Kisa cha kweli: Jinsi nilivyosengenywa na "kubaguliwa" na Watanzania wenzangu nchi ya ugenini

Mimi nilitetwa kwenye daladala na wadada wawili, mtu na mdgo wake...siku hyo nlitoka kazn na overall...wakajua wakuja wakawa wanaongea kwa kingereza...mdg mtu anamwambia dada mtu hv unaeza kudate na jamaa mchafu kias ikii uku wanachekaa...nlichofanyaa nlishuka kituo walichoshuka nikawafuatilia mpaka wanapoenda...Saiv yule dada ni Mpenzi wangu...kila nikimkumbusha anaishia kucheka na kuona aibu tu
 
Ha ha ha ha ha safi sana.
 
we hatari aise ukaamua kupindua meza.
 
Back
Top Bottom