Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Nakuuliza swali hujibu,embu jaribu kujibu nilicho kuuliza au hujakielewa ? Sijakuuliza kwamba uniambie ulimwengu ni chanzo au la,soma tena swali langu,naona unajibi amnacho sijakuuliza.

Hapa naona kama kuna kitu umekisahau,umesema "...tunaona ulimwengu ni chanzo cha vingine,...". Rekebisja haraka,kabla sijakubana tena.

Hili swali kidogo lipo nje ya maada,ila lina maana sana,maana naona unatumia msingi dhaifu wa kimantiki,ushawahi kusoma elimu ya LOGIC ?
Nakujibu swali huku nikizingatia msingi wa kanuni, sio nijibu swali kihilolela ilihali nimevunja kanuni ya mjadala

Chanzo cha chanzo hakina chanzo, kwa principle hii ulimwengu ni chanzo cha vingine. Swali ambalo linaweza kujibiwa hapa kulingana na sheria hii ni vyanzo vya vitu vilivyomo ndani ya ulimwengu kinyume na hapo umekiuka kanuni
 
Wewe mbona huja kili kua ile sheria mliyoiteua imewabana wenyewe na umeanza kutipika kwa kuhamisha magoli??

Sio "kili" sahihi ni "kiri".

Kijana unapenda kupoteza muda sana. Naendelea kukufundisha tena kwa mtindo sababu maswali yangu hujajibu.

Unajua kama kusema "Hakuna chanzo cha chanzo" kimaana ni sawa na kusema "Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu" ? hii ni kwa minajili yako wewe japo si sahihi.

Sasa imekuwaje wewe unaishi katika kauli hii ambayo sisi tunaishi ? Uliposema Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu kwa maana yako wewe ni kuwa hakuna chanzo baada ya Ulimwengu hii ni sawa kabisa na kusema "Hakuna chanzo cha chanzo". Kama hujaona usawa wa maana ya kauli hizi mbili si ajabu ndio maana mna kana uwepo wa Allah aliye juu na huu ni uchache wenu wa maarifa.

Tunasema hivi Wakana Mungu (Mulhiduun) hawana akili timamu.

Mimi sheria ambayo naishi nayo ni kuwa "KILA KITU KINA CHANZO ISIPOKUWA ALLAH ALIYE JUU".

Katika ufafanuzi sababu unakichwa kigumu kwa kujitakia mwenyewe tunatumia lugha ya "Hakuna chanzo cha chanzo".

Nakuuliza swali moja au mawili au zaidi kuhusu Ulimwengu ambao unadai ndio chanzo cha kila kitu.

1. Ili ulimwengu uuitwe Ulimwengu unatakiwa uwe na nini na nini ?

2. Je ulimwengu ni kamili kwa maana hauna madhaifu ?

3. Je ulimwengu una maarifa yaani unajua ? Kama haujui na hauna maarfa umekuwaje ni chanzo cha kila kitu ?

Nipo .....
 
Nakujibu swali huku nikizingatia msingi wa kanuni, sio nijibu swali kihilolela ilihali nimevunja kanuni ya mjadala

Chanzo cha chanzo hakina chanzo, kwa principle hii ulimwengu ni chanzo cha vingine. Swali ambalo linaweza kujibiwa hapa kulingana na sheria hii ni vyanzo vya vitu vilivyomo ndani ya ulimwengu kinyume na hapo umekiuka kanuni
Nakupa nafasi nyingine tena,ujibu swali nililo kuuliza.
 
We hukuwepo??

Sheria waliteua wao, kwamba chanzo cha chanzo hakina chanzo. Unakubali??
Nimeshakuonyesha tayari kwamba na wewe unaishi katika hiyo sheria. Vipi na wewe upo makosani ? Au hujui unachokiandika ?

Elimu pia ni kuweza kutoa maana moja katika vitu viwili vyenye kufanana sana,yaani Elimu ni kuweza kutofautisha vitu viwili vyenye kufanana.
 
