Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

nisha kuthibitishia hilo kupitia kanuni niloyotumia kupata jibu, unataka nikuthibitishie mara ngapi???
Hivi mimi ukiniomba uthibitisho kisha nikawambia uthibitisho wanguupo kwenye kauli : "Kila kitu kina chanzo isipokuwa Mola pekee" utakubali kama huo ni uthibitisho ?
Umeambiwa kila mtu lazima afe, we unauliza "wachaga nao watakufa". Ukishaambiwa chanzo cha kila kitu maana yake ni mwanzo wa kitu unaanzaje kuuliza swali la kipuuzi kama hilo, Kwani kitabu hakina chanzo??? Kama kina chanzo kwanini kisiwe na mwanzo??
Rejea kauli yako uliyosema mwanzo wa kitu ni chanzo,ndio maana nikauuliza nikisema "Mwanzo wa kitabu" ndio sawa na kusema chanzo cha kitabu ?

Narejea kauli,yako je mwanzo wa kitabu ndio chanzo chanzo cha kitabu ? Jibu maswali.

Sio kweli ukiambiwa mwanzo wa kila kitu ndio chanzo,soma lugha vizuri ili kuluthibitishai hilo ni hili swali nililo kuuliza ya kuwa je "Mwanzo wa kitabu" ndio sawa na kusema "Chanzo cha kitabu"? Kauli hizi haziko sawa,nakuoa kazi sasa mchukue mwanafunzi moe kitabu kisha muulize "Mwanzo wa kitabu na chanzo cha kitabu hiki ni upi ?

Maneno haya umeyaleta mapya na hapa si mahali pake.
Mimi pia nakujibu kua nimekubali kanuni yako ila nimekataa kanusho lako kua jibu langu si sahihi
Safi kabisa,kwa maana hiyo jibu lako kwako wewe nisahihi,sasa naomba nithibitishie usahihi wake kwa kujibu maswalo yangu matatu kule post # 4288.
Maswali yako yana contradict kanuni yako inayosema hupaswi kuhoji chanzo cha chanzo kwasababu hakina chanzo, mimi nalinda sheria ila wewe unaivunja
Wewe ndio ulisema ya kuwa hapaswi kuhoji juu ya chanzo cha ulimwengu sababu ndio chanzo cha kila kitu. Sijawahi kusema hivyo bali huwa nauliza ya kuwa mtuambie ni kwanini tutake kujua chanzo cha chanzo vha kila kitu.

Naona unaendelea kujikataa mwenyewe,rejea kule nyuma ulipoanza kusema ya kuwa chanzo cha kila kitu kisha ukahitimisha ya kuwa hupaswi kuhoji,maneno haya umeyasema wewe.

Na mimi hapa sihoji juu ya chanzo bali nataka unithibitishie juu ya ukweli wa unachoamini.
Kwanza kabla ya yote kubaliana na jibu langu
Nimekwambia zaidi ga mara tano sasa,jibu lako nimekubali ili ututhibitishie lakini sijakubali usahihi wake,ili nikubali usahihi wake thibitisha ukweli wa jibu lako.
Hayo makubalianao umefanya na nani??? Unaweza ukaonesha wapi nimekubaliana nawewe kua jibu langu si sahihi??? Umeishiwa hoja umeanza kulazimisha vitu nisivyo visema kua nimesema??
Sawa hatujakubaliana,vioi unakubali kama jibu langu ni sahihi au sio sahihi ? Hapa lazima utarudi nilipo mimi tu,huna uwezo wa kutoka.
Situmii jibu lako kama mwongozo, natumia kanuni yako kama mwongozo wa kujua jibu. Kutokubali kwako jibu langu hunikosoi mimi unakosoa kanuni yako kua kila jibu litalotumia hiyo kanuni haliwezi kua sahihi, unaelewa???

Safi kabisa sasa kwanini utumie kanuni ambayo jibu lolote litakalo ingia hapo haliwezi kuwa sawa ? Huoni kama hutumii akili yako vizuri ? Na ushaambiwa na wenye kanuni ya kuwa hakuna mlango wa kuingia vingine lakini wewe uanviweka ? Huoni kama umeamua kukosea na kuonekana kituko usie tumia akili na kupenda kubishana penye hamna ?

