Kisa cha kweli: Mama wakwe wengine pasua kichwa

Kisa cha kweli: Mama wakwe wengine pasua kichwa

Hapo mama mkwe anapaswa kua sehemu ya kutatua tatizo nasio kua sehemu ya kuongeza tatizo.

Lkn km huyo mwanamke alimtukana mama mkwe ,, naye nimswahili nanisehemu ya Tatizo pia.
hapana alimwambia tu kuwa vile anavyofanya kutaka yule mzazi wa yule mtoto kufanya awe karibu vile na mwanae Nina yake awe mke wa pili......ndio mama analia kazalilishwa katukanwa
 
hapana alimwambia tu kuwa vile anavyofanya kutaka yule mzazi wa yule mtoto kufanya awe karibu vile na mwanae Nina yake awe mke wa pili......ndio mama analia kazalilishwa katukanwa
Oohhh basi hapo mama mkwe nimswahili yeye anachotaka nkuone ndoa inavunjika

Nahiii kitu utaipata kwa wakwe walowalea watoto wao wenyewe bila baba...yaaaan atakua nimwamuzi wakila kitu kwamwanae.
 
Uyo dada naye ana roho mbayaaa kwanini asilee mtoto wa mume wake roho mbaha haijengi inabomoa na hapo ndo imeanza ubomoaji tiyari kwa ma mkwe itaenda kwa mawifi
 
Uyo dada naye ana roho mbayaaa kwanini asilee mtoto wa mume wake roho mbaha haijengi inabomoa na hapo ndo imeanza ubomoaji tiyari kwa ma mkwe itaenda kwa mawifi
Bhana vyovyote itavyokuwa mtoto wa kuletewa hali ya kuwa ww upo kwenye ndoa inauma yahn hiyo anakuthibitishia kwamba yeye anachepuka na kinga hatumiiii...kwa Mimi sitaki kuwa mnafki hapo ukweli naujua mwenyewe....mnikimkuta nae hapo sawa
 
Back
Top Bottom