Nundu_Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 811
- 349
Vizuri. Je, unajua ni watu wa magonjwa ya aina gani wanaofanyiwa tiba ya placebo effect?Si kweli. Placebo effect inapimwa katika majaribio ya tiba ili kujua tiba inatibu kwa kiasi gani, na watu wanaopona bila kupata tiba, kwa imani tu, ni kiasi gani.
Kitu ambacho hujui ni kwamba, dawa hata iwe ya ukweli au uongo, ili iweze kumponya mgonjwa inategemea akili ya mgonjwa ilivyokubali kwa kiasi chote hiyo dawa, na anaempa hiyo dawa. Mfano, dawa inaweza kutibu malaria, lakini kama mgonjwa hajaikubali hataweza kupona.Unaweza kuwaacha watoto wawili, mmoja ana miaka 8 na mwingine ana miaka 5, wa miaka mitano akaumwa, dada yake wa miaka 8 akampa dawa ya uongo, wa miaka 5 akaamini dawa ni ya kweli, akapona kwa placebo effect. Hapo hakuna mganga wala psychologist.
Utaniambiaje kitu ambacho sijui ni kwamba dawa hata ya uongo inaweza kumponya mgonjwa, wakati mimi ndiye nimeanza kuandika habari za placebo effect hapa?Kitu ambacho hujui ni kwamba, dawa hata iwe ya ukweli au uongo, ili iweze kumponya mgonjwa inategemea akili ya mgonjwa ilivyokubali kwa kiasi chote hiyo dawa, na anaempa hiyo dawa. Mfano, dawa inaweza kutibu malaria, lakini kama mgonjwa hajaikubali hataweza kupona.
Kwenye huu mfano wako wa watoto hapo juu, unatengeneza maswali mengi. Kwanza hatuoni ni ugojwa gani mtoto wa miaka mitano anaumwa. Hivyo ni kwa hakika gani tunaweza kuthibitisha kwamba dawa aliyopewa mtoto mwenye miaka mitano ni ya uongo? Lakini pia, mtoto wa miaka mitano anaumwa, tufikiri kwamba na yeye hajui anaumwa nini. Ni kwa namna gani utasema hiyo dawa aliyopewa kisha akapona haitibu ugonjwa huo, ni fake?
Placebo effect ina apply across the board. Swali lako linaonesha hujui placebo effect ni nini.Vizuri. Je, unajua ni watu wa magonjwa ya aina gani wanaofanyiwa tiba ya placebo effect?
Usijipe sifa ambayo huna! Tambua pia kwamba kusoma jambo ni hatua moja kuelewa jambo ni hatua nyingine.Utaniambiaje kitu ambacho sijui ni kwamba dawa hata ya uongo inaweza kumponya mgonjwa, wakati mimi ndiye nimeanza kuandika habari za placebo effect hapa?
Hapana unapotoka... Kuna maarifa mengi sana tunajifunza... Kwa mfano hiyo placebo effect leo ndio nimeweza kuelimika zaidi kupitia huyu mchangiaji mpyaMnapoteza muda kubishana vitu ambavyo havipo.
Tafuteni ufumbuzi ni kwa namna gani jamii zenu zitaishi kwa uhuru miaka ijayo
Watu wengi, wao wanajua vitu havipo. Wao wanajua kufanya kazi ndiyo namna pekee ya kutopoteza muda. Hawa wanawaona waliowatangulia walipotoza muda ndiyo maana leo wao hawaishi kwa uhuru. Kama ni sababu kwanini tunaishi hivi hii leo katika familia, jamii au taifa, basi si yingine isipokuwa dini, Mungu.Mnapoteza muda kubishana vitu ambavyo havipo.
Placebo effect haihitaji kuwa applied na mtu, unaelewa hilo?Usijipe sifa ambayo huna! Tambua pia kwamba kusoma jambo ni hatua moja kuelewa jambo ni hatua nyingine.
"...Mimi ndiye nimeanza kuandika habari za placebo effect hapa".... Lakini hapo hapo, badae ukasema, kuna watu wanachunguza jambo hili. Unaonekana unafuatilia sana sayansi lakini unakosa uelewa wa sayansi.
Narudia tena placebo effect ni suala lililo ndani ya akili na siyo vinginevyo.
Wewe unae-apply placebo effect unakuwa unajua hii substance or procedure is fake, lakini huyu anaepokea yeye anakuwa hajui hivyo au hilo. Hapo hapo, aliyepokea katika akili yake yeye ataelewa kwamba umempatia substance or procedure sahihi. Kwanini ataelewa hivyo? Kwasababu, kama ni mgonjwa, yeye hataelewa kwamba hiyo dawa ni fake kwani aliye-apply ni daktari. Hapo utaangalia akili ya mgonjwa kwa daktari. Hivyo hivyo katika field nyingine.
uko sawa...na hapa ni kama kiranga kapandwa na hasira kuhusu tafsiri ya placebo effect ya Nundu TzHapana unapotoka... Kuna maarifa mengi sana tunajifunza... Kwa mfano hiyo placebo effect leo ndio nimeweza kuelimika zaidi kupitia huyu mchangiaji mpya
Kubishana kuhusu vitu ambavyo havipo, ili kufahamu kwa uhakika kwamba havipo, si kupoteza muda. Ni kutafuta ukweli na ufanisi.Mnapoteza muda kubishana vitu ambavyo havipo.
Tafuteni ufumbuzi ni kwa namna gani jamii zenu zitaishi kwa uhuru miaka ijayo
Mwanzoni, kwenye comments zako umesema, placebo ina-apply siyo tu kwenye medicine na psychology, lakini pia kwenye cognitive abilities and athletics. Nakubaliana nawe.Placebo effect haihitaji kuwa applied na mtu,
Unaelewa kwamba kitu kinaweza ku apply kwa mtu bila kuwa applied na mtu?Mwanzoni, kwenye comments zako umesema, placebo ina-apply siyo tu kwenye medicine na psychology, lakini pia kwenye cognitive abilities and athletics. Nakubaliana nawe.
Sasa ukiziangalia hizo field tajwa unang'amua, kwa vyovyote vile huwezi kuzitenganisha na mtu.
Sasa ni kwa vipi placebo effect ni halali pasipo mtu?
NB: Hakuna namna placebo effect inaweza kusemwa, bila kusema akili. Na akili utaikuta kwa mtu na kutoka kwa mtu akili inaelekea viumbe vingine.
Mimi nadhani tafsiri ya hicho chanzo ndiyo inayokera watu na kuleta mtafaruku kuliko uhakika wa uwepo au kutokuwepo kwa chanzo hichoNijuavyo kisichopo hakiwezi kutajwa popote... Kisichopo hakipo... Ni zaidi ya sifuri ambayo ipo na inatajwa
Ukishasema "kisichopo hakiwezi kutajwa popote" tayari umeshakitaja hapo.Nijuavyo kisichopo hakiwezi kutajwa popote... Kisichopo hakipo... Ni zaidi ya sifuri ambayo ipo na inatajwa
Maana ya Applied (of a subject) practical rather than theoretical. Ili tuseme hiki kitu ni applied ni lazima kiwe practical. Mpaka hapo unaweza kuona especially in this context (placebo effect)Unaelewa kwamba kitu kinaweza ku apply kwa mtu