Nafasi kwa wanaohitaji kurudia mitihani kidato cha 4 na 6

Aug 13, 2019
3
1
KWA WALIO KOSA SELECTION FORM FIVE. Soma hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡.

Usipate stress kwa waliokosa nafasi kujiunga kidato cha tano na wanao itaji kurudia mitiani kidato cha NNE, SiTA, na Qt shule ya HELP VISION OPEN SCHOOL. Reg No.IAE/OS/0570 inawatangazia wanafunzi, wazazi, walezi. Wote nafasi za masomo kwa wanafunzi wakidato cha tano walio balance combination kwa" DDC"or" CCD" pia kwa ambao hawajabalance wataruhusiwa kusoma huku wakirudia masomo husika ya kidato cha nne.

๐ŸŽ“kwa michepuo ifuatayo PCB, PCM, PGM, CBG, CBN, EGM, HGE, HGL, HGK, HKL.

๐Ÿ“–Shule itafunguliwa tarehe 11-01--2020.

๐Ÿ“Shule pia inatoa Elimu ya secondary kwa miaka 2-3 (QT) hususani kwa wahitimu wa darasa la vii na walioshindwa kuhitimu elimu ya sekondari kutokana na sababu mbalimbali. wanaorudia mitihani kidato cha iv na vi (resisters). English course na kompyuta.

๐Ÿ“Ada ni nafuu sana pia huduma ya chakula na malazi (hostel) kwa wanaotoka mbali ni nafuu sana.

๐Ÿ“Hivyo HELP VISION OPEN SCHOOL ina walimu wa masomo yote na waliobobea kitaaluma.

๐Ÿ“Tupo Kahama mjini Eneo la mbulu Mita 200 ( upande wa kaskazini) Kutoka S/msingi Mbulu Kwa Mawasiliano zaidi ๐Ÿ“ž๐Ÿ“ž

PIGA 0782484397 or 0759324614.
 
Back
Top Bottom