamekukuta kuwa muwazi.
 
Sio kitu kizuri kwa kweli.....

Kama uliyoeleza ni ya kweli!!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mimi mwanaume anifanyie hivi nijue ....sitaondoka bila akae akijua na yeye atalea watoto wa mwanaume mwenzie japo wawili katikaa uzazi wangu kama nimezaa sita akae akijia wanne watakuwa wake wa halali wawili imekula kwake.......mjue wanaume msitufanye kama sisi wanawake tumetolewa nyongooo mnavyoumia nyie na sisi hivyo hivyo
Huwezi kupamnana na mume wako katika maisha hapa duniani ukae ukijua na wanaume tumeumbwa kuoa wake wengi ila nyie ni mume mmoja tu!!
 
aende apeleke matumizi msaliti msaliti tu achungiki..ila akiongeza watoto sina pressure nae bila na yeye nitamtia adabu kwakweli
Utamtia adabu mara ngapi wakati nyie mkianza kuchepuka akili zote mnazihamishia kwa mahawala wapya mwishowe unagundulika kwa mumeo kirahisi na ndoa kwisha lkn mimi kunigundua kama ninachepuka inaweza kukuchukua hata miaka 2
 
Back
Top Bottom