Jibu maswali niliyo kuuliza acha uoga.
Maswali yako sio kwamba ni muhimu kuliko ya wengine, hatuwezi tukaenda hatua ya pili wakati hii ya kwanza hatujamaliza.

Unakubali kua Chanzo cha chanzo hakina chanzo???
 
Sio "kili" sahihi ni "kiri".

Kijana unapenda kupoteza muda sana. Naendelea kukufundisha tena kwa mtindo sababu maswali yangu hujajibu.

Unajua kama kusema "Hakuna chanzo cha chanzo" kimaana ni sawa na kusema "Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu" ? hii ni kwa minajili yako wewe japo si sahihi.

Sasa imekuwaje wewe unaishi katika kauli hii ambayo sisi tunaishi ? Uliposema Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu kwa maana yako wewe ni kuwa hakuna chanzo baada ya Ulimwengu hii ni sawa kabisa na kusema "Hakuna chanzo cha chanzo". Kama hujaona usawa wa maana ya kauli hizi mbili si ajabu ndio maana mna kana uwepo wa Allah aliye juu na huu ni uchache wenu wa maarifa.

Tunasema hivi Wakana Mungu (Mulhiduun) hawana akili timamu.

Mimi sheria ambayo naishi nayo ni kuwa "KILA KITU KINA CHANZO ISIPOKUWA ALLAH ALIYE JUU".

Katika ufafanuzi sababu unakichwa kigumu kwa kujitakia mwenyewe tunatumia lugha ya "Hakuna chanzo cha chanzo".

Nakuuliza swali moja au mawili au zaidi kuhusu Ulimwengu ambao unadai ndio chanzo cha kila kitu.

1. Ili ulimwengu uuitwe Ulimwengu unatakiwa uwe na nini na nini ?

2. Je ulimwengu ni kamili kwa maana hauna madhaifu ?

3. Je ulimwengu una maarifa yaani unajua ? Kama haujui na hauna maarfa umekuwaje ni chanzo cha kila kitu ?

Nipo .....

Hiyo sheria unayoishi nayo ni kwa minajili yako binafsi ili kukwepa maswali magumu yaojibika sasa usitake wote tufate mawazo yako kulingana na mtazamo wako.

mimi pia naweza kutumia kichaka hicho hicho kama sheria yangu nayoishi nayo "Kila kitu kina chanzo isipokua ulimwengu" utaanza vipi kuhoji juu chanzo cha ulimwengu???
 
Nimeshakuonyesha tayari kwamba na wewe unaishi katika hiyo sheria. Vipi na wewe upo makosani ? Au hujui unachokiandika ?

Elimu pia ni kuweza kutoa maana moja katika vitu viwili vyenye kufanana sana,yaani Elimu ni kuweza kutofautisha vitu viwili vyenye kufanana.
Sawa kabisa umeonesha nidhamu kwa kutoikana sheria ambayo mwanzo uliomekana kutoikubali kwasababu inakubana

Kwaiyo unakubaliana na mimi kua ulimwengu ndiyo chanzo kisicho chanzo kwasababu ni chanzo cha vingine??
 
Maswali yako sio kwamba ni muhimu kuliko ya wengine, hatuwezi tukaenda hatua ya pili wakati hii ya kwanza hatujamaliza.
Mimi ndio nilianza kukuuliza wewe maswali kwahiyo ili kufata utaratibu unao utaka lazima wewe ujibu kwanza maswali yangu.
Unakubali kua Chanzo cha chanzo hakina chanzo???
Kwa maana nakubali,ila kwa usahihi ni kuwa "Kila kitu kina chanzo isipokuwa Allah pekee aliye juu".

Na wewe jibu swali langu kabla ya swali lako hili.

Nilikuuliza ya kuwa una kubali ya kuwa kauli yako ya "Ulimwengu ni chanzo cha kila kitu" ipo ndani ya kauli "Hakuna chanzo cha chanzo" ?
 
