Kwahiyo wewe uliposema Chanzo cha kila kitu ni Ulimwengu ulituiga sisi sio tena kibubusa ? Tena ukasema hupaswi kutaka kujua chanzo cha ulimwengu wakati ulimwengu ndio Chanzo cha kila kitu ?
Tatizo unakosa umakini mpaka unachosha,mamo mepesi sana haya,sijui vipi huyaelewi.
Hivi nikisema "Chanzo kisicho na chanzo" kuna tofauti gani na mtu akasema "Chanzo cha kila kitu ni Ukimwengu" ? Kwa unavyojua wewe ulimwengu hauna chanzo au nakuzulia ?
Hapo hakuna jibu sahihi,bali naonyesha udhaifu wako katika kujenga mambo na kuyaelewa,yaani unakurupuka bila kuelewa.
Hakuna cha mimi kuchukua.
Sijakubali hilo,nachofanya hapa naonyesha udhaifu wako tu.
Ugonjwa wa akili sio tusi na hii ni haki yako wala sijakudhulumu.
Ukweli ni kwamba hata kuusogelea huo unao uita uzushi hujausogelea,hapa shahidi ni nafsi yako hakuna haja ya kukubana tena ufinyua wako wa maarifa ya jambo hili umekuvua nguo jana.