Shemeji ambaye ni ndugu wa nanihii wangu.Asee Paw pamoja na kusoma kwa woga woga hii post yako (haikawii kuwa ya kumpa mtu ban) unamaanisha kuwa anyefanya izo mambo ni kaka yako au ndugu wa damu? hebu fanya mpango bana umtoe huko kuzimu shemeji yako na hatakusau!
je huwa unawatembelea mara kwa mara??
je walishawahi kukuhusisha katika magomvi mengine??
wewe maelewano yako na shemejio yakoje???
Shemeji ambaye ni ndugu wa nanihii wangu.
Naamini kwamba mwanaume anayeinua mkono kumpiga mkewe AMEKOSA HOJA mbele ya hoja za mkewe.
Jamii kuhamasika kupinga hivi vitendo ni muhimu
nilishamtembelea mara mbili tu na zote sikuwahi kumkuta mumewe mana wao wapo dom na mm naishi dar na kingine huyo jamaa anamaelewano na ndugu wachache sana
Natamani niwe wakili wake aisee...tena bure kabisa simdai hata shilingi! HUyo jamaa anatakiwa apo alipo moi awe na pingu na ulinzi akitoka tu Keko! khaa
Mi nadharau sana mwanaume anayejidai mwanaume kwa kumpiga mwanamke...mwanamke hapigwi kwa ngumi na mateke hili liko wazi...wana namna zao za kuwapiga au sio DaMie?
unahitaji pongezi-watu jamii hiyo hayo ndio malipo yao-naami atakapo pona ndipo atakapo behave vizuri nakuishi vyema na wife wake nakuheshimu kila mtuKuna dada etu kaolewa dom lakini tangu kaolewa miaka 3 iliyopita amekuwa akichezea kichapo sana tokakwa mumewe ambaye ni mlevi na mkorofi sana ameshamvunja mkono dada mara mbili kwa kipigo..
Nipo dom kwa mapumziko na nilienda kumtembelea dadangu ambae ana p.o.p mkono wakushoto kwa kipigo cha mumewe nilipo muuliza ni kwa nini iwe hivo na ndugu wanasemaje akasema ndugu washachoka kuamua mana wakati mwingine nao huambulia vitisho kama si kipigo toka kwa njemba hiyo...mbaya zaidi jamaa amegoma hata kutoa talaka...
Sasa wakati tukizungumza na dada mara shem kaingia na kuanza na kejeli na dharau zake kwangu eti tunamfatilia sana na maisha yake n mke wake mara ooh ntaoa uko mzima nilipomwambia ajiheshimu ndo kama kapata sababu nilikua nakunywa chai akachukua ile chai na kunimwagia na maneoo kibao ya kashfa dada kuona vile akaingilia kati maskini kunitetea dah! Alisukumwa na kukanyagwa vibaya aisee nilipata hasira mbaya nilichomfanya huyo jamaa sasa hivi yupo moi nilivunja mguu na mkono....
Sasa kimbembe kimekuja ndugu wa huyo shemeji na wangu kuna bifu kubwa na kibaya zaidi baadhi ya ndugu upande wangu wanaunga mkono upande wa pili eti kwa nini naingilia ndoa za watu...kesi iko polisi na kesho kuna kikao hapa hom kizito....hebu nambieni waungwana nisimamie wapi' na je nilichokifanya ni kosa?
Niliposoma heading nilidhani inazungumzia mtu ninayemfahamu, lakini seems matatizo yanafanana.
Shemeji yangu wa kike amenasa kwenye tundu bovu, na ndoa haina hata nusu mwaka lakini jamaa yake anamtenda kama msimuliaji anavyobainisha kwa dada yake. Ila shemeji yangu ameamua kufa na tai shingoni ( Jamaa anapiga wala hajali kama mkewe ana kiumbe tumboni)
Tatizo lililopo kwenye jamii ni namna hawa akina mama wanavyojua kuficha maovu ya watesaji wao ambapo huishia either kujeruhiwa ama kufa ama kupata ulemavu kabisa. Sheria ya ndoa ipo wazi kabisa kuhusu hizi brutality zinazoendelea kwenye bedrooms zetu. Women (and men) you must step out and speak it loud ili muweze kuokoa ndoa zenu na maisha yenu.

Ahaaaaaaaaaaaaaaaa
ndio maana na wewe unatoa ban namna ile, unajua nilikua najiuliza huyu PAW katoka wapi na ana genes gani katili hivi... kumbe iko kwenye blood!!!
