OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,654
- 9,260
Miaka 600 BC baada ya mapinduzi ya kilimo, watu walianza kutegemea kilimo cha mvua, ikitokea msimu kuwa wa ukame mamilioni ya watu walikufa, ktk hali kama hiyo watu walitawaliwa na hofu kubwa na mashaka kila msimu wa kulima ulipowadia, hapo ndipo wakaanza kuamini kuwa huko mawinguni kuna nguvu flani isiyokua ya kibinadamu inayoshusha mvua, wakaanza kuomba na kutoa kafala ya wanyama,
Hakuna mtu anaeweza kuwa mkristo, isipokuwa kwa sakramenti ya ubatizo. Nje ya sakramenti ya ubatizo hakuna Ukristo.Lakini pia, Mkristo ina tafsiri nyingine, kwamba mtu anayemuamini Yesu Kristo na kumfanya kuwa ni Bwana na Mwokozi wa maisha yake. Kwa tafsiri hiyo mimi si Mkristo.
Mtu akibatizwa kwa sakramenti unayoisema, halafu akakataa uwepo wa Mungu aliyesemwa katika Biblia, na kusema Yesu si Mungu, ni tapeli tu, atakuwa Mkristo kwa sababu amepata sakramenti ya ubatizo?Hakuna mtu anaeweza kuwa mkristo, isipokuwa kwa sakramenti ya ubatizo. Nje ya sakramenti ya ubatizo hakuna Ukristo.
Kwa tendo la sakramenti ya ubatizo tayari mtu anakuwa ameingizwa katika Ukristo. Namna yoyote ya mtu kukataa, kumkana, kuasi au kutojali Yesu, Mungu haiwezi kumuondolea muhuri wa ubatizo. Kanisa ndio pekee lililopewa nguvu ya kumuondolea mtu au kuvunja sakramenti, pale mtu anapotaka mwenyewe aondolewe Kanisa linavunja hiyo sakramenti kwa hiyo mtu.Mtu akibatizwa kwa sakramenti unayoisema, halafu akakataa uwepo wa Mungu aliyesemwa katika Biblia, na kusema Yesu si Mungu, ni tapeli tu, atakuwa Mkristo kwa sababu amepata sakramenti ya ubatizo?
Kwa hiyo Ukristo ni sakramenti, si imani?Kwa tendo la sakramenti ya ubatizo tayari mtu anakuwa ameingizwa katika Ukristo. Namna yoyote ya mtu kukataa, kumkana, kuasi au kutojali Yesu, Mungu haiwezi kumuondolea muhuri wa ubatizo. Kanisa ndio pekee lililopewa nguvu ya kumuondolea mtu au kuvunja sakramenti, pale mtu anapotaka mwenyewe aondolewe Kanisa linavunja hiyo sakramenti kwa hiyo mtu.
Kama ulipata sakramenti ya ubatizo, halafu badae ukakataa kwamba Mungu hayupo n kwamba ni uongo, hiyo haikuondolei sakramenti ya ubatizo. Lakini pia, mwenendo huo, uelewa wako huo mpya kwa wenyewe hauvunji sakramenti ya ubatizo uliyopewa.
Ni wakati gani unazungumza imani halafu wakati huo huo usizungumze sakramenti?Kwa hiyo Ukristo
Kwa hivyo unamaanisha imani na sakramenti ni kitu kimoja?Ni wakati gani unazungumza imani halafu wakati huo huo usizungumze sakramenti?
Kwa hivyo unamaanisha imani na
Imani na sakramenti ni vitu tofauti, lakini visivyoweza kutenganishwa. Kimojawapo kisipokuwepo kingine kinakosa uhalali. Imani isipounganika au isipofungamana na nguvu au neema au baraka ya Mungu (sakramenti) hakuna kazi ndani yake inaweza kufanyika.Kwa hivyo unamaanisha imani na sakramenti ni kitu kimoja?
Kama imani inafanya kazi, basi ni kwa sababu ndani yake mna uwemo wa sakramentiKwa hivyo unamaanisha imani na sakramenti ni kitu kimoja?
Placebo effect, ambayo ni matokeo ya imani, inaweza kufanya kazi bila sakramenti.Kama imani inafanya kazi, basi ni kwa sababu ndani yake mna uwemo wa sakramenti
Jinsi hii na kwa namna yake haiwezi kuwa matokeo ya imani. Hii ni njia inayotumika na psychologists na watu wa medicine kutibu au kurekebisha watu waliopata majeraha ya kihisia au ya ndani. Placebo effects kwa asili yake inamtegemea kwa kiasi chote psychologist au mtu wa medicine anaelewa nini kimesababisha mtu kujeruhiwa kihisia au kwandi, na kutoka hapo ndipo anaweza kuanza kuiandaa na kuitengeneza upya akili ya aliyejeruhiwa kihisia au ndani kwa kumwingizia kitu kingine katika akili yake.Placebo effect,
Wrong. Placebo effect inaweza kutokea hata kanisani.Jinsi hii na kwa namna yake haiwezi kuwa matokeo ya imani. Hii ni njia inayotumika na psychologists na watu wa medicine kutibu au kurekebisha watu waliopata majeraha ya kihisia au ya ndani. Placebo effects kwa asili yake inamtegemea kwa kiasi chote psychologist au mtu wa medicine anaelewa nini kimesababisha mtu kujeruhiwa kihisia au kwandi, na kutoka hapo ndipo anaweza kuanza kuiandaa na kuitengeneza upya akili ya aliyejeruhiwa kihisia au ndani kwa kumwingizia kitu kingine katika akili yake.
Ni kwa vipi niko-wrong. Bainisha tafadhali!Wrong.
Placebo effects ni jambo linakusudia akili pekee. Hili kama nilivyosema hapo awali linategemea kwa kiasi chote imani ya mtu mwingine itakavyofaulu ku- convince na ku- dominate akili ya aliyejeruhiwa kihisia.Wrong. Placebo effect inaweza kutokea hata kanisani.
Umeandika hivi.Ni kwa vipi niko-wrong. Bainisha tafadhali!
Unaongelea "aliyejeruhiwa kihisia" kama placebo effect inaishia kwa waliojeruhiwa kihisia. Huelewi placebo effect ni nini.Placebo effects ni jambo linakusudia akili pekee. Hili kama nilivyosema hapo awali linategemea kwa kiasi chote imani ya mtu mwingine itakavyofaulu ku- convince na ku- dominate akili ya aliyejeruhiwa kihisia.
Jinsi hii,ndiyo tunaikuta kwa waganga wa kienyeji. Hawa wanaweza kumtibu mtu tatizo fulani kwa kumwaminisha jambo jingine. Mganga wa kienyeji atakwambia unaumwa chemba moyo, lakini kiuhalisia unaumwa magonjwa ya moyo au presha.
Kwahiyo, placebo effect inaweza kutumika kanisani kutegemea na uelewa wa yule aliye na mamlaka ya kanisa. Kanisa sahihi linautaratibu uliowazi kwenye mambo yote majeraha ya mwili na roho. Kanisa sahihi linajua huyu matatizo yake ni kwa sababu hii na linajua linavyoweza kumsaidia.
Kwa vyovyote vile, sakramenti haiwezi kuwa, kufanana au kukalibiana na placebo effect. Kwani placebo effect namna yake iko kwa binadamu, yaani placebo effect ni jambo la kisayansi.