Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Last edited by a moderator:
wakuu mbona sielewi,huyu hunbig ni ke au me?
Kumbe marry ni me?:confused2:
Ni KE anataka KE mkuu Bishanga, this is according to my light mkuu!
huyu ni ke... Ila alikuwa na ID ya kiume iitwayo mzungumndali... Ila sasa imeungwa na kuwa id moja ya marry hunbig Evelyn Salt Bishanga
Hebu kidogo shirikisha medulla oblongata yako...
Hapa JF huwa tunatumia fasihi andishi na wala sio simulizi...huko skype utakuwa na uhakika gani kuwa unayemuona na kumsikiza huko ndiye mwandishi huku...???
Ndugu yangu . . . . .huko kote ilikuwa ni kunitafuta uchokozi tu wala hakuna la maana.Kuna sredi nimeona anataka kuchumbiwa, leo anamuita Kipipi baby :confused2:
Ndugu yangu . . . . .huko kote ilikuwa ni kunitafuta uchokozi tu wala hakuna la maana.
Heheh . . . mchumbaaa kirusi besti!!unakataa mchumba hivihivi,ila bora mwenzangu we lijitu linafiki unategemea mngefikishana wapi duh hiyo ndoa isingedumu aisee big up kwa Baba V aliliona hilo mapema akajitoa.
wakuu mbona sielewi,huyu hunbig ni ke au me?