Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kisichokuwepo ni hakipo,hakielezeki,hakihisiki,akijulikani na hakijadiliki.

Sasa kwa nini mnamjadili MUNGU ambaye mnadai hayupo?.

Ila kwa kuwa mnajadili MUNGU, basi mmekubali uwepo wake.

Yaani wewe fanya mbwembwe zako weee,lakini MUNGU ni muumba wa vyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawewe fanya mbwembwe zako zote ila jua tayari ushakubali kua elisha ni mume wako

Sent using unknown device
 
Kwani uthubutu upi uliyomthubutukia mtu mpaka akaamini kwamba kuna akili?

Akili huioni wala huishiki lakini tunaitambua na tunaikubali kwamba ipo. Kwa nini kitu kisichoonekana, kushikika wala kuhisi kinakubalika kipo? Kwani kipimo cha uwepo wa akili ni nini?

Ukielewa mantiki ya juu hapo ndipo utakapouona ujinga wa mwanadamu kukanusha uwepo wa Muumbaji. Na ndipo hapo watu wa dini wanasema asiye amini uwepo wa Muumba hana akili.
Very Good

[emoji2936]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini hoja yenu kubwa humu katika hili suala ni kudai ushahidi?
Wanataka ushahidi wa uwepo wa Mungu lakini wanashindwa kuthibitisha kama wana akili ama la

Jr[emoji769]
 
Wanataka ushahidi wa uwepo wa Mungu lakini wanashindwa kuthibitisha kama wana akili ama la
Jr[emoji769]
Ndio hapo sasa,wanaona bora wakwepe swali kwa kuleta habari za sijui muktadha maana kama tungekuwa kila neno tunaulizana muktadha wake basi tusingekuwa tunaelewana.
 
Back
Top Bottom