Kipindi kigumu jimboni Kawe

Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.

Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji

Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.

Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.

Au ume2mwa na magamba?Mtachoka tu.
 
Watu makini wanaona anayoyafanya,hatummiss MLAKI

Itakuwa mnakaa nyumba moja unafurahia viroba vya unga na mchele anavyoleta nyumbani. Ila mtoa mada ameongea ukweli, maana Halima Mdee alikuwa mtu wa ahadi lukuki huku akilalama kuwa yeye ni maskini hivyo tumchangue awawakilishe wengi mana anajua machungu. Lakini tangu apite mtaa hadi mtaa kipindi cha kampeni hajaleta miguu hata kwa kata zake na kuanza utekelezaji wa ahadi.
 
Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.

Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji

Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.

Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.

Usibwabwaje sana Gamba..,hamia Mtera kwa kibajaji..!
 
Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee.....
.......................
Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.

Mkuu wa Wilaya amefanya nini?

Mkuu Asprin hii ilikuwa ni baada ya Serengeti!

Ni masikitiko kwa wana Kawe, Mbunge Halima Mdee umekuwa huonekani jimboni mwako hasa majira ya mchana. Umekuwa ni ......
...............Kwa taarifa yako TUMEKUCHOKA SANA pamoja na chama chako!!

Hata sisi kwetu Boko hatujawahi kumwona mbunge wetu. Inatuuma sana aisee! Diwani wa Bunju ndo amegeuka kuwa diwani na mbunge wetu..... Nasikitika sana jembe langu limetutelekeza namna hii....

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/266207-mheshimiwa-halima-mdee-kulikoni.html
 
Mkuu anza wewe mwenyewe kujiondolea kero zako ndio usaidiwe kuondolewa kero zilizosalia. Hakuna kiongozi yeyote duniani mwenye uwezo wa kumaliza kero za watu.
 
Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.
Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji

Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.

Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.

Ingekuwa siyo kuogopa BAN ningekwambia wewe mpumbavu ila kwa kuwa humu kuna ban basi sitakwambia neno hilo. hivi toka uhuru hilo li CCM lenu limefanya nini?

Madale kuna kero, Mabwepande ndio usiseme, bunju b vilio vya maji balaa. Na Mh HM akija, ataleta porojo kabambe, maelezo mengi yasiotatua malalamiko yetu.
Swala sio CCM wala CHADEMA, sie tusikilizwe na kuletewa hizo huduma, na tutazilipia, period..
 
Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.

Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji

Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.

Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.

wewe acha majungu mimi ni mwananchi wa kawe mbona unamsingizia huyu mbunge wetu?? kwetu Makokongo juu mbona ana kuja hata juzi tu alikuwepo. toa lawama kwa Rais na serikali yake dhaifu ambayo imeshindwa kuongoza nchi na kusababisha uchumi
kuporomoka siyo mbunge
 
dah.... kumbe wabunge wana kazi nyingi sana....

Wabunge unafikiri wana kazi nyingi sana ni wizi mtu tu, nadhani hii nchi inatakiwa iwe na wabunge wasiozidi 150 tu kila wilaya inakuwa jimbo na sio utaratibu wa sasa wilaya moja unakuta majimbo mawili. Hizo kazi wananchi ndio wanawapatia pia wabunge wengi wamekuwa wakiwaambia wananchi kwamba once wakichaguliwa watafanya hili, lile na hili. Lakini ukiangalia kwa makini utagundua kuwa kazi nyingi za wabunge wananchi wanazojua kwamba ni za mbunge sizo kwa sababu ifutayo kwanza serikali za mitaa (halmashauri ya manispaa) inaanzia ktk ngazi ya mtaa, kata mpaka ngazi ya wilaya na matatizo yote ya wananchi yanatakiwa yaratibiwe na viongozi wa ngazi ya mtaa kata mpaka wilayani kupitia baraza la madiwani (mbunge nae ni sehemu ya madiwani) wanapitia kuangalia namna ya kushughulikia hizo kero za wananchi kulingana na uwezo wa halmashauri husika. Inapotokea kuna baadhi ya matatizo au kero za wananch ambazo zipo nje ya uwezo wa halmashauri mbunge ndio anatakiwa akazipiganie kwenye bunge ili serikali kuu iweze kusaidia na ndio maana wakati wabunge wengine wakiuliza bungeni wanajibiwa simple tu hiyo ipo katika uwezo wa halmashauri (hapa ni madiwani including mbunge wahusika). Na ndio maana hata barabara wamezigawa, zipo zinazoshughulikiwa na halmashauri na zipo zinazoshughulikiwa na TANROAD ili kuweza kutofautisha majukumu. Lakini wabunge wetu kila mmoja anajifanya kuwa na majukumu kibao na kila kizuri kilichofanyika atasema yeye ameleta katika uongozi wake wakati uongozi ni taasisi kubwa na sijui madiwani na wenyeviti wa vijiji nao watasema nini (mgongano wa kimaslahi na ujiko usio wa maana). Hizo kazi alizoorodhesha si mbunge pekee labda hiyo namba 5 ambayo ina depend na external source lakini la kuitisha mkutano no 1 (kwanza hizo serikali za chini zinatakiwa ziitishe mkutano mara 4 kwa mwaka ili kubaini matatizo yao pamoja na kujadili maendeleo yao alafu wao ndio wanatakiwa wayawakilishe kwa mbunge wao ili aweze kuyatolea ufafanuzi na si mbunge kuja kusikiliza matatizo bila wao kwanza kukaa na kubainisha matatizo yao)
 
