Kisa kifupi cha kusisimua kilichonikuta wakati naishi Temeke

bolivia

JF-Expert Member
Mar 3, 2021
2,855
4,552
Based on true events _

Hbr ya X mass members?

nina imani tuko poa Alhamdu lilah Mungu ni mwema, kuna kisa kidogo ambacho kimewahi kunitokea katika jiji hili.

Sikumbuki tarehe,wala mwezi najua ilikuwa 2019
Jijini Dar es Salaam wilaya ya temeke, nilikuja wilaya hii baada ya kuishi kwa muda kutokea kinondoni KANISANI pale mitaa ya kwa sele bonge zamani (Facebook)

Shughuli zangu za mwanzoni mm nilikuwa muuza vifaa vya simu kariakoo mtaa wa aggrey. Kila aina ya simu ikitoka mm naijua kwa kipindi kirefu nilipata kujuana na wateja mbali mbali kama ujuavyo ukiwa mfanyabiashara kujuana na watu ni dakika 0 tu.

Nimepiga hyo mishe mwaka mzima enzi hyo glass protector tunaweka kwa elfu kumi 10K, sio sasa bei imeshukq ni shilingi elfu 2K.

Uongo dhambi hichi kipindi nipo kariakoo nimekula sana mbususu za mademu zenu na dada zenu wanafunzi hasa hasa wa CBE, TIA NA IFM maana kila week wanakuja nunua simu.

Na kubadili protector mara kava mpya enzi zile za self stick Basi vurugu kibao aisee Watt wa chuo wanaongwa sana simu~noted

Nielewe vzuri hapo kuna demu anakuja ana ela anataka awekewe kava mpya, apewe earphone mara protector mpya bs weee nimezichakata sana izo K.

Hiyo ni 2016,2017 kabla sijahamia temeke hapo nakaa kinondoni.

Watu ambao nimewai kuwauzia simu mkononi ni BEN POL,SAMMISAGO pmj na muheshimiwq mmoja jina kapuni huyu nilikuwa nampelekea ofisini kwake pale posta ofisi za bunge.

Mungu ni mwema maisha yalikuwa vzuri sana yani hapo deilee narud na elfu 60,hadi 100k

kwann nisizichakate gesti nyingi za magomeni, kino kawe kule kwa kina GENTAMYCINE zinanijua fika. Life imesonga hapo hadi inakuja 2018 sasa.

Baada ya ku apply kazi nakuja kuajiriwa rasmi kama mfanyakazi sasa naachana na kuuza simu na vifaa vyake naingia kwenye ajira rasmi.

kama mfanyakazi, nahama kutoka kinondoni nahamia temeke kusogea karb na eneo langu la kazi na huku temeke ndio tukio lililopelekea kuandika kisa hiki cha kusisimua jijini Dar

Muda huu ni saa 9:49 usiku (naandika kisa hiki)

Wachawi kila wakija wananikuta nipo jamii forum macho yamegoma kufumba hii njia pia ya ku-avoid usirogwe.

Ukizingatia nipo kwenye NO FAP CHALLENGE bs weee nina mwezi wa 3 sasa siijui mbususu kila mda mnara unasoma 5G+

Usitoke nashusha uzi;-

Sent from iPhone 15 Pro max

#Artificial_Intelligent #AI
 
Based on true events _

Hbr ya X mass members ?

nina imani tuko poa Alhamdu lilah Mungu ni mwema, kuna kisa kidogo ambacho kimewahi kunitokea katika jiji hili.

Sikumbuki tarehe,wala mwezi najua ilikuwa 2019
Jijini dar es salaam wilaya ya temeke,nilikuja wilaya hii baada ya kuishi kwa muda kutokea kinondoni KANISANI pale mitaa ya kwa sele bonge zamani (Facebook)

Shughuli zangu za mwanzoni mm nilikuwa muuza vifaa vya simu kariakoo mtaa wa aggrey
Kila aina ya simu ikitoka mm naijua kwa kipindi kirefu nilipata kujuana na wateja mbali mbali kama ujuavyo ukiwa mfanyabiashara kujuana na watu ni dakika 0 tu.

