Nundu_Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 811
- 350
Mungu anajua kila kitu. Anajua leo unafanya hili, kesho hili. Anajua mawazo yako yote. Ni mjuzi wa mambo yote.Mungu akijua kesho utaua, unaweza kuepuka kuua kesho?
Mungu kwa mapenzi yake anaweza kukuepusha usiuwe kesho, kwa mapenzi hayo hayo anakuacha uuwe kesho.