Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
kaka umeongea kwa hasira ila umeongea point kabisa.
KIPIPI soma hapo.
iwe bojo
aiseeeeeeeeeeeeeekwani huyo dada yenu mnashindwa kumteka usiku,mkamfunga kitambaa machoni mkaenda kumbwaga mahali asipopajua akae hadi akili timamu irudi? mleteni kwangu niwafichie,ebooo!
aisee,nakubaliana na mtm,mwanaume kudharauliwa na mwanaume mwenzio haifai! na usiache kwenda kumsalimia tena dadako na akileta dharau vunja kiuno ili dadako aweze kuamua kuondoka! dada yenu anahitaji proffessional help aisee.
aiseeeeeeeeeeeeee
bange kweli mwanaharamu, kuku wako mwenyewe ya nini umnyatie??
ishu ni kwamba uwepo wake pale umesababisha kwa kiasi kikubwa hayo yote yatokee. Kwanini huyu kaka asingetulia kwake? Dada mtu ameshajichagulia hayo maisha ya u-tyson. Jamaa anaona amemdhibiti shemeji lakini hiyo haitorejesha amani katika ndoa hata kidogo. Kifupi jamaa, shemeji na dada wote wana makosa. Sioni haja ya kumpongeza jamaa alichokifanya otherwise aje mwanasheria aniambie kisheria sister wako akidundwa kumvunja mguu na mkono shemeji inaruhusiwa.Husninyo nimesoma na nimeelewa! In what way unaeza sema kwamba huyu kaka alienda kuingilia ugomvi wa dada na shemejie? Logic ya hiyo post nimeipata but I strongly disagree unless kama wangeanza kugombana mtu na mkewe then kaka mtu akaingilia na kuanza kumbonda shemejie! Haya ugomvi ungeamuliwaje?
Hivi kwa mfano huyu mama angechezea kichapo hadi mauti yakamkuta ungesemaje? Sometimes we have to cross lines leo umevunjwa mkono wa kulia kesho wa kushoto, keshokutwa kiuno siku inayofuata mauti halafu tunasema kuna njia nyingine za kumaliza tatizo kama watu wameishakaa vikao na kumuongelea mtu halafu habadiliki matokeo ni yale yale what do you expect Husninyoubaya haulipwi kwa ubaya sangara. Kwani hakukuwa na namna nyingine ya kumaliza tatizo?
Kwanza wewe ni mwanaume wa maukweli kabisa maana kuna mijitu haina ubinadamu wanatesa dada zetu wakijua wakishaoa wanaona kama wametoa mahari za ngamia kuanza kuwafanya punch bag huku wanawake wakivumilia eti ndiyo ndoa za ki africa mimi kwetu tuna hazina ya wadada wa kutosha na nilipoona mmoja anapigwa sikuvumilia zaidi ya kumwambia arudi home na yule ambaye alinisikiliza nilimfundisha karate kidogo ya kukabiliana na mumewe sasa akileta mdomo anashikishwa adabu na amenyooka ndoa yake imetulia sasa wanakula maisha bila matatizo ya vibondo.
Back to Topic: Ni hivi hakuna kuomba msamaha wala nini waonyeshe kuwa haujutii ulichokifanya na hata hapo akiendelea kuleta nidhamu zake za ki masaburi utampatia kichapo cha ziada na hakikisha dada yako hatoki hapo home mpaka akubali kwa maandishi kuwa hata mgusa hata siku moja na siku akifanya hivyo ndiyo mwisho wa hiyo ndoa na utamchukua dada yako utamsaidia kimaisha na asije kutia mguu hapo utakapompangishia nyumba.
NB: Na nyie wadada muwe mnaangalia mahali pa kuolewa na siyo mnaolewa milango ya nane mtakuja kuolewa na hata mashetani.
Hapa nakataa kwani mimi dada yangu akiolewa siruhusiwi kwenda kumtembelea? Hata kama nimekuja kukutembelea kwako kisiwe chanzo cha kunijazia matusi hey i want allow that, wakati huyu dada anapigwa na mumewe nani amesababisha kwa kiasi kikubwa hayo yatokee?? Mimi naamini kwenye imani lakini mambo mengine tusisubiri hadi watu mauti yawafike ndio tuanze kuchukua hatua zingine ni bora kuchukua pre-cautions mapema kabisa, halafu wewe Husinyo inaonekana unapenda sana kuchezea kipondo ngoja nirudi home utanitambua lazima niondoke na mguu wako mmoja lol!!ishu ni kwamba uwepo wake pale umesababisha kwa kiasi kikubwa hayo yote yatokee. Kwanini huyu kaka asingetulia kwake? Dada mtu ameshajichagulia hayo maisha ya u-tyson. Jamaa anaona amemdhibiti shemeji lakini hiyo haitorejesha amani katika ndoa hata kidogo. Kifupi jamaa, shemeji na dada wote wana makosa. Sioni haja ya kumpongeza jamaa alichokifanya otherwise aje mwanasheria aniambie kisheria sister wako akidundwa kumvunja mguu na mkono shemeji inaruhusiwa.
Ngoja nitafute na watu wa imani waniambie.
Hivi kwa mfano huyu mama angechezea kichapo hadi mauti yakamkuta ungesemaje? Sometimes we have to cross lines leo umevunjwa mkono wa kulia kesho wa kushoto, keshokutwa kiuno siku inayofuata mauti halafu tunasema kuna njia nyingine za kumaliza tatizo kama watu wameishakaa vikao na kumuongelea mtu halafu habadiliki matokeo ni yale yale what do you expect Husninyo
kama ni kuchukua hatua huyu jamaa kashachelewa maana sist wake alishakula vichapo vya kutosha(alichokifanya ni kupunguza hasira na si kutatua tatizo). Hebu msome derimto hapo chini.Hapa nakataa kwani mimi dada yangu akiolewa siruhusiwi kwenda kumtembelea? Hata kama nimekuja kukutembelea kwako kisiwe chanzo cha kunijazia matusi hey i want allow that, wakati huyu dada anapigwa na mumewe nani amesababisha kwa kiasi kikubwa hayo yatokee?? Mimi naamini kwenye imani lakini mambo mengine tusisubiri hadi watu mauti yawafike ndio tuanze kuchukua hatua zingine ni bora kuchukua pre-cautions mapema kabisa, halafu wewe Husinyo inaonekana unapenda sana kuchezea kipondo ngoja nirudi home utanitambua lazima niondoke na mguu wako mmoja lol!!
nimependa maamuzi uliyochukua baada ya kuona dada zako wanateswa. Sijaona sehemu uliyosema umemtwanga mangumi au kumvunja kiuno shemeji yako.
Kwanza nilikuwa mdogo wakati naona dada yangu mkubwa amezabwa vibao mbele yangu wakati hakuwa na kosa la maana niliona hiyo dharau kubwa sana ukizingatia nilikuwa nawafahamu dada zangu fika na tabia zao na ndiyo maana sikupenda hicho kitokee kwa wadogo zangu na yule niliyemfundisha wa kwanza akanielewa haraka ndoa yake ya kwanza ilivunjika baada ya kupata mwanaume kimeo alimbonda vizuri sana na mwanaume ikabidi achape lapa sasa ameolewa na Muingereza mwenye asali ya Iran anayeheshimu na kujua nini maana ya mwanamke
na pia nchi wanayoishi hakuna tena mambo ya ngumi za kishamba kama hapa kwetu eti unampiga mwanamke ili ajue wewe ni mwanaume atakuheshimu UPUMBAVU MTUPU.