Una masihara wewe!Kwani angepoga punyeto hizo shahawa zinazomsumbua zisingetoka mpaka apate kitobo
Hivi we unadhani mwanaume yuko na mkewe waachane miaka miwili kweli mwanaume gani huyo asichepuke? Huyo mwanamke akubali tu kwamba wakati ye anaumwa mumewe alijihudumia akabahatika akapata na mtoto wamlee.......hata we mumeo huwez kuumwa/kuondoka miaka miwili akakaa tu bila kupata kamchepuko lazima achepuko wala si kosa la mwanaume hilo ni kawaida ya ubinadamuBhana vyovyote itavyokuwa mtoto wa kuletewa hali ya kuwa ww upo kwenye ndoa inauma yahn hiyo anakuthibitishia kwamba yeye anachepuka na kinga hatumiiii...kwa Mimi sitaki kuwa mnafki hapo ukweli naujua mwenyewe....mnikimkuta nae hapo sawa
Huwezi tumia condom miaka miwili yote naamini hata we huwezi!!Condom azijuii
Mwanaume hana limit ya idadi ya wanawake unapaswa ujue hilo ila nyie wanawake mna limit ya mume mmoja tu!!Hizo busara angeanza kutumia yeye kwanza mwenzie anaumwa yeye anawaza k tu pili anhekumbuka na condom pia...kwa hiyo ata yeye pia alikosa busara za kuheshimu ndoa yake
Mwanaume hana limit ya idadi ya wanawake unapaswa ujue hilo ila nyie wanawake mna limit ya mume mmoja tu!!
Tatizo ni jamaa sio mama Mkwe. Unajua wanaume wengine sijui uanaume wao uko wapi .. Hakuwa na sababu ya kumtesa mtoto wa watu (mke wake) maana ana Moyo tena unamuuma haswa. Yeye ndo ameruhusu mama yake amtawale yani kifupi wote ni kama bado wana mambo ya kitoto hawajakua wala kupevuka kiakili. Siku mume akishtuka tayari mambo yatakua yameharibika. Wanaume tusiwatese wenzetu kama wanatuheshim na kutujali.Ni kisa cha ukweli kabisa na hii ndoa sasa IPO mashakani.Hivi nachokifanya huyu mkwe ni sawa au yupo nje maadili.
Ni hivi huyu mama ana mtoto wa kiume ambae ameoa mwaka 2005 katika miaka ya elfu mbili na kumi mke huyu jamaa alipata mtihani wa maradhi ambayo aliumwa kwa muda wa miaka mwili.KAma unavyojua mwanaume akawa anachepuka pembeni mpaka akamtia mimba mwanamke mwingine na wakazaa mtoto wakiume muda huo alishazaa na mkewe mtoto mmoja na hawakuwa wameachana isipokuwa mke alikuwa anatibiwa maradhi yaliuyokuwa yanamsumbua ya kiswahili.MW mungu akajaalia mke akapona.
Sasa hapa utata uliokuwepo ndugu wa mume wanamsema huyu Dada kwa nini anakataa kulea mtoto wa mumewe na anashutumiwa ana roho mbaya sana.Jamanii hivi kweli ni sawa mwanaume kukuletea mtoto aliyakuwa mpo wote hamjaachana ila yeye kachepuka ni sawa kweli kwa nini huyo mtoto asilelewe na mama yake.yote tisa kumi
Huyu mkwe amejifanya kwenda kumchukua yule mtoto kinguvu ili tu amkomeshe mke wa mwanae amlee yule mtoto.baada ya kuona yule Dada amemkataa mama mkwe kwa vishindo akajifanya kumng'ang'ania yule mtoto amlee yeye eti na unataka yule mke wa mwanae kila wiki akamfulie yule mtoto.
Na anachokifanya anamtumia huyu mwanamke aliyezaa na mwanae kumrusha roho mke wa mtoto wake.basi neno si neno kapigiwa simu huku ukweni kwa sababu kazaa na mwanae.
Wiki kazaa zilizopi eti kapigiwa simu mtoto wake kamaliza chekechea wafanye sherehe alafu mkwe ndio yupo Benet na yule aliyezaa namwanae.DAda wa watu uvumilivu umemshinda ilibidi aulize kwani mama dhamira yako nini kwa hayo unayoyafanya au ndio unaamua kumletea mwanao mke wa pili..mama wacha ajilize katukanwaaa..basi mume wa mtu alivyoambiwa na mama yake mkeo kanitukana karudi kwake kafura na talaka kaandika tayari lakini bado anatembea nayo tu mfukoniii😀😀😀 bado ajamkabidhi anatishia kumuacha.
Hivi wiki sasa inafika nyumba yao aina amani kila MTU anaishi kimpango wake ..kwa sababu ya fitna za huyu mama mkwe..
