Ndio maana nakutaka uthibitishe hilo kwa kujibu maswali yangu ya post # 4,288 ni marahisi sana.
nisha kuthibitishia hilo kupitia kanuni niloyotumia kupata jibu, unataka nikuthibitishie mara ngapi???
Kwahiyo mwanzo wa kitabu nacho ni chanzo ?
Umeambiwa kila mtu lazima afe, we unauliza "wachaga nao watakufa". Ukishaambiwa chanzo cha kila kitu maana yake ni mwanzo wa kitu unaanzaje kuuliza swali la kipuuzi kama hilo, Kwani kitabu hakina chanzo??? Kama kina chanzo kwanini kisiwe na mwanzo??
Unatakiwa ujue maana ya maneno inavyotakiwa.
Hili swali nilikujibu mwanzo kabisa ya kuwa nimekubali jibu lako lakini sijakubali usahihi wa jibu lako,ndio maana nikakuuliza yale maswali ili unionyeshe usahihi wa jibu lako.
Mimi pia nakujibu kua nimekubali kanuni yako ila nimekataa kanusho lako kua jibu langu si sahihi
Maswali yako yana contradict kanuni yako inayosema hupaswi kuhoji chanzo cha chanzo kwasababu hakina chanzo, mimi nalinda sheria ila wewe unaivunja
Nimekuuliza swali hilo ili ukiri hivyo kama kuonyesha msisitizo wa kwamba unaikataa kanuni ambayo umeidandia na unaitumia sasa.
Kwanza kabla ya yote kubaliana na jibu langu
Hapa tumekubaliana katika kutokukubaliana juu ya usahihi wa majibu yetu.
Hayo makubalianao umefanya na nani??? Unaweza ukaonesha wapi nimekubaliana nawewe kua jibu langu si sahihi??? Umeishiwa hoja umeanza kulazimisha vitu nisivyo visema kua nimesema??
Wewe hukubali juu ya usahihi wa jibu langu ya kwamba Mola ndio chanzo cha kila kitu bsli wewe unasema kabisa hayupo ns mimi nasema ya kuwa Ulimwengu si chanzo cha kila kitu. Kwenye hili ndio ukweli uko hivyo.
Situmii jibu lako kama mwongozo, natumia kanuni yako kama mwongozo wa kujua jibu. Kutokubali kwako jibu langu hunikosoi mimi unakosoa kanuni yako kua kila jibu litalotumia hiyo kanuni haliwezi kua sahihi, unaelewa???
Sasa tutoke huko tuje kwenye nukta ya msingi ya kuthibitishiana haya tunayoyaamini. Huelewi nini hapo ?
mpaka hapa nikukumbushe unaizingatia kanuni ile vyema pamoja na sheria zake kua huwezi kuhoji chanzo cha chanzo kwasababu hakina chanzo???
Kwahiyo kama kanuni yangu ya uongo na unakubali kuwa muongo ? Nimesema mara kadhaa humu ya kuwa nimekubali jibi lako ili unithibitishie hilo lakini sijakubali juu ya usahihi wa jibu hilo,sasa wewe ndio unithibitishie kwa kutumia kanuni uliyo idandia ya kuwa Ulimwengu ni chanzo cha kila kitu,hili unakiwekepa mno.
Kwaiyo kanuni hiyo inatoa majibu ya uongo??
Nilikwambia ya kuwa kanuni ile ni maalumu na haikubali kingine isipokuwa Allah sasa wewe kwa ujinga umeitumi na sijakukataza,tunaambiwa hivi mtoto akililia wembe mpe umkate,nimekupa wembe bado unalia lia tena,sasa ndio ujibu maswali yangu.
Nikikupa kanuni ambayo inamkataa huyo allah iwe maalumu kwa ajili ya kumkanusha ikiwemo na kutokuwepo kwake, nikatoa hoja kupitia kanuni hiyo utakubali jibu lake kua ni kweli???
Kaka na wewe si una amini ya kuwa Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu ? Au sio wewe ? Mimi sijakataa imani yako bali nakataa juu ya usahihi wake ndio maana nimekuuliza maswali yale ili utuonyeshe ya kuwa ni kweli Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu.
Namimi nikikuambia nakataa juu ya usahihi kua jibu ni mungu utasemaje???
Kwa mimi kujua ya kuwa hutalikubali ndio maana nataka tuthibitishiane sasa kwa kuulizana maswali kwa hivi tunavyoviamini mbona rahisi sana.
Tuthibitihiane mara ngapi??? nishakuthibitishia hilo hapa tena umependekeza sheria ambayo wewe ulipenda upatiwe huo uthibitisho, nimekuthibitishia umeukataa uthibitisho tatizo ni lako si mimi
Unatumia machale??
Hakuna swali ulilo uliza mapema mimi sijakujibu ila maswali yangu niliyo kuuliza wewe kabla ya maswali yako hujajibu na ndio kawaida yako.
Kama unayakataa majibu unayopewa kua si sahihi kwasababu unataka upewe majibu ambayo yapo mfukoni mwako ni lazima uone kama hujajibiwa.
Sijalalamika nacho kemea mimi ni wewe kukumbia maswali na huko tumetoka nacho taka mimk ni wewe sasa utetee hilo jibu ulilo liafiki wewe kwa maswali niloyo kuuliza basi ili tusipoteze muda.
Nilitete jibu mara ngapi, hujaniona hapa nikikuelezea namna ya hilo jibu lilivyopatikana??? Sheria inasema" hupaswi kuhoji chanzo cha chanzo" nikakujibu kua ulimwengu ni chanzo cha vingine, hivyo ulimwengu hauna chanzo. Sheria hii unaielewa vizuri??
Nakuonea huruma nakuuliza swali kutokana na kauli hii kuna vyanzo vingapi ambavyo havina vyanzo ? Naona umetumia wingi hapo,kama hakuna vyanzo mbona umetaja chanzo kimoja ambacho ni Ulimwengu ?
Vyanzo viko vingi ila kipo kimoja chenye kusababisha hayo yote na chanzo hicho ndio ukomo, chanzo hicho ni ulimwengu pekee.
Kaka huelewi maneno na unavagaa kwenye mambo usio yajua,mimi hii kanuni nina uwezo wa kuitetea lakini wewe kadiri unavyozidi kuizungumzia unazidi kukosea.
Kanuni yenyewe imejitosheleza, unaanzaje kuitetea?? Unaonekana hata kanuni hujaielewa na ndio maana unahangaika kuitetea.
Hili jibu lako mimi sijalikataa sasa nachotaka mimi ni wewe uthibitishie juu ya jibu tuone kama ni kweli au la !
Weka wazi, umelikuabili jibu kua ji sahihi??
Hili la kutumia kanuni sijalikataa,nachotaka mimi sasa uthibitishe ukweli kwamba Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu.
Nathibitisha hapa ulimwengu ni chanzo cha kila kitu kwasababu chanzo cha chanzo hakina chanzo, ulimwengu ni chanzo cha vingine hivyo ulimwengu hauna chanzo. Umeelewa??