Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Nina jua ninacho kufanya na nafanya ninacho kielewa
Una nini special?..maisha hayanagana formula mda mwingine
Unamnywesha sumu mtoto au? Ujue mnachokosea ni kutaka kushindana na mwanaume.......we hujiulizi swali dogo tu kuwa kwa nini huyo mwanaume ananitoa kwetu aninipeleka kwao au kwingine kuanza maisha tofauti kabisa