Sasa najiuliza maswali haya
1 Haoni alipokosea mwanae kwenda kuchepuka mpaka kuleta mtoto akiwa na mke tayari
2 Na kama kosa lishatokea tayari kwa nini amkumbatie hivyo huyo mwamke aliyedhini na mwanae .kama kweli lengo mjukuu wake kwa nini asiendelee kukaa na mjukuu wake bila kuleta mbwembwe zote hizo
Tena huyu mama mkwe wa huyu Dada mume wake miaka ya nyuma alichepuka pia kaja kujua mtoto wa mumewe amekuja akiwa binti wa miaka 25 mkubwa mzima na chozi lilimtoka kwa nini mumewe alichepuka iweje unaona kitu nahisi kwa mwenzie kama yeye MTU mzima nauvumilivu ulimshinda.
OK nisiwachoshe hivi kwa upande wenu mnamchukuliaje mama mkwe wa aina hiii.
Hapana boss labda kama mama yake hayupo. Ni kumtwisha mke majukum yasiyomuhusu. Labda mtoto aje akiwa mkubwa. Tena kwenye imani mtoto huwa si wa mwanaume kama hawajafunga ndoa Bali mtoto anakua ni wa mwanamke. Jamaa inabidi tu apeleke matumizi basi na sikumleta pale.Kwanza pole kwa mhusika wa hiki kisa
Ujue maisha yana mengi na katika mengi lazima uvumilivu uwepo
Swala la kulea mtoto wa mwingne inabidi akubali maana wakati mwingine ili kuweka mazingira ya kipato sehemu moja akikataa inaweza ikawa mwanaume anatoa garama za malezi ambazo zilipaswa ziliwekwe sehemu moja
Kwenda wapi?A nawaza watoto wake kwani sasa tayari na yeye ana watoto wa tatu.....ila Mimi kwa ujeuri wangu ningeondoka tu
Mkuu kupeleka matumizi ni kurahisisha kuongeza mtoto mwingne maana ataaga naenda kumwona mtotoHapana boss labda kama mama yake hayupo. Ni kumtwisha mke majukum yasiyomuhusu. Labda mtoto aje akiwa mkubwa. Tena kwenye imani mtoto huwa si wa mwanaume kama hawajafunga ndoa Bali mtoto anakua ni wa mwanamke. Jamaa inabidi tu apeleke matumizi basi na sikumleta pale.
Wewe tunafanana akili na ndio sheria mtoto anayezaliwa nje ya ndoa baba hana haki na huyo mtoto yoyote yule ni mtoto ni wamama kwa kila kitu isipokuwa kibinadamu tu anaweza kumsaidia kumlea lakini si mtoto wa baba huyo ni Mali yamama peke yake na wajomba zake na bibi zake upande wa kwa mama yake .na mwanamke ana uwezo wa kuamua lolote kwa mtoto huyo bila kumshirikisha mwanaume aliyezaa.Hapana boss labda kama mama yake hayupo. Ni kumtwisha mke majukum yasiyomuhusu. Labda mtoto aje akiwa mkubwa. Tena kwenye imani mtoto huwa si wa mwanaume kama hawajafunga ndoa Bali mtoto anakua ni wa mwanamke. Jamaa inabidi tu apeleke matumizi basi na sikumleta pale.
Ningeenda kuishi maisha yangu na yeye achukue mama mtoto wake Wales mtoto wako aainichezee kabisaa mimiKwenda wapi?
Mimi namuangalia tu muache wamchonje atafute wakulia nae alafu huyo mwanamke wanamuona SAA hizi hawajamfahamu vizuri wanamuona mwema ngoja aolewe watamkumbuka hata huyu wanayemfanyia visaNadhani pia walijua mwanamke wa watu asingepona! Na sasa wanapanga mpango huyu mwanamke aachike aje yule mwingine. Na siku yakitimia ndo kiama cha huyo mwanaume. We mfikishie tu huo ujumbe...
waiHuwezi tumia condom miaka miwili yote naamini hata we huwezi!!
wanaume mnatesa sana wake zenu..nipo katika imani tunaoamini ndoa za mitara...lakini binafsi niamini kama mwanaume anayeoa mitala kama anakuwa na mapenzi ya kweli kwa wakezeeee niamini kabisaaaa mkuuMkuu swala la wao kufanya yao linabaki kuwa ni sehemu ya usaliti ulio jijenga na kama huwezi basi umruhusu aongeze mke wa pili ila uwe unajua mko wawili kuliko kutaka kumsurubu mtoto asie jua chochote
Mimi mwanaume anifanyie hivi nijue ....sitaondoka bila akae akijua na yeye atalea watoto wa mwanaume mwenzie japo wawili katikaa uzazi wangu kama nimezaa sita akae akijia wanne watakuwa wake wa halali wawili imekula kwake.......mjue wanaume msitufanye kama sisi wanawake tumetolewa nyongooo mnavyoumia nyie na sisi hivyo hivyoUnapaswa kujua mwanaume hana limit ya kuoa au kuzalisha anaweza kuzaa hata na wanawake 10 ukiwa nae ndani ya ndoa