Kisa cha kweli: Mama wakwe wengine pasua kichwa

Kisa cha kweli: Mama wakwe wengine pasua kichwa

Ujue haya maswala ya kuoa au kuolewa ikiwa psycholigically your not ready madhara yake ndio haya. Unaoa kisa umri wa kuoa umefika au unaolewa sababu umri umeenda ilhali mentally hauko tayari. Tabu kweli kweli.
 
Unaposema wakwe Wana matatizo hata wewe mzazi Kuna atakua mkwe kama bado si mkwe, hivyo Basi, katika generalization yako, hata mzazi wako anaingia kwenye Hilo kundi, nae ataoneka ana matatizo kwa wakwe zake yaani kwa wake za Kaka zako.

Maradhi ya Kiswahili ndo yapi hayo?

Huyo mchepuko aliyezalishwa hataki mtoto wake? Au jamaa alizaa na Dada poa maana sio rahisi Mama kukataa kuishi na mtoto wake hadi akaishi kwa Bibi yake au kwa baba yake.
 
Sisi wanawake tuna shida kwa kweli yaani kusikia baba mkwe mtata ni mara chache sana. Wanawake tuna nini?
 
A nawaza watoto wake kwani sasa tayari na yeye ana watoto wa tatu.....ila Mimi kwa ujeuri wangu ningeondoka tu

Kwani umeshaolewa au bado? Kama bado huwezi zungumza ungefanya nini maana challenge za ndoa huwa zinakuja kwa style tofauti.
 
Unaposema wakwe Wana matatizo hata wewe mzazi Kuna atakua mkwe kama bado si mkwe, hivyo Basi, katika generalization yako, hata mzazi wako anaingia kwenye Hilo kundi, nae ataoneka ana matatizo kwa wakwe zake yaani kwa wake za Kaka zako.

Maradhi ya Kiswahili ndo yapi hayo?

Huyo mchepuko aliyezalishwa hataki mtoto wake? Au jamaa alizaa na Dada poa maana sio rahisi Mama kukataa kuishi na mtoto wake hadi akaishi kwa Bibi yake au kwa baba yake.
sio kama hataki shida hapa mama wa mwanaume ndio anang'ang'ania
 
A nawaza watoto wake kwani sasa tayari na yeye ana watoto wa tatu.....ila Mimi kwa ujeuri wangu ningeondoka tu

Kwani umeshaolewa au bado? Kama bado huwezi zungumza ungefanya nini maana challenge za ndoa huwa zinakuja kwa style tofauti.
 
Waite wanaume wenzakoo hapa waje wathibitishe kama wana uwezo wa kukubali mkewe achepuke amletee mtoto sio wake akubali alafu anajua si wake labda uniambie amemkuta nae hapo sawa
Wakumkuta nae lkn hata kwa kuchepuka si huwa mnachepuka na kuzaa watoto wa waume wengine?
 
weeee usifanye utani na kuletewa mtoto ukiwa upo kwenye ndoa bola Mara mia umkute nae...Mimi siwezi binafsi na sina moyo huo nikimkuta sawa ....yahni Mimi Nike kuhudumia mtoto kumfulia kumfanyia kila kitu alafu wamenifanyia usaliti.....Tena Mara mia aje akiwa na akili zake timamu anaweza kufanya kila kitu
Mwanangu anakusalimia.
 
Hapo mama mkwe anapaswa kua sehemu ya kutatua tatizo nasio kua sehemu ya kuongeza tatizo.

Lkn km huyo mwanamke alimtukana mama mkwe ,, naye nimswahili nanisehemu ya Tatizo pia.
 
Kifupi jamaa ni Zwazwa.

Mama na kukotrol familia yangu wapi na wapi.
 
Back
Top Bottom