Nimepiga hyo mishe mwaka mzima enzi hyo glass protector tunaweka kwa elfu kumi 10K
Sio sasa bei imeshukq ni shilingi elfu 2K
Uongo dhambi hichi kipindi nipo kariakoo nimekula sana mbususu za mademu zenu na dada zenu wanafunzi hasa hasa wa CBE,TIA NA IFM maana kila week wanakuja nunua simu

Na kubadili protector mara kava mpya enzi zile za self stick Basi vurugu kibao aisee
Watt wa chuo wanaongwa sana simu~noted

Nielewe vzuri hapo kuna demu anakuja ana ela anataka awekewe kava mpya,apewe earphone mara protector mpya bs weee nimezichakata sana izo K

hyo ni 2016,2017 kabla sijahamia temeke hapo nakaa kinondoni.

Watu ambao nimewai kuwauzia simu mkononi ni BEN POL,SAMMISAGO pmj na muheshimiwq mmoja jina kapuni huyu nilikuwa nampelekea ofisini kwake pale posta ofisi za bunge.

Mungu ni mwema maisha yalikuwa vzuri sana yani hapo deilee narud na elfu 60,hadi 100k

kwann nisizichakate gesti nyingi za magomeni, kino kawe kule kwa kina GENTAMYCINE zinanijua fika....life imesonga hapo hadi inakuja 2018 sasa.

Baada ya ku apply kazi nakuja kuajiriwa rasmi kama mfanyakazi sasa naachana na kuuza simu na vifaa vyake naingia kwenye ajira rasmi

kama mfanyakazi, nahama kutoka kinondoni nahamia temeke kusogea karb na eneo langu la kazi na huku temeke ndio tukio lililopelekea kuandika kisa hiki cha kusisimua jijini dar


muda huu ni saa 9:49 usiku (naandika kisa hiki)

Wachawi kila wakija wananikuta nipo jamii forum macho yamegoma kufumba hii njia pia ya ku-avoid usirogwe.

Ukizingatia nipo kwenye NO FAP CHALLENGE bs weee nina mwezi wa 3 sasa siijui mbususu kila mda mnara unasoma 5G+

Usitoke nashusha uzi;-


Sent from iPhone 15 Pro max


#Artificial_Intelligent #AI


"Uongo dhambi hichi kipindi nipo kariakoo nimekula sana mbususu za mademu zenu na dada zenu wanafunzi hasa hasa wa CBE,TIA NA IFM maana kila week wanakuja nunua simu"

Kulala na wanawake wengi na kufanya umalaya sio sifa hata kidogo.
 
Tutaendelea ila ushazingua hesabu kichwani hamna,unaacha kazi inayokupa laki kwa siku take home, unaenda kuajiriwa .
Si ajabu ualipwa laki nane kwa mwezi
Kumbuka uwezi kupata 100k kila siku?? Na nikipata inaishia kwenye kula kuvaa na anasa zingine namshukuru MUNGU ulevi wa pombe sjui cigarette izo mm hapana may be cannabis plant

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Uongo dhambi hichi kipindi nipo kariakoo nimekula sana mbususu za mademu zenu na dada zenu wanafunzi hasa hasa wa CBE,TIA NA IFM maana kila week wanakuja nunua simu"

Kulala na wanawake wengi na kufanya umalaya sio sifa hata kidogo.
Uko sahihi lkn kama kijana bila kupitia hii stage ningekuja kusumbua uzeeni Kumbuka eneo la kazi lilikuwa kariakoo kama ww n wakuja sawa mtu yyte hapa jukwaani akifanya kaz hapo kariakoo kama ajawa malaya wa kike atakuwa wakiume

Niamini mimi mzee wangu kariakoo ni hatari zinakuja pisi hapo balaa pole uenda nimewai kui-digest pisi yako,mimi ni rijali unataka nisipochakata nichakatwe au?

Ndio kwa sasa naweza kushinda izo tamaa nipo no fap challenge nina mwezi wa 3 sijat●mb♤.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom