Kiranga sio atheist ni non-believer

Sasa nyinyi hizo habari mmejuaje kama ni za kweli maana hamkuwahi kuwepo
Na ndio tunapotofautiana kwa sababu point ya imani haizingatiwi na kibaya ndio point ya msingi,tatizo tunapojadili mada hizi imani mnafanya kama ni jambo ambalo linatumika masuala ya Mungu na dini tu na ndiyo maana hata tueleze vp inachukuliwa kama tunaongea story za kutunga tu.

Labda nikuulize kwako imani unaichukuliaje?
 
ataishia kukupa blabala tuu.. Hatakaa aweze kujibu imani ninini

Jr
 
Na ndio tunapotofautiana kwa sababu point ya imani haizingatiwi na kibaya ndio point ya msingi,tatizo tunapojadili mada hizi imani mnafanya kama ni jambo ambalo linatumika masuala ya Mungu na dini tu na ndiyo maana hata tueleze vp inachukuliwa kama tunaongea story za kutunga tu.

Labda nikuulize kwako imani unaichukuliaje?
Imani ni kukubali kitu flani kipo ambacho hakithibitishiki kua kipo na hakuna uwezo wa kuthibitishika kwa namna yeyote ile

Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom