Kipindi kigumu jimboni Kawe

Kipindi kigumu jimboni Kawe

Huyu mleta hoja anaonekana kuwa anajambo na HALIMA siyo bure.kwa hiyo anataka kutuaminisha kuwa tangu mh amepata ubunge hajawahi kuwatembelea wapiga kura wake hata mara moja?.mbona kuna wengine wanakiri wazi kuwa mbunge wao anakutana nao.je ni kweli kwamba H hajatekeleza ahadi hata moja?.mbona mleta hoja alishawahi kuleta hoja ya lawama km hii lkn H alijitokeza humuhumu akaeleza yale aliyoyafanya na anayokusudia kuyafanya.kwa nini H asipongezwe hata kwa kile kidogo alichokifanya kuliko km hivi anavyo pakwa matope na MAFILILI nime kuwa na mashaka hata anapomuitakuwa ni mb wake naona ni wake kwa sababu anaishi jimboni kwake yeye hakumchaguwa alichaguliwa na wenzake yeye anamjua aliempa kura na ndiye anaemwandaa kuwa mb wake kwa kumpaka H matope iliaonekane hafai ili mb wake apate nafasi.kwanza kazi ya mb sikuwaletea maendeleo wananchi ni kuipelekea serekali matatizo ya wananchi na kuyatatua.hapo sasa km serekali siyo sikivu mb atabadilisha sori na sori lkn hamna kitu.
 
Eti heri Rita Mlaki!!!! kwa lipi? sawa hata kama ana madhaifu lakini sio kwa kiasi cha kummis Mlaki
 
Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.

Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji

Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.

Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.

Nyie ndo wale wale, tushawazoea. Kumlinganisha Mdee na Rita ni sawa na kulinganisha Mlima Kilimanjaro (Mdee) na Kichuguu (Rita). Kama wamekutuma hao Magamba, jaribu nyingine hii haina mashiko
 
hapana mkuu ni bora ange kuwa anafanya hata mikutano ya hadhara jimboni mwake kama wenzake wanapotoka bungeni tu inasaidia sana kuepusha maneno kama haya

Mikutano ya hadhara halafu mulete hao Policcm waue watu?? Manake akiitisha mkutano hamkawii kusingizia mambo ya sensa iliyofeli.
 
Kama kazi ya mbunge ni kuleta maendeleo basi huyu Ritta angewaletea maendeleo kwa sababu serekali iliyokuwepo madarakani ni ya chama chake.na kama sikosei ndie huyuhuyu alietupiwa kombora na POMBE MAGUFULI kuwa anamiliki viwanja 7 bila halali.kwa wazifa aliokuwa nao kama ni rahisi kihivyo angeweza kumaliza shida zote za Kawe lkn alizikuta akaziacha.H amezikuta naye ataziacha atakuja mwingine atazikuta naye ataziacha.dunia ndivyo ilivyo matatizo haishi inge kuwa hivyo basi walio tutangulia tungekuta wamemaliza matatizo yote na sisi tungeishi km pepon.mi sioni km H hawajibiki ninacho kiona ni mtoa hoja kuwa na chuki binafsi na mh.kwa ajili ya kufanya maandalizi kwa mbunge wake anae mjuwa mwenyewe na H siyo mbunge wake ila ni wake kwa kuchaguliwa na wenzake ni wake kwa sababu anaishi jimboni kwake lakini mbunge wake halisi anamfaham yeye. ndiyo maana anajifanya kuwa na uchungu kuliko wana kawe wote kwa kumpiga madongo mbunge wao ili aonekane hafai ili mtu wake apate nafasi.
 
CHIZI UNAYEFIKIRIA KWA KUTUMIA MAKALIO.....SOMA VIZUR COMMENT NILIKUQOUTE...HOPELESS MKUBWA, NA MTABAKI HIVOHIVO WAPUUZI WAKUBWA MKIONGOZWA NA HILO LIZEE LISILO NA AKILI (SLAA), Hivi unafikiri kila anayeiponda chadema ni CCM?? hopeless namba moja wewe.....vyama havipo viwili tanzania....mijitu mingine sijui mna elimu ya madrasa na kujua kutype kidogo kwa kompyuta, ndo mnakuja humu kwa JF?? yani we chizi namba moja afrika na ulimwenguni kote.......walllah nawahakikishia, hadi chadema inakufa, haitokuja kushika madaraka ya urais, na hii ni kwasababu mumejaa watu msio na akili....
Mkubwa nashukuru sana kwa matusi yako lakini tulikuwa tuna ARGUE mimi na wewe sasa kuanza kutukana na kukashifu watu wote wa CHADEMA si vizuri. Mzee wetu Dr. SLAA anaingiaje tena hapa na kuanza kumkashifu? Tushindane kwa hoja hata kama mimi ni chizi na sina akili but twende kwa hoja,, ulitakiwa unijibu kwa hoja na si kuporomosha matusi. Kama nilikugusa sana usiwe na jazba na kama huwezi kwenda kwa hoja basi kaa kimya tu. Kukaa kimya nako ni dawa kaka. ALL IN ALL NASHUKURU SANA NIMEKUSAMEHE HUJUI USEMAYO BUT IKO SIKU UTAJUTIA. UBARIKIWE SANA MKUBWA. 😛eace:
 
