Kipindi kigumu jimboni Kawe

Kipindi kigumu jimboni Kawe

Mkubwa nashukuru sana kwa matusi yako lakini tulikuwa tuna ARGUE mimi na wewe sasa kuanza kutukana na kukashifu watu wote wa CHADEMA si vizuri. Mzee wetu Dr. SLAA anaingiaje tena hapa na kuanza kumkashifu? Tushindane kwa hoja hata kama mimi ni chizi na sina akili but twende kwa hoja,, ulitakiwa unijibu kwa hoja na si kuporomosha matusi. Kama nilikugusa sana usiwe na jazba na kama huwezi kwenda kwa hoja basi kaa kimya tu. Kukaa kimya nako ni dawa kaka. ALL IN ALL NASHUKURU SANA NIMEKUSAMEHE HUJUI USEMAYO BUT IKO SIKU UTAJUTIA. UBARIKIWE SANA MKUBWA. 😛eace:

ASA ushakiri wewe ni chizi, chizi toka lini akabishana kwa hoja?? hahaha, afu afadhali umegundua slaa ni mzee, bora mumfanye awe consultant sasa, apishe damu changa kama kina mnyika, zito na wale wa ccm waliohamia juzijuzi....heheheeh, kampeni za 2015 akizunguka mikoa mitatu tu....anakufa kwa presha
 
Kama kuhusu Madale mbona amepigania haki za wakazi wa pale kwa nguvu kubwa kiasi cha waziri wa ardhi kumuelewa.Pia kuna mfanyakazi gani wa sekta yeyote ile waliyewahi kutoa pesa kwaajili ya kusaidia angalu pesa za madawati bila kuchangishwa kwa nguvu na vitisho toka serikalini.

Ubunge ni kazi kama kazi zingine,tena si kazi za kudumu kama watu wengine walioajiriwa katika sekta mbalimbali za umma.Miaka yake mitano ikiisha,mkataba wake nao utakuwa umeisha.Mwacheni angalie na familia yake jamani tatizo letu Watanzania wengi tunapenda sana kufanya UMATONYA kuliko kutekeleza majukumu ya kikazi ya kila siku.
 
Naamini kwa sasa watu wamepoteza imani naye na hata kwa chama
cha upinzani kwa ujumla kila unapo pita na ukawasikiliza watu
wanavyo ongelea jimbo la Kawe unajua kabisa jimbo limeondoka.
na matusi yangekuwa yanamtoboa mtu basi Halima Mdee sasa hivi
agekuwa kama chandarua
 
Back
Top Bottom