Naendelea .......
 
mpaka hapa nikukumbushe unaizingatia kanuni ile vyema pamoja na sheria zake kua huwezi kuhoji chanzo cha chanzo kwasababu hakina chanzo???

Maneno haya uliyasema wewe ulipotuambia ya kuwa chanzo cha kila kitu ni Ulimwengu na mimi tangu najadiliana na wewe kuhusu mada ya uwepo wa Mola na chanzo cha ulimwengu huwa nasisitiza juu ya wewe unaetaka uambiwe chanzo Mola wetu ambae kwetu sisi hana chanzo ni utuambie kwanini utake kuhoji juu ya chanzo chake.
Kwaiyo kanuni hiyo inatoa majibu ya uongo??
Hili swali la kitoto sana ushaambiwa kanuni hiyo haikubali chochote isipokuwa Allah,wewe kwa ujinga wako na ujuaji wako umeidandia,ndio maana nikasema hivi sisi waswahili huwa tunasema hivi "Mtoto akililia wembe mpe" nimekupa wembe naona umekukata unatafuta huruma kwangu ya nini tena ? Komaa utibu majeraha.

Ina maana ulipokuwa uanitumia hukujua kama inatoa majibu ya uongo ? Akili yako ilikuwepo wapi kujua hilo ? Haya sawa hukujua ila nilikwambia ya kuwa kanuni hiyo ni maalumi tu kwa Mola kwa vingine haikubali hukuona amelezo haya ?

Mkiambiwa hamna akili mnakataa.
Nikikupa kanuni ambayo inamkataa huyo allah iwe maalumu kwa ajili ya kumkanusha ikiwemo na kutokuwepo kwake, nikatoa hoja kupitia kanuni hiyo utakubali jibu lake kua ni kweli???
Toa hiyo kanuni kisha nitaipima kwenye mizani kwa kukuuliza maswali yenye kuhusu hiyo kanuni.

Sasa wewe tatizo unafikiria kitoto ulipo iona kanuni ukaidandia ukasahau kwamba kuna maswali utatakiwa kujibia ona sasa uanvyotia huruma.

Yaani kwa mtu aliye komaa kiakili angetaka kujua kwanza mipaka ya kanuni husika au hamkufundishwa adabu hizi huko mashuleni mwenu ? Ukue sasa kifikra uache kuparamia mambo bila kuyajua.
 
Namimi nikikuambia nakataa juu ya usahihi kua jibu ni mungu utasemaje???
Hili mimi ndio nalo lijua toka kwako tangu huko nyuma ndio maana nikawa nasisitiza tuthibitishiane na wewe ila kwa ujinga wako unajidai kuificha hii iamani yako ya kuwa chanzo chetu sisi ambacho ni Allah hukikubali.

Mimi sitakupinga zaidi ya kukuhoji uniambie kwanini unakataa,na ndio jambo ambalo nalisisitiza tangu muda kwamba tuthibitishiane sababu hatukubaliani kwa usahihi wa vyanzo vyetu.
Tuthibitihiane mara ngapi??? nishakuthibitishia hilo hapa tena umependekeza sheria ambayo wewe ulipenda upatiwe huo uthibitisho, nimekuthibitishia umeukataa uthibitisho tatizo ni lako si mimi
Kaka kuna vitu vingi sana unatakiwa uvijue katika mambo ya kielimu.

Kaka hakuna kanuni yoyote ambayo ipo duniani isiyokuwa na marejeo yaani isiyo na uthibitisho. Mimi kanuni hii naweza kukuthibitishia wapi imetoka na usahihi wake,ndio maana nimekutaka na wewe uthibitishe sababu umeitumia, sasa kama unataka uige kila kitu basi inabidi tuache mjadala nikufundishe.