maendeleoya jimbo hayaletwi na mbuge jamani mnatakiwa nyie wana kawe mjipange na kuanzisha shuguli za kimaendeleo baadae msaada wa serikali ndio unafuata kwa kujenga shule hosipital na kadhalika ama sivyo mtakalia kubadilisha wabunge kila uchaguzi . halima mdee anafanya kadiri ya uwezo wake michango yake bungeni nayo huioni?
Ebu jiulize hiyo michango yake bungeni ndicho alichotumwa na wananchi wake kama kero zinazowakabili au ni kwa maslahi yake binafsi kisiasa? hatuongei mengi wana Kawe tutapiga msumari wa mwisho 2015 na akatatute viti maalum upareni.

Mheshimiwa Jodoki Kalimilo,

Ni kweli kabisa kazi ya ubunge si ngumu sana kiasi cha kufanya tuwe na wabunge wengi kiasi hicho. Tungeweza kabisa kuwa na mbunge mmoja kwenye wilaya na akafanya kazi kwa ufanisi mkubwa. Kwa kushirikiana na madiwani wangeweza kabisa kujua yapi yanaishia kwenye baraza la madiwani na yapi yapelekwe bungeni... Lkaini kutoka na choyo na ulafi wa wanasiasa wameamua kwa makusudi kuibua nafasi kwa ajili ya wapambe wao ''wasio na kazi'' ili wapunguze njaa wasiwe na kelele wakati wao wanakula..
Kwa sababu tumewapa uwezo wa kutupangia mambo.....wao hutumia nafasi hiyo kujipendelea na kujipangia mapato makubwa......haiingii akilini katika nchi yenye uchumi kama wetu mmoja alipwe 315,000/= mwingine alipwe 13,000,000/= halafu useme kwamba unamuwakilisha..... pengo ni kubwa lililokithiri......hii si haki... Zipo wapi taasisi zinahusika na haki za binadamu?? hawalioni hili?? au wao hadi mtu ajeruhiwe au auwawe ndiyo waibuke?? hawajui chanzo chake?? au hili nalo linahitaji katiba mpya? Tutaokoa kiasi gani kama tukipunguza mapato ya wanasiasa (wabunge) kwa asilimia hata 75 na tukaiondoa mikopo ya magari ya anasa? Je fedha hii haitoshi kununulia vile vifaa vya kazi vinavyodaiwa na madaktari? Au hata kuwalipa walimu wanatufundishia watoto wetu (watoto wao hawasomi huku)?
Tufikie wakati wananchi tuseme hapana tumechoka kuwagharamia wanasiasa na hili linawezekana kupitia taasisi zisizo za kiserikali (NGO) zisizo na uhusiano na wanasiasa....

Kweli mdau maana huwa naangalia muundo wetu wa kiutawala nina link na kazi za wabunge jibu linalokuja ni kuwa na idadi ndogo mno kwani hata hao waliopo hawapati hata muda wa kutoa maoni zaidi ya wengine kusinzia. Tunavyopenda anasa ukumbi wa bunge upo bomba makusanyo ya serikali (kodi) kichekesho pia bajeti tegemezi nchi wahisani alafu watani wetu wa jadi (kenya) ukumbi wabunge wa kawaida mno lakini wakitoka pale wanakuwa na maazimio ambayo makusanyo yanakuwa makubwa na bajeti isiyotegemea wahisani kwa kiwango kikubwa
 
Ni afadhali na bora ww umesema, mie niliisha andika humu zaidi ya mara 10 ahadi na ulaghai wa HM kwa wananchi wa kawe, mpaka sasa hajafanya chochote, yeye ni kwenye kumbi za starehe tu ndio utamuona, halafu tukisema mnasema anaonewa. HM ni janga la sie wana kawe, nadhani katika katiba ijayo kuwe na kipengele cha mbunge akishindwa kazi basi , mtu mwingine atoke kwenye chama chake aje achukue hiyo nafasi. Mie sina shida eti kwa kuwa ametoka cdm , ila cdm next election wamlete mtu makini sio HM hawezi kitu

Najutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... kumchagua huyu Dada ni mzigo kweli kweli wala haonewi tokea tumchague hajawi hata siku moja kuja Kata ya Msasani kuitisha mkutano hata wa shukurani tu... ila ukienda Nyumbani Lounge kwa Lady Jay Dee amejaa tereeeeeeeeeeeeeeeeeee... JF tusitete uwozo jamani eti kwa sababu za kiitikadi tutakuwa hatumsaidii huyu dada kwani matarajio yetu kwake yalikuwa ni makubwa sana.
 
