hamna dear mimi mbona sina madhara?
hahahaaa!! hadi utagongewa kabisa wewe! ndo maana Kaizer yuko karibu sana na wewe!
miss neddyyy!!!! i think you know what to do and where!
assume ceteris paribus
inamaa pacha Excel hujashtukia hiyo ":boob trap"?unaangaliaga movie za American soldiers?
Weeeee!!!,
Uoga unasaidia sana,kama huwezi kuhimili mikiki yabidi ujiweke pembeni
kwa hiyo unataka kusema kuwa huyu mnya Ntuzu, miss neddy kwa sasa unakula mbele ya Kaizer?
hongera sana mkuu!
nipo Excel wangu nimekumisije
wakuwache shemeji langu upumuweeeeeeeeeeeeee
cc Mentor
mmmh..!
hahahahah mbona waguna
Wewe Excel dada yng Si Wa hivyo!
Hii ni hali halisi ya maisha yetu ya kila siku,huwezi kumpima mtu kwa taaluma yake au muonekano wa mwili ila kwa medical test only,,,,tuache mazoea yatatuchimbia kaburi mapemaaa:A S cry:
@ Eiyer Unanicheka badala ya kunionea huruma!!
yah ndo maudhui makuu ya thread noted,I wish wote wangeelewa ujumbe kama wewe.
Cc: Mashaxizo na mwekundu
BCc: Kaizer na #teamBazazi yenu ....K.K. Katibu Nicas Mtei na mtunza nini sijui Ben Mugashe a.k.a Le Mutuz
Wewe Excel dada yng Si Wa hivyo!
aaaa eeenh kichwa kinauma!!.. hahaaa!!
mkuu nipe list ya dada zako tofauti na huyu mreeeembo miss neddy!! hiki kitoto kina mguu sijaona! jicho baba nishapoteza milioni kwake!
kitako sasa nyuma nshauza gari babake!