Kiranga sio atheist ni non-believer

Unaweza kuwaacha watoto wawili, mmoja ana miaka 8 na mwingine ana miaka 5, wa miaka mitano akaumwa, dada yake wa miaka 8 akampa dawa ya uongo, wa miaka 5 akaamini dawa ni ya kweli, akapona kwa placebo effect. Hapo hakuna mganga wala psychologist.
Kitu ambacho hujui ni kwamba, dawa hata iwe ya ukweli au uongo, ili iweze kumponya mgonjwa inategemea akili ya mgonjwa ilivyokubali kwa kiasi chote hiyo dawa, na anaempa hiyo dawa. Mfano, dawa inaweza kutibu malaria, lakini kama mgonjwa hajaikubali hataweza kupona.
Kwenye huu mfano wako wa watoto hapo juu, unatengeneza maswali mengi. Kwanza hatuoni ni ugojwa gani mtoto wa miaka mitano anaumwa. Hivyo ni kwa hakika gani tunaweza kuthibitisha kwamba dawa aliyopewa mtoto mwenye miaka mitano ni ya uongo? Lakini pia, mtoto wa miaka mitano anaumwa, tufikiri kwamba na yeye hajui anaumwa nini. Ni kwa namna gani utasema hiyo dawa aliyopewa kisha akapona haitibu ugonjwa huo, ni fake?
 
Utaniambiaje kitu ambacho sijui ni kwamba dawa hata ya uongo inaweza kumponya mgonjwa, wakati mimi ndiye nimeanza kuandika habari za placebo effect hapa?

Kwa mara nyingine tena.

Unaelewa placebo effect ni nini?

Inaonekana hujaielewa bado.
 
Vizuri. Je, unajua ni watu wa magonjwa ya aina gani wanaofanyiwa tiba ya placebo effect?
Placebo effect ina apply across the board. Swali lako linaonesha hujui placebo effect ni nini.

In fact placebo inaweza ku apply hata nje ya medicine, kwenye mambo ya athletics na cognitive abilities. Kuna watu wanachunguza zaidi hili.

Do you even know what placebo effect is?
 
Utaniambiaje kitu ambacho sijui ni kwamba dawa hata ya uongo inaweza kumponya mgonjwa, wakati mimi ndiye nimeanza kuandika habari za placebo effect hapa?
Usijipe sifa ambayo huna! Tambua pia kwamba kusoma jambo ni hatua moja kuelewa jambo ni hatua nyingine.
"...Mimi ndiye nimeanza kuandika habari za placebo effect hapa".... Lakini hapo hapo, badae ukasema, kuna watu wanachunguza jambo hili. Unaonekana unafuatilia sana sayansi lakini unakosa uelewa wa sayansi.
Narudia tena placebo effect ni suala lililo ndani ya akili na siyo vinginevyo.
Wewe unae-apply placebo effect unakuwa unajua hii substance or procedure is fake, lakini huyu anaepokea yeye anakuwa hajui hivyo au hilo. Hapo hapo, aliyepokea katika akili yake yeye ataelewa kwamba umempatia substance or procedure sahihi. Kwanini ataelewa hivyo? Kwasababu, kama ni mgonjwa, yeye hataelewa kwamba hiyo dawa ni fake kwani aliye-apply ni daktari. Hapo utaangalia akili ya mgonjwa kwa daktari. Hivyo hivyo katika field nyingine.
 