Hatutaki chuki binafsi na majungu hapa JF. Mdee ni material MP .
 
Huyu Mafilili ha kitu anachochangia zaidi ya kuguswa na moto wa M4C wa CDM. Hapa anatumia jukwaa la ubunge Kawe kuelezea mhemuko na kuweweseka kama alivyotumwa na Magamba. halima ni mbunge na Baraza la madiwani linaongozwa na hao hao magamba kumkwamisha. Tunasema safari hii hamchomoki kwenye makucha haya.
 
CHIZI UNAYEFIKIRIA KWA KUTUMIA MAKALIO.....SOMA VIZUR COMMENT NILIKUQOUTE...HOPELESS MKUBWA, NA MTABAKI HIVOHIVO WAPUUZI WAKUBWA MKIONGOZWA NA HILO LIZEE LISILO NA AKILI (SLAA), Hivi unafikiri kila anayeiponda chadema ni CCM?? hopeless namba moja wewe.....vyama havipo viwili tanzania....mijitu mingine sijui mna elimu ya madrasa na kujua kutype kidogo kwa kompyuta, ndo mnakuja humu kwa JF?? yani we chizi namba moja afrika na ulimwenguni kote.......walllah nawahakikishia, hadi chadema inakufa, haitokuja kushika madaraka ya urais, na hii ni kwasababu mumejaa watu msio na akili....

Mods wakulaze mahali pema peponi kwenye server zao.
 
Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.

Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji

Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.

Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.

You are just wasting your time, mtu makini hawezi kuyatilia maanani maneno yako kutokana na ***** uliozowea kuuleta hapa. Kiama chenu chaja 2015, mark my words Mafilili na vikaragosi wenzio.
 
Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.

Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji

Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.

Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.

Acha Uongo Rita Mlaki hakuwahi kuwa karibu na wananchi nawala hakusaidia Kaw-kama jimbo aliokuwa mzigo_
 
Ni Bora yeye Hata Bungeni Tunamsikia anachambua Hoja!! Kuliko nyie Mliofilisika kwa Yote Pamoja na Hoja
 
Wivu tu. Mnataka afanye nini ndio mjue anafanya. Mimi namkubali sana HM

Hata mkimtetea vipi... haitasaidia kuwabadilisha wana Kawe kujutia maamuzi yao ya mwaka 2010... HALIMA MDEE ni MZIGO KWETU.... hana msaada hata yeye mwenyewe analifahamu hilo. Mwaka 2015 arudi Viti Maaulum watupe Jembe lingine.
 
...We kweli akili magamba!!!....unamuona Halima Mdee zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe...lakini wakati huo huo humuoni DHAIFU alivyo zigo kwa wapiga kura na kujisaidia mwenyewe, mafisadi wenzake, wageni wanaojifanya wawekezaji na familia yake!!!! Ama kweli Nyani haoni......
pa kunyea pake.
 
Huyu mleta hoja anaonekana kuwa anajambo na HALIMA siyo bure.kwa hiyo anataka kutuaminisha kuwa tangu mh amepata ubunge hajawahi kuwatembelea wapiga kura wake hata mara moja?.mbona kuna wengine wanakiri wazi kuwa mbunge wao anakutana nao.je ni kweli kwamba H hajatekeleza ahadi hata moja?.mbona mleta hoja alishawahi kuleta hoja ya lawama km hii lkn H alijitokeza humuhumu akaeleza yale aliyoyafanya na anayokusudia kuyafanya.kwa nini H asipongezwe hata kwa kile kidogo alichokifanya kuliko km hivi anavyo pakwa matope na MAFILILI nime kuwa na mashaka hata anapomuitakuwa ni mb wake naona ni wake kwa sababu anaishi jimboni kwake yeye hakumchaguwa alichaguliwa na wenzake yeye anamjua aliempa kura na ndiye anaemwandaa kuwa mb wake kwa kumpaka H matope iliaonekane hafai ili mb wake apate nafasi.kwanza kazi ya mb sikuwaletea maendeleo wananchi ni kuipelekea serekali matatizo ya wananchi na kuyatatua.hapo sasa km serekali siyo sikivu mb atabadilisha sori na sori lkn hamna kitu.
jumapili iliyopita alikuwepo kule kwetu basihaya,maeneo yenye mgogoro wa ardhi kule chasimba.
 
Back
Top Bottom