Nampa pole sana shem wako na membaz wote uliowalamba ban
Binamu mie nimekuja hapa kukusalimu tu basi. Naondoka nawaacheni na sredi yenu.Yaani wewe una akili, sijui uko wapi nikunulie kinywaji ukipendacho...
mshkaji kila kichaka unataka u****?Binamu mie nimekuja hapa kukusalimu tu basi. Naondoka nawaacheni na sredi yenu.
Shemeji na mumewe siyo ndugu zangu wa damu mkuu.Ahaaaaaaaaaaaaaaaa
ndio maana na wewe unatoa ban namna ile, unajua nilikua najiuliza huyu PAW katoka wapi na ana genes gani katili hivi... kumbe iko kwenye blood!!!
Nampa pole sana shem wako na membaz wote uliowalamba ban
mkwe hapo ndipo ninapozidi kukulove...
Toka lini talaka ikabembelezwa jamani!
Kuna mdada naye alikuwa anakula vichapo vya kutosha kila wakisuluhisha jamaa hasikii, bidada akavua pete la ndoa akalitupilia mbali. Akamwambia kama pete ndio identity ya ndoa basi pete yako hiyooo.
mkwe my son akikupiga,aisee nitakuja tumchangie kumdunda hadi akome! kama amekushindwa hata kama kosa lako si akurudishe kwenu,ebooo! halafu na yeye namchukua home namtandika viboko manake hajakua. mwanaume muoga na dhaifu ndo anampiga mkewe. halafu anategemea heshimiwe na kupendwa na mkewe!
ooppss, usije nipa ban bure, ngoja nisepe kimyakimyaShemeji na mumewe siyo ndugu zangu wa damu mkuu.
Mimi ni mtiifu wa taratibu, kanuni na sheria zilizopo.
Tukirejea kwenye mada, ni wazi wanandoa wengi wanahitaji clinic za ndoa zao ili waweze kuenenda na dhana nzima ya mke na mume ama sivyo kila siku tutakuwa tunapata masimulizi yanayofanana hasa ya kuumizana na kusalitiana. This must stop iwapo wahanga watakubali kufunguka na kuzungumza ili wapate msaada.
Jamii inapaswa pia kuwasaidia wahanga hasa akina mama ambao hawana sauti wala majukwaa ya kusemea masaibu yao.
Kuhusu Ukatili:
Sidhani kama Invisible na team yake walikuwa wanasaka jitu moja katili kwa kazi ya kuwa moderator, Bali uwezo wa kupambanua, kuchuja na kufanya maamuzi sahihi kwa mujibu wa kanuni na taratibu za JF.
Niliposoma heading nilidhani inazungumzia mtu ninayemfahamu, lakini seems matatizo yanafanana.
Shemeji yangu wa kike amenasa kwenye tundu bovu, na ndoa haina hata nusu mwaka lakini jamaa yake anamtenda kama msimuliaji anavyobainisha kwa dada yake. Ila shemeji yangu ameamua kufa na tai shingoni ( Jamaa anapiga wala hajali kama mkewe ana kiumbe tumboni)
Tatizo lililopo kwenye jamii ni namna hawa akina mama wanavyojua kuficha maovu ya watesaji wao ambapo huishia either kujeruhiwa ama kufa ama kupata ulemavu kabisa. Sheria ya ndoa ipo wazi kabisa kuhusu hizi brutality zinazoendelea kwenye bedrooms zetu. Women (and men) you must step out and speak it loud ili muweze kuokoa ndoa zenu na maisha yenu.
mkwe my son akikupiga,aisee nitakuja tumchangie kumdunda hadi akome! kama amekushindwa hata kama kosa lako si akurudishe kwenu,ebooo! halafu na yeye namchukua home namtandika viboko manake hajakua. mwanaume muoga na dhaifu ndo anampiga mkewe. halafu anategemea heshimiwe na kupendwa na mkewe!
kweli umenena ukidai kitu huku unalegeza saut kamwe hupati. Aidha dada yangu mara ya mwisho aliponea amana hosp. baada mlugaruga kupiga ile mbaya hom tukamweleza kuwa tumekuonya ukaona tuna haribu basi linywe we ci alichomoka mwenyewe maana watu tumesusa hatuna muda wa kufatilia warugarugamkwe hapo ndipo ninapozidi kukulove...