Sawa kabisa umeonesha nidhamu kwa kutoikana sheria ambayo mwanzo uliomekana kutoikubali kwasababu inakubana

Hakuna sehemu ambayo nimeikana hiyo kauli mzee,unatakiwa kuongeza umakini na hili tatizo unalo tangu siku ya kwanza kabisa naanza kujadiliana na wewe.
 
mimi pia naweza kutumia kichaka hicho hicho kama sheria yangu nayoishi nayo "Kila kitu kina chanzo isipokua ulimwengu" utaanza vipi kuhoji juu chanzo cha ulimwengu???
Na anzia hapa,sasa basi sababu umedandia treni kwa mbele kwa kuovamia kanuni yetu ambayo na wewe tangu juzi au kabla ya juzi umeanza kuishi humo,mlango uko wazi karibu kwenye ulimwengu wa kufikiri kikubwa.

Hiki sio kichaka,tatizo ni wewe kushindwa kutumia akili kuuliza maswali ya maana. Sasa sababu wote tupo katika maana ya kanuni moja,basi mimi nitakuuliza maswali kuhusu chanzo unacho kiamini ambacho ni Ulimwengu na wewe utaniuliza maswali yako. Vipi uko tayari ?

Sasa nataka tuje kuthibitishiana ya kuwa je ni kweli chanzo cha kila kitu ni Ulimwengu au ni Allah aliye juu,ili tujue kati yangu mimi na wewe nani mkweli.

Je uko tayari kuthibitisha ya kiwa ni kweli chanzo cha kila kitu ni Ulimwengu ?
 
Jibu nishakupa nimekuambia ni "ulimwengu"

Kuna maswali nimekuuliza kuhusu chanzo chako unacho kiamin kiitwacho Ulimwengu,naomba unijibu ili utuonyeshe ya kuwa ni kweli chanzo cha kila kitu ni Ulimwengu.

Nasubiri majibu.
 
Hiyo sheria unayoishi nayo ni kwa minajili yako binafsi ili kukwepa maswali magumu yaojibika sasa usitake wote tufate
Kaka una kichwa kigumu sana,vipi na mimi nikikwambia na wewe ya kuwa sheria yako unayoishi humo ambayo ni "Chanzo cha kila kitu ni Ulimwengu" nayo unaitumia ili kukwepa maswali magumu utakubali kwamba ni kweli unakwepa magumu ? Sasa usiwe mjinga kiasi hicho.

Huajawahi kuniuliza maswali magumu wala hutoweza kufanya hivyo katika suala la kuhusu chanzo na mfano wake.
 
Mimi ndio nilianza kukuuliza wewe maswali kwahiyo ili kufata utaratibu unao utaka lazima wewe ujibu kwanza maswali yangu.

Kwa maana nakubali,ila kwa usahihi ni kuwa "Kila kitu kina chanzo isipokuwa Allah pekee aliye juu".

Na wewe jibu swali langu kabla ya swali lako hili.

Nilikuuliza ya kuwa una kubali ya kuwa kauli yako ya "Ulimwengu ni chanzo cha kila kitu" ipo ndani ya kauli "Hakuna chanzo cha chanzo" ?

Kwaiyo hiyo sheria sio sahihi kwasababu haitoi jibu sahihi??
 
Kaka una kichwa kigumu sana,vipi na mimi nikikwambia na wewe ya kuwa sheria yako unayoishi humo ambayo ni "Chanzo cha kila kitu ni Ulimwengu" nayo unaitumia ili kukwepa maswali magumu utakubali kwamba ni kweli unakwepa magumu ? Sasa usiwe mjinga kiasi hicho.

Huajawahi kuniuliza maswali magumu wala hutoweza kufanya hivyo katika suala la kuhusu chanzo na mfano wake.
Hoyo sheria kwani nimeileta mimi au nyinyi? Unavyotaka kuikataa unakua unanikanusha mimi au nyinyi??
 
Kuna maswali nimekuuliza kuhusu chanzo chako unacho kiamin kiitwacho Ulimwengu,naomba unijibu ili utuonyeshe ya kuwa ni kweli chanzo cha kila kitu ni Ulimwengu.

Nasubiri majibu.
Anhaaa kwaiyo umekubaliana na jibu langu lililotokana na hiyo kanuni siyo??
 
Back
Top Bottom