Unakubali kama unaifata hiyo sheria ? Kama unakubali inakuwaje ufate kitu usichokijua ?Hoyo sheria kwani nimeileta mimi au nyinyi? Unavyotaka kuikataa unakua unanikanusha mimi au nyinyi??
Unakubali kama unaifata hiyo sheria ? Kama unakubali inakuwaje ufate kitu usichokijua ?Hoyo sheria kwani nimeileta mimi au nyinyi? Unavyotaka kuikataa unakua unanikanusha mimi au nyinyi??
Kabla ya kwenda huko mbali, nataka unihakikishie umeielewa hiyo kanuni na kuikubali?? Pili jibu langu nililokupa umeafiki kulingana na kanuni yenu kuhusu chanzo??Na anzia hapa,sasa basi sababu umedandia treni kwa mbele kwa kuovamia kanuni yetu ambayo na wewe tangu juzi au kabla ya juzi umeanza kuishi humo,mlango uko wazi karibu kwenye ulimwengu wa kufikiri kikubwa.
Hiki sio kichaka,tatizo ni wewe kushindwa kutumia akili kuuliza maswali ya maana. Sasa sababu wote tupo katika maana ya kanuni moja,basi mimi nitakuuliza maswali kuhusu chanzo unacho kiamini ambacho ni Ulimwengu na wewe utaniuliza maswali yako. Vipi uko tayari ?
Sasa nataka tuje kuthibitishiana ya kuwa je ni kweli chanzo cha kila kitu ni Ulimwengu au ni Allah aliye juu,ili tujue kati yangu mimi na wewe nani mkweli.
Je uko tayari kuthibitisha ya kiwa ni kweli chanzo cha kila kitu ni Ulimwengu ?
Kituko kweliUnakubali kama unaifata hiyo sheria ? Kama unakubali inakuwaje ufate kitu usichokijua ?
Anhaaa kwaiyo umekubaliana na jibu langu lililotokana na hiyo kanuni siyo??
Wewe ndio ulikuwa hukubali kama kuna ishi humo na mimi nimekuthinitishia hilo.Kituko kweli
Mpaka nimehitimisha kua ulimwengu ndio chanzo inamaana ulikua hujui wapi nimesimamia???
Hueleweki, huku unasema unaikubali halafu nikikupa jibu lililopitia msingi huo unaoukubali, unalikataa sasa nikusleweje??Kaka au lugha yangu nayoitumia imekuzidi uwezo nini ? Mbona kila kitu kipo wazi humo ?
Nimes
Kwanini nisieleww wakati wewe ndio umeinakili toka kwetu,kwenye Mungu wewe umeweka "Ulimwengu".Kabla ya kwenda huko mbali, nataka unihakikishie umeielewa hiyo kanuni na kuikubali?? Pili jibu langu nililokupa umeafiki kulingana na kanuni yenu kuhusu chanzo??
Kwanza hujanipa jibu na sijakataa bali hujaelewa na huu ni muendelezo wako wa kutokuelewa mambo.Hueleweki, huku unasema unaikubali halafu nikikupa jibu lililopitia msingi huo unaoukubali, unalikataa sasa nikusleweje??
Unakubali jibu langu kwa namna ipi? ukisema hakuna usahihi katika jibu langu unaelewa kua unasema hakuna usahihi katika kanuni uliyoikubali kua ni sahihi??Nimekubali jibu lako ila sijakubali usahihi wa jibu lako,ndio maana nataka tuulizane maswali juu ya vyanzo tunavyo viamini kama ni vyanzo vya kila kitu,ili tujue nani mkweli kati yangu na wewe.
Ili unithibitishie ya kuwa ni kweli chanzo cha kila kitu ni Ulimwengu kuna maswali matatu nilianza kukuuliza kuhusu Ulimwengu kama chanzo naomba unijibi kisja na wewe utauliza yako nitakujibu.
Tuanzie hapa.
Kwanini nisieleww wakati wewe ndio umeinakili toka kwetu,kwenye Mungu wewe umeweka "Ulimwengu".
Nasisitiza ya kuwa nimekubali jibu lako ila sijakubali juu ya usahihi wa jibi lako,ndi maana nataka tuulizane maswali sasa kuhusu viwili hivi.
Unakubali jibu langu kwa namna ipi? ukisema hakuna usahihi katika jibu langu unaelewa kua unasema hakuna usahihi katika kanuni uliyoikubali kua ni sahihi??
Umeona unavyojichanganya?
Kwanza hujanipa jibu na sijakataa bali hujaelewa na huu ni muendelezo wako wa kutokuelewa mambo.
Jambo liko wazi usipoteze muda. Jibu yale maswali yangu niliyo kuuliza kuhusu Ulimwengu kama ni chanzo cha kila kitu.
Kwanini unipe kanuni yakuchongosha inayokupa majibu unayoyakubali wewe halafu nikitumia kwa namna hiyo hiyo uikatae??
Nakusubiria ukubali jibu langu kwanza
Daah,unapenda kupoteza muda sana. Nimekwambia nimekubali jibu lako ila sijakubali usahihi wa jibu lako ndio maana nataka wewe unithibitishie usahihi wa jibu lako,hapo tunautafuta ukweli kwahiyo kuhoji hakuepukiki na ni lazima lifanyike hilo.
Swali lako hilo ni sawa na mimi nikuulize weww ya kuwa je unakubali kama Mola ni chanzo cha kila kitu ? Utajibu ndio au hapana ? Je kujibu kwako hapana kuna badilisha kanuni ya "Hakuna chanzo cha chanzo ?"
Sasa uantakiwa ukuwe na uuize maswali ya msingi sio upoteze muda.
NITHIBITISHIE YA KUWA NI KWELI ULIMWENGU NI CHANZO CHA KILA KITU LWA KUJIBU MASWALI NILIYO KUULIZA HUKO NYUMA.
Sijakataa weww usiitumie nimekubali ndio maana narudia mara kwa mara juu ya kujadili ukweli wa vyanzo hivi viwili,ambavyo wewe unasema ni Ulimwengu na mimi nasema ni Mola.
Wewe si ndio umesema ya kuwa "Kila kitu kina chanzo isipokuwa Ulimwengu" na mimi nikasema hivi "Kila kitu kina chanzo isipokuwa Allah aliye juu". Sasa wakati wa mimi na wewe kuthibitisha ukweli wa kauli zetu na mimi nilikuuliza maswali matatu huko nyuma juu ya kauli ya chanzo cha kila kitu kuwa ni Ulimwengu.
Ok kwaiyo jibu langu ni sahihi siyo??Nimekujibu tayari.
Muda unaupoteza wewe kwa kutokili kua jibu nilokupa ni sahihi
Wewe kwanini utumie kanuni hiyo ?Sijasema uniambie kama umekubali mimi kutumia au lah? Nimekuambia kwanini unipe kanuni uliyojilengeshea jibu ambalo liko mfukoni mwako??
Wewe unakubali kama Mungu ndio chanzo cha kila kitu ? Jibu hukubali,kitakacho fata kwako ni kutak uthibitisho toka kwangu juu ya hilo na mimi nataka unithibitishie ya kuwa ni kweli Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu ? Ndio maana nimekuuliza maswali yale matatu kule post # 4,288.Kanuni yako inasema chanzo cha chanzo hakina chanzo, nimekujibu ulimwengu ni chanzo cha vilivyomo ndani yake hivyo hauna chanzo, kwanini ukatae jibu hili wakati limefata njia zote za kanuni???
Ok kwaiyo jibu langu ni sahihi siyo??