Vijana wa Dodoma wanamiliki simu kali ila hawana pa kulala

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,410
15,994
Hiki kituko nimekiona dodoma nikajuwa labda Ni baadhi tu kumbe wako wengi sana wanamiliki simu Kali ila pakulala wanalala kwenye mabox.

Juzi kati Kuna dogo aged 26 HV kaja dukani kwangu kuniomba mabox ambayo siyatumi na kwamba nilkuwa nataka nikazichome basi nikamuuliza za Kaz gani hz dogo mbna hizi box zimechoka unapeleka wapi Sasa , akasema nakwenda kulalia broo mm nikampa fresh kasepa.

Bas leo asbh nikamuona na simu Kali Aina ya Google Pixel nikamuuliza Bei gani hi mbna simu Kali sana akanijibu kuwa alinunua laki nne nikakumbuka mbna wanalala kwenye mabox.

Mwingine Ni rfk angu kbsa yeye Hana godoro kwake analalia mkeka Ila simu laki 320.

Nisameheni tu ila jamii ya huku Ni watu wavivu Sana Kaz hawezi kabsa tumejazana ss wasukuma kujenga majumba za watu mgogo Ni wavivu kufikiri kuliko maelezo.

Mimi namiliki Tecno 120k nalala chini
 
Alafu mkuu laki 4 kweli ndo unatusema hivi πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lazima aseme, kwan laki 4 hawez kununua godoro?

Sema tu jibu zur ni kama alilosema jamaa kwamba kupanga ni kuchagua,

Ila huo ni ujinga, mbavu ziniume kisa simu?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kila kitu kina mipango...
 
Hiki kituko nimekiona dodoma nikajuwa labda Ni baadhi tu kumbe wako wengi sana wanamiliki simu Kali ila pakulala wanalala kwenye mabox.

Juzi kati Kuna dogo aged 26 HV kaja dukani kwangu kuniomba mabox ambayo siyatumi na kwamba nilkuwa nataka nikazichome basi nikamuuliza za Kaz gani hz dogo mbna hizi box zimechoka unapeleka wapi Sasa , akasema nakwenda kulalia broo mm nikampa fresh kasepa.

Bas leo asbh nikamuona na simu Kali Aina ya Google Pixel nikamuuliza Bei gani hi mbna simu Kali sana akanijibu kuwa alinunua laki nne nikakumbuka mbna wanalala kwenye mabox.

Mwingine Ni rfk angu kbsa yeye Hana godoro kwake analalia mkeka Ila simu laki 320.

Nisameheni tu ila jamii ya huku Ni watu wavivu Sana Kaz hawezi kabsa tumejazana ss wasukuma kujenga majumba za watu mgogo Ni wavivu kufikiri kuliko maelezo.

Mimi namiliki Tecno 120k nalala chini
Achana nao hao vijana wa Dom
 
Mkuu vijana wawili ndio wanawakilisha Dom nzima?

Anyway, Kila mtu anