Kiranga sio atheist ni non-believer

Miaka 600 BC baada ya mapinduzi ya kilimo, watu walianza kutegemea kilimo cha mvua, ikitokea msimu kuwa wa ukame mamilioni ya watu walikufa, ktk hali kama hiyo watu walitawaliwa na hofu kubwa na mashaka kila msimu wa kulima ulipowadia, hapo ndipo wakaanza kuamini kuwa huko mawinguni kuna nguvu flani isiyokua ya kibinadamu inayoshusha mvua, wakaanza kuomba na kutoa kafala ya wanyama,

Walipo vuna mazao mengi walizaliana kwa wingi, lakini pia walikua na hofu ya kuvamiwa na majirani (empire zingine) hapo wakatengeneza mungu wa pili anayehusika na mambo ya ulinzi wa empire,

Pia kulikuwa na mungu anayehusika na kuponya watu ktk empire. Huyu alikuwa ni mungu wa tatu.

Wafalme ndio waliohusika kusimamia hizo imani za miungu ktk empire zao ili kila mtu aziheshimu sababu wasipo ziheshimu basi watapata adhabu ya ukame au mafuriko (hofu),
 
Mtu akibatizwa kwa sakramenti unayoisema, halafu akakataa uwepo wa Mungu aliyesemwa katika Biblia, na kusema Yesu si Mungu, ni tapeli tu, atakuwa Mkristo kwa sababu amepata sakramenti ya ubatizo?
Kwa tendo la sakramenti ya ubatizo tayari mtu anakuwa ameingizwa katika Ukristo. Namna yoyote ya mtu kukataa, kumkana, kuasi au kutojali Yesu, Mungu haiwezi kumuondolea muhuri wa ubatizo. Kanisa ndio pekee lililopewa nguvu ya kumuondolea mtu au kuvunja sakramenti, pale mtu anapotaka mwenyewe aondolewe Kanisa linavunja hiyo sakramenti kwa hiyo mtu.
Kama ulipata sakramenti ya ubatizo, halafu badae ukakataa kwamba Mungu hayupo n kwamba ni uongo, hiyo haikuondolei sakramenti ya ubatizo. Lakini pia, mwenendo huo, uelewa wako huo mpya kwa wenyewe hauvunji sakramenti ya ubatizo uliyopewa.
 
Kwa hiyo Ukristo ni sakramenti, si imani?
 
Kwa hivyo unamaanisha imani na
Kwa hivyo unamaanisha imani na sakramenti ni kitu kimoja?
Imani na sakramenti ni vitu tofauti, lakini visivyoweza kutenganishwa. Kimojawapo kisipokuwepo kingine kinakosa uhalali. Imani isipounganika au isipofungamana na nguvu au neema au baraka ya Mungu (sakramenti) hakuna kazi ndani yake inaweza kufanyika.
 
Placebo effect,
Jinsi hii na kwa namna yake haiwezi kuwa matokeo ya imani. Hii ni njia inayotumika na psychologists na watu wa medicine kutibu au kurekebisha watu waliopata majeraha ya kihisia au ya ndani. Placebo effects kwa asili yake inamtegemea kwa kiasi chote psychologist au mtu wa medicine anaelewa nini kimesababisha mtu kujeruhiwa kihisia au kwandi, na kutoka hapo ndipo anaweza kuanza kuiandaa na kuitengeneza upya akili ya aliyejeruhiwa kihisia au ndani kwa kumwingizia kitu kingine katika akili yake.
 
Wrong. Placebo effect inaweza kutokea hata kanisani.
 
Wrong. Placebo effect inaweza kutokea hata kanisani.
Placebo effects ni jambo linakusudia akili pekee. Hili kama nilivyosema hapo awali linategemea kwa kiasi chote imani ya mtu mwingine itakavyofaulu ku- convince na ku- dominate akili ya aliyejeruhiwa kihisia.
Jinsi hii,ndiyo tunaikuta kwa waganga wa kienyeji. Hawa wanaweza kumtibu mtu tatizo fulani kwa kumwaminisha jambo jingine. Mganga wa kienyeji atakwambia unaumwa chemba moyo, lakini kiuhalisia unaumwa magonjwa ya moyo au presha.
Kwahiyo, placebo effect inaweza kutumika kanisani kutegemea na uelewa wa yule aliye na mamlaka ya kanisa. Kanisa sahihi linautaratibu uliowazi kwenye mambo yote majeraha ya mwili na roho. Kanisa sahihi linajua huyu matatizo yake ni kwa sababu hii na linajua linavyoweza kumsaidia.
Kwa vyovyote vile, sakramenti haiwezi kuwa, kufanana au kukalibiana na placebo effect. Kwani placebo effect namna yake iko kwa binadamu, yaani placebo effect ni jambo la kisayansi.
 
Ni kwa vipi niko-wrong. Bainisha tafadhali!
Umeandika hivi.

"Jinsi hii na kwa namna yake haiwezi kuwa matokeo ya imani. Hii ni njia inayotumika na psychologists na watu wa medicine kutibu au kurekebisha watu waliopata majeraha ya kihisia au ya ndani. Placebo effects kwa asili yake inamtegemea kwa kiasi chote psychologist au mtu wa medicine anaelewa nini kimesababisha mtu kujeruhiwa kihisia au kwandi, na kutoka hapo ndipo anaweza kuanza kuiandaa na kuitengeneza upya akili ya aliyejeruhiwa kihisia au ndani kwa kumwingizia kitu kingine katika akili yake. "

Kwanza huelewi na umeshindwa kuelezea vizuri placebo effect ni nini.

Unaeleza kama vile.

1. Placebo effect ni njia inayotumika na psychologists na watu wa medicine kutibu au kurekebisha watu waliopata majeraha. Si kweli. Placebo effect inapimwa katika majaribio ya tiba ili kujua tiba inatibu kwa kiasi gani, na watu wanaopona bila kupata tiba, kwa imani tu, ni kiasi gani.

2. Umeandika kwamba placebo effect inamtegemea mtu wa medicine au psychologist anaelewa nini. Wrong. Unaweza kuwaacha watoto wawili, mmoja ana miaka 8 na mwingine ana miaka 5, wa miaka mitano akaumwa, dada yake wa miaka 8 akampa dawa ya uongo, wa miaka 5 akaamini dawa ni ya kweli, akapona kwa placebo effect. Hapo hakuna mganga wala psychologist.

Umeandika kuhusu Placebo effect kama unaelewa ni nini, wakati huelewi.

Sina uhakika kama jingine lolote unaloandika kama unalielewa unalielewa kweli, au ni mbwembwe tu za kujibu mambo kama unayaelewa, wakati huyaelewi.
 
Placebo effects ni jambo linakusudia akili pekee. Hili kama nilivyosema hapo awali linategemea kwa kiasi chote imani ya mtu mwingine itakavyofaulu ku- convince na ku- dominate akili ya aliyejeruhiwa kihisia.
Jinsi hii,ndiyo tunaikuta kwa waganga wa kienyeji. Hawa wanaweza kumtibu mtu tatizo fulani kwa kumwaminisha jambo jingine. Mganga wa kienyeji atakwambia unaumwa chemba moyo, lakini kiuhalisia unaumwa magonjwa ya moyo au presha.
Kwahiyo, placebo effect inaweza kutumika kanisani kutegemea na uelewa wa yule aliye na mamlaka ya kanisa. Kanisa sahihi linautaratibu uliowazi kwenye mambo yote majeraha ya mwili na roho. Kanisa sahihi linajua huyu matatizo yake ni kwa sababu hii na linajua linavyoweza kumsaidia.
Kwa vyovyote vile, sakramenti haiwezi kuwa, kufanana au kukalibiana na placebo effect. Kwani placebo effect namna yake iko kwa binadamu, yaani placebo effect ni jambo la kisayansi.
Unaongelea "aliyejeruhiwa kihisia" kama placebo effect inaishia kwa waliojeruhiwa kihisia. Huelewi placebo effect ni nini.

Unachanganya psychotherapy na placebo effect?
 
94 Reactions
Reply
Back
Top Bottom