Chukulia mfano wa kanuni ya uvukaji wa bara bara,ukiulizwa toa uthibitisho wa kanuni hiyo na usahihi utainukuu kanuni hiyo kisha useme ndio uthibitisho ? Usipopigwa makofi au kupelekwa milembe sijui.
Unatumia machale?
Natumia kauli zako.
Kama unayakataa majibu unayopewa kua si sahihi kwasababu unataka upewe majibu ambayo yapo mfukoni mwako ni lazima uone kama hujajibiwa.
Hili si kweli sina majibu mfukoni bali nataka kuona upeo wako wa kung'amua mambo kitu ambacho naujua kuwa ni mdogo ila nataka na wengine waone namna ganiulivyo kuwa mjinga hata unachokiegemea hukijui.
 
" hupaswi kuhoji chanzo cha chanzo"
Sheria hii ni yako wewe na ndio unaitumia sana katika kukimbia maswali juu ya Ulimwengu kama ndio chanzo naona
Vyanzo viko vingi ila kipo kimoja chenye kusababisha hayo yote na chanzo hicho ndio ukomo, chanzo hicho ni ulimwengu pekee.

taratibu ila unaonekana unakumbukumbu ndogo sana.

Hukuti mimi nikiitumia hii.
 
Vyanzo viko vingi ila kipo kimoja chenye kusababisha hayo yote na chanzo hicho ndio ukomo, chanzo hicho ni ulimwengu pekee.
Sasa rekebisha kule juu ulipotumia wingi badala ya umoja.
Kanuni yenyewe imejitosheleza, unaanzaje kuitetea?? Unaonekana hata kanuni hujaielewa na ndio maana unahangaika kuitetea.
Kama unajua imejitosheleza na umeambiwa kwanini unaweka vitu visivyotakiwa humo ?
Kumbe upo kubishana sio kuelimishana ndio maana unapoteza muda katika jambo ambalo liko wazi.
Weka wazi, umelikuabili jibu kua ji sahihi??
Daah,nasema hivi nimekubali ufahamu wako juu ya chanzo cha kila kitu kuwa ni Ulimwengu ila sikubali juu ya usahihi wa Ulimwengu kiwa ndio chanzo cha kila kitu,kwangu mimi si sahihi.
 
Nathibitisha hapa ulimwengu ni chanzo cha kila kitu kwasababu chanzo cha chanzo hakina chanzo, ulimwengu ni chanzo cha vingine hivyo ulimwengu hauna chanzo. Umeelewa??

Safi kabisa,nijibu maswali yangu ya post # 4288 tumalize mjadala.
 
Sasa rekebisha kule juu ulipotumia wingi badala ya umoja.
Hoja umeishiwa umeanza kutafutiza makosa ambayo hayapo

Inaonekana umepoteza umekini kwwnye post zangu, swala hili nililielezea vizuri tangu huko nyuma zaidi ya mara moja na hapa nilikua natilia mkazo tu, nileeleza kwa urefu kabisa kua majumba na magari ni vyanzo vilivyo ndani ya ulimwengu usiokua na chanzo

Kama unajua imejitosheleza na umeambiwa kwanini unaweka vitu visivyotakiwa humo ?
Kumbe upo kubishana sio kuelimishana ndio maana unapoteza muda katika jambo ambalo liko wazi.
Navyosema imejitosheleza nazungumzia hivi

Kanuni inasema chanzo cha chanzo hakina chanzo, na kwa muktadha huo hupaswi kuhoji chanzo cha chanzo kwasababu hakina chanzo

Ulimwengu = chanzo, kivipi? Kwasababu ni chanzo cha chanzo vya vilivyomo ndani yake. Kanuni imejitosheleza imetoa jibu lenye kufata sheria yake

Kwaiyo kujitosheleza kwa kanuni hakuegemei kwenye jibu ulilolilengesha wewe bali tunaangalia msingi wa kanuni kama umefatwa inavyotakiwa

