JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Nkiki wawae hebu muulize Jiwe Linaloishi kama mimi si Polisi kweli...leka mangi!
Na hapo kwenye #teamBazazi , I thought I have been cleared already!
Mentor uichi ngikukosie sana
Mhhh Jiwe Linaloishi nae ni wale wale na kama ni polisi basi tukubaliane na Asha kuwa ni bazazi
Nani amekuclear kwenye #teambazazi maana ninayejua wamemclear ni Babu Dark City tuu wengine wote bado hamjarudisha membership card zenu
Watetezi wangu nishawataja hapo juu wakiongozwa na miss neddy...muite huyo mwenyekiti wenu aje athibitishe hapa!
aahh mkuu mi kwenye ubazazi simo, wote nyie ni mapolisi na huwezi kuwa polisi bila kuwa bazazi tatizo mnazidia ujanja tu sababu ya mikoa mliyopo
Jiwe Linaloishi ukitajwa na kiongozi wa [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teambazazi]#teambazazi [/URL] ni lazima uwe na utetezi wa kutosha kujitoa huko sasa wewe taarifa hii haijitoshelezi kabisa
yeah ni kweli kabisa Kongosho ,,, hadithi ya Mentor ukiisoma kiundani ni 'utetezi' tu kwamba yeye sio #teambazazi
aahh mkuu mi kwenye ubazazi simo, wote nyie ni mapolisi na huwezi kuwa polisi bila kuwa bazazi tatizo mnazidia ujanja tu sababu ya mikoa mliyopo
Hata sisi wa geshi ra wananchi mnatuchukuria kuwa ni maraya sana?
Polisi,wanajesh haikubaliki!!!
kwa brain-wash waliyopata kwao amri ziko damuni nahis hadi kwenye malovee
Kijana una hamu ya kulala nje leo??
Hebu rara chini turengane makojoreo...