Mnapoteza muda kubishana vitu ambavyo havipo.
Tafuteni ufumbuzi ni kwa namna gani jamii zenu zitaishi kwa uhuru miaka ijayo
 
Hapana unapotoka... Kuna maarifa mengi sana tunajifunza... Kwa mfano hiyo placebo effect leo ndio nimeweza kuelimika zaidi kupitia huyu mchangiaji mpya
 
Mnapoteza muda kubishana vitu ambavyo havipo.
Watu wengi, wao wanajua vitu havipo. Wao wanajua kufanya kazi ndiyo namna pekee ya kutopoteza muda. Hawa wanawaona waliowatangulia walipotoza muda ndiyo maana leo wao hawaishi kwa uhuru. Kama ni sababu kwanini tunaishi hivi hii leo katika familia, jamii au taifa, basi si yingine isipokuwa dini, Mungu.
Ukitaka kujua hilo, jiulize swali hili: je, walionitangulia hawakuwa na tamaa na mawazo ya maendeleo kiuchumi, kijamii na kiteknolojia kama mimi? Pia, jiulize: walionitangulia hawakufanya kazi kwa bidii? Je, matokeo ya kazi zao yako wapi? Yapo?
 
Usijipe sifa ambayo huna! Tambua pia kwamba kusoma jambo ni hatua moja kuelewa jambo ni hatua nyingine.
"...Mimi ndiye nimeanza kuandika habari za placebo effect hapa".... Lakini hapo hapo, badae ukasema, kuna watu wanachunguza jambo hili. Unaonekana unafuatilia sana sayansi lakini unakosa uelewa wa sayansi.
Narudia tena placebo effect ni suala lililo ndani ya akili na siyo vinginevyo.
Wewe unae-apply placebo effect unakuwa unajua hii substance or procedure is fake, lakini huyu anaepokea yeye anakuwa hajui hivyo au hilo. Hapo hapo, aliyepokea katika akili yake yeye ataelewa kwamba umempatia substance or procedure sahihi. Kwanini ataelewa hivyo? Kwasababu, kama ni mgonjwa, yeye hataelewa kwamba hiyo dawa ni fake kwani aliye-apply ni daktari. Hapo utaangalia akili ya mgonjwa kwa daktari. Hivyo hivyo katika field nyingine.
Placebo effect haihitaji kuwa applied na mtu, unaelewa hilo?
 
Mnapoteza muda kubishana vitu ambavyo havipo.
Tafuteni ufumbuzi ni kwa namna gani jamii zenu zitaishi kwa uhuru miaka ijayo
Kubishana kuhusu vitu ambavyo havipo, ili kufahamu kwa uhakika kwamba havipo, si kupoteza muda. Ni kutafuta ukweli na ufanisi.

Jambo kubwa kabisa linalofanya jamii zetu ziishi bila uhuru ni imani ya Mungu, kwa hivyo, mjadala wowote unaohusu uwepo wa Mungu ni mjadala wa kuifungua macho jamii iishi kwa uhuru si tu miaka ijayo, bali hata sasa.
 
Placebo effect haihitaji kuwa applied na mtu,
Mwanzoni, kwenye comments zako umesema, placebo ina-apply siyo tu kwenye medicine na psychology, lakini pia kwenye cognitive abilities and athletics. Nakubaliana nawe.
Sasa ukiziangalia hizo field tajwa unang'amua, kwa vyovyote vile huwezi kuzitenganisha na mtu.
Sasa ni kwa vipi placebo effect ni halali pasipo mtu?
NB: Hakuna namna placebo effect inaweza kusemwa, bila kusema akili. Na akili utaikuta kwa mtu na kutoka kwa mtu akili inaelekea viumbe vingine.
 
Unaelewa kwamba kitu kinaweza ku apply kwa mtu bila kuwa applied na mtu?

Unaelewa tofauti ya kitu ku apply na kuwa applied?

Unaelewa hata nilichoandika ni nini?
 
Baada ya kwenda gugo nimegundua placebo effect ni kama kikombe Cha babu wa loliondo

Halafu naomba kuuliza wadau mwenye nia na anijibu_Ni hivi "nikimwambia mwanangu kuwa nitamnunulia Tukutuku akifaulu masomo yake vizuri_ wakati kwa uhalisia hata uwezo wa baisikeli Sina, nitakuwa nimemfanyia placebo effect ili kunyanyua Ari yake"..?
 
94 Reactions
Reply
Back
Top Bottom