Ingekuwa siyo kuogopa BAN ningekwambia wewe mpumbavu ila kwa kuwa humu kuna ban basi sitakwambia neno hilo. hivi toka uhuru hilo li CCM lenu limefanya nini?

We kiboko kama hujalitoa, hata hivyo mie usiku huwa sioni vizuri kwenye laptop yangu hivyo sijaona
 
Gombea basi wewe tukupe. We unataka mbunge ashugulikie kila kitu? hao wabunge wengine wamefanya nini? Magamba mna shida sana,, hizo pesa za jimbo waulize magamba wenzio maana wao ndo wanajua ziko wapi,,, wala usimlaumu Mdee. Na aliyekutuma mwambie huku JF tuko vizuri magorofani hatujadili hoja zisizo na mshiko. Huwezi anza kumlaumu mbunge wakati bado ana miaka miwili na ushee. Haya zile ahada 77 za mheshimiwa sana mbona huuliziii? kuna meli ngapi zimeshatengenezwa? Je kigoma imekuwa kama Dubai? Reli je? Nakushauri ukiwa bored badala ya kupost vitu kama hivi ingia hapa www.theudaku.blogspot.com:A S-coffee:

PUUZI LA CHADEMA WEWE...............yani humu JF Ukitaka kutukanwa au kukejeliwa basi mseme mtu wa chadema....mtu amesema kinachotokea jimboni kwake....we unakandia, wewe na wenzako wenye akili kama yako ni wapuuzi tu...hamfai hata kidogo, isikute na jimboni kwako kuna tatzo kama hilo sema huwezi lalamika kisa mbunge wako ni chadema, ila angekuwa wa chama kingine...ushanyanyua domo kubwatuka kama kifaranga aliyeachwa na mamaye....mpunguze ushabiki wa kisiasa, wekeni uzalendo mbele wapuuzi wakubwa nyie,.......
 
Nafikiri wewe ndo MPUUZI TENA JINGA LISILOJUA KUFIKIRIA. Mi niko JImbo la Kawe nilichofanya ni kumkumbusha tu mleta mada kuwa si kila kitu ni lazima mbunge afanye na nimesema tumpe muda bado ana zaidi ya miaka miwili. Mbona JK hatumsumbui na ahadi zake 77? Je kuna meli mpya zimekuja? Kigoma imekuwa kama Dubai? Reli mpya imejengwa? Unaonekana mkono unaenda kinywani kwa kushabikia magamba endelea ivo ivo
 
CHADEMA kubalini kupokea ushauri ili huyo mbunge wenu wa kawe aendelea kutawala..... badala ya kutukana ..tatizo lenu hamtaki kupokea ushauri kwa mambo yanayohusu chama chenu..mnajiona muda wote mko sawa... ukweli uko wazi mdee hakuna alichokifanya hadi muda huu zaidi ya kupiga kelele bungeni kwa mambo ya jumla jumla tu..... mi nawambia ukweli 2015 wabunge wa upinzani hasa CHADEMA ni wa chache sana watakaorudi kuwa wabunge .... ushauri pokeeni ushauri huu haitajiki hata laki tano kwenda kufanya mkutano na wananchi kwenye maeneo ya wananchi wenye matatizo , yani kufanya mkutano kusikiliza kelo za wananchi nalo linahitaji ela za CCM???.AU USAIDIWE NA SERIKALI???. JITAZAMENI UPYA CHADEMA WENZENU WANATEKELEZA AHADI NINY MNAENDELEE NA MAANDAMANO SASA SIJUI 2015 MTASEMA TULIFANYA MAANDAMANO 100 AU TUMEJENGA ZAHANATI..KAZI MNAYO
Subiri 2015 ndo utauona ukweli. Hao wa CCM ambao hawaandamani wamefanya nini? Kumbuka kuwa majimbo mengi yenye wabunge wa upinzani si CHADEMA serikali ya magamba inayagandamiza ili wabunge waonekane hawafanyi kazi. CHADEMA si wabishi wala si kuwa hatusikilizi ushauri ila vinapokuja vitu visivo na mshiko ni lazima tuvikatae ofcourse kwa facts. Nilitegemea muulize kama tunapinga basi tuseme MDEE kafanya nini tangible
 
Back
Top Bottom