Kipupwe


Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,495
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,495 1,250
Tunga sentensi kwa kutumia neno "kipupwe" ni maalumu kwa ajili ya hali ya hewa ya mwezi huu!

naanza: ninapenda sana vitu vya moto wakati huu wa "kipupwe"
Napenda kulala wawiliwawili kipindi cha kipupwe
 
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,199
Points
2,000
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,199 2,000
Last edited by a moderator:
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
25,025
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
25,025 2,000
Kipupwe ni miongoni mwa majira manne ya mwaka.
 
BAGAH

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Messages
4,525
Points
1,225
Age
32
BAGAH

BAGAH

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2012
4,525 1,225
stevoh huna maana kabisa hiki kipupwe hata kupata ndyofu ya moto hukutaka kabisa kuja kuipata
Mr Rocky nakusalimu kwa mbali
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
8,762
Points
0
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
8,762 0
kutaka kwangu kukaoa haka ka binti Lady doctor ni hisani tu ili kukanusuru na vuru vuru za kina Arushaone Mr Rocky Erickyb52 na hili fataki la kimataifa Vin Diesel sikio la kufa huyu binti wacha awe jamvi la wageni.
mtume roho yangu kumbe ndio nia yenu hiyo.! Sasa kwa taarifa yenu siwataki wote!
Na nitaolewa na Chimbuvu!
Nyanya zenu nyie!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
8,762
Points
0
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
8,762 0
Na wewe utakuwa umefaidi yile mgeni wa jamvi. Arushaone atakuwa. Ameshaoa kama kumi kipupwe hiki.
mamndenyi, mi bado sijaonjeka ndio maana unaona kila siku wananifata na kunidanganyia ndoa ingekuwa hivyo akina slave na wenzie wangesha ni dampo sikunyingii, nataka ndoa imara ndio maana unaona ka mchezo ka multiple choice hapa
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,430
Points
2,000
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,430 2,000
mamndenyi, mi bado sijaonjeka ndio maana unaona kila siku wananifata na kunidanganyia ndoa ingekuwa hivyo akina slave na wenzie wangesha ni dampo sikunyingii, nataka ndoa imara ndio maana unaona ka mchezo ka multiple choice hapa
Ndoa yangu imekufa wakati wa kipupwe. Mr. Rocky kasema sina joto. La kutosha.
 
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
8,762
Points
0
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
8,762 0
Ndoa yangu imekufa wakati wa kipupwe. Mr. Rocky kasema sina joto. La kutosha.
pole... Hiki kipupwe ni kibaya kwetu mi mwenyewe nimeshindwa kumpata muoaji wa kweli wakati huu wa kipupwe
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,430
Points
2,000
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,430 2,000
kuwa wa kwanza hapana
wa pili na watatu sawa
ila wanne na kuendelea hapana
kwa hiyo hapo jaza mwenyewe.
talaka tena ? mbona lengo ni kuwa na wanne ?
 

Forum statistics

Threads 1,284,175
Members 493,978
Posts 30,815,760
Top