Daah,nasema hivi nimekubali ufahamu wako juu ya chanzo cha kila kitu kuwa ni Ulimwengu ila sikubali juu ya usahihi wa Ulimwengu kiwa ndio chanzo cha kila kitu,kwangu mimi si sahihi.
Ninauwezo wa kukataa kanusho lako kua nibatili kwasababu muongozo niliotumia kupata jibu unakubaliana kabisa na jibu langu kua ni sahihi
 
Sheria hii ni yako wewe na ndio unaitumia sana katika kukimbia maswali juu ya Ulimwengu kama ndio chanzo naona
Aliyeleta sheria ya chanzo cha chanzo kisicho na chanzo ni nani?? hukujua sheria hiyo inakuzuia kuhoji chanzo cha chanzo kwasababu imehitimisha kua hakuna chanzo zaidi ya hapo???

taratibu ila unaonekana unakumbukumbu ndogo sana.
mpaka hapa naona dawa imeanza kuingia
 
Hili mimi ndio nalo lijua toka kwako tangu huko nyuma ndio maana nikawa nasisitiza tuthibitishiane na wewe ila kwa ujinga wako unajidai kuificha hii iamani yako ya kuwa chanzo chetu sisi ambacho ni Allah hukikubali.

Mimi sitakupinga zaidi ya kukuhoji uniambie kwanini unakataa,na ndio jambo ambalo nalisisitiza tangu muda kwamba tuthibitishiane sababu hatukubaliani kwa usahihi wa vyanzo vyetu.

Kaka kuna vitu vingi sana unatakiwa uvijue katika mambo ya kielimu.

Kaka hakuna kanuni yoyote ambayo ipo duniani isiyokuwa na marejeo yaani isiyo na uthibitisho. Mimi kanuni hii naweza kukuthibitishia wapi imetoka na usahihi wake,ndio maana nimekutaka na wewe uthibitishe sababu umeitumia, sasa kama unataka uige kila kitu basi inabidi tuache mjadala nikufundishe.

Chukulia mfano wa kanuni ya uvukaji wa bara bara,ukiulizwa toa uthibitisho wa kanuni hiyo na usahihi utainukuu kanuni hiyo kisha useme ndio uthibitisho ? Usipopigwa makofi au kupelekwa milembe sijui.

Natumia kauli zako.

Hili si kweli sina majibu mfukoni bali nataka kuona upeo wako wa kung'amua mambo kitu ambacho naujua kuwa ni mdogo ila nataka na wengine waone namna ganiulivyo kuwa mjinga hata unachokiegemea hukijui.
Unakataa majibu nayokupa unafikiri mimi mpuuzi kiasi gani nikubali majibu yako??

Nimekupa uthibitisho hapo kupitia kanuni uliyoiteua wewe kukuoneshea namna ya process ilivyokua umelikataa jibu.
 
Aliyeleta sheria ya chanzo cha chanzo kisicho na chanzo ni nani?? hukujua sheria hiyo inakuzuia kuhoji chanzo cha chanzo kwasababu imehitimisha kua hakuna chanzo zaidi ya hapo???
Naona hata kumbukumbu huna alianza na kauli katika mada hii ni yule mchangiaji mwingine,ila kwa maana iko sahihi na kanuni yangu mimi maalumu ya kuwa "Kila kitu kina chanzo isipokuwa Allah pekee" hii najua unajua juu ya kauli hii.

Nikamuunga mkono aliyetoa kanuni sababu inawiana sawia na kauli yangu.

Sasa wewe ndio uliesema ya kuwa hupaswi kuhojiwa kuhusu chanzo cha Ulimwengu sababu Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu. Sasa kwa kuheshimu jibu lako nikasema nakutaka wewe ututhibitishie ukweli wa kauli yako basi,kwa kujibu maswali niliyokuuliza.
Twende taratibu

Majibu yangu saizi umeyakubali kua ni sahihi??
Kwangu mimi majibu yako sio sahihi na hili nimelikiri tangu muda na nikichokubaliana na wewe ni kukubali kwako ya kuwa Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu.

Na wewe ndio una amini sasa naomba ujibi maswali niliyo kuuliza kule post # 4288 ili utuonyeshe ukweli wa jibu lako.
 
Unakataa majibu nayokupa unafikiri mimi mpu
Sitaki ukubali majibu yangu wala si lengo,nachotaka mimi unithibitishie ukweli wa kauli yako basi.
Nimekupa uthibitisho hapo kupitia kanuni uliyoiteua wewe kukuoneshea namna ya process ilivyokua umelikataa jibu.
Ule sio uthibitisho pale umetaja kile unacho kiamini,uthibitisho ni wewe utuonyeshe ukweli wa hiyo kauli,hili rahisi sana.
 
Chanzo, mwanzo asili havina chanzo, asili wala mwanzo mwingine tena

Kaka unaweza kunisaidia kumuelewesha huyu jamaa ili aweze kujibu maswali yangu ya post # 4288. Namuelewesha tangu jana aisee lakini wapi.

Sijajua mpaka muda huu kinachomzuia kuthibitisha ukweli wa kauki yake ya kuwa Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu ni nini ?
 
Hana majibu kama Kiranga tu... Sana sana ataishia kukuzungusha na majibu ya chanzo cha chanzo kisicho na chanzo... That's all.... Na jaribu kumuuliza kama ana akili uone jibu lake
 
Hana majibu kama Kiranga tu... Sana sana ataishia kukuzungusha na majibu ya chanzo cha chanzo kisicho na chanzo... That's all.... Na jaribu kumuuliza kama ana akili uone jibu lake
Stay off my dilsnick!

"I would appreciate, if you don't fling my name around so much
I tend to use it from time to time
And I need it in good condition
Especially wen you mix around with people whose vice you shine
And I don't appreciate wen you confuse my name and associate like a friend of mine
I work hard for everything I hold keep clean heart, but still I find...

Chorus

Now ah days yo need eyez in the back ah yo head
Don't think I don't know
And mind full of what's been said
Dem think ah 9 life ah covah dem head
Don't think, mi don't seet
Dem bad mind from way back wen
Mi have eyez in the back ah my head
Don't think, I don't know
And mind full of what's been said
Dem put ah big dalla sign pan the back ah yo head
Don't think mi don't seet
Dem mess around and wind up dead"

-"Eyez", Collie Budz

Hana majibu kama Kiranga tu... Sana sana ataishia kukuzungusha na majibu ya chanzo cha chanzo kisicho na chanzo... That's all.... Na jaribu kumuuliza kama ana akili uone jibu lake

Huyu nimeshamwambia zaidi ya mara moja laiti kama angekuwa karibu yangu ile "man to man" ningekuwa nampiga makofi au makonzi ili ni "activate" kichwa chake yaani mambo hawa yajui lakini wanaminyana kutaka mjadala mwisho wake wanatafuta huruma tu na kujichanganya.

Huyo Kiranga ndio hamna kitu na wanafanana sana katika ujengaji hoja wao sasa sijui nani ameathiriwa na mwenzake katika ujinga wao.

Hapo nikimuuliza swali ataniuliza na yeye swali "Kwani wewe huna akili", alivyokuwa zwazwa ukimjibu "sina akili" atakwambia "na mimi sina,sababu nimefata kanuni ya jibu lako". Hatari sana.
 
Sitaki ukubali majibu yangu wala si lengo,nachotaka mimi unithibitishie ukweli wa kauli yako basi.

Ule sio uthibitisho pale umetaja kile unacho kiamini,uthibitisho ni wewe utuonyeshe ukweli wa hiyo kauli,hili rahisi sana.

Sijataja tu, bali nimeelezea kwa wigo mpana juu ya jambo hilo kwa mtu timamu ni rahisi kuelewa.

Nasisitiza tena

Ulwengu ndio chanzo, kwa namna gani ulimwengu uwe chanzo??

Kwasababu ulimwengu ni chanzo cha chanzo kingine

ukweli wa kauli hii uko wapi??

Ukweli huu unapatikana katika sheria hii, chanzo cha chanzo hakina chanzo

Umeuona uthibitisho hapo kupitia hiyo kanuni???
 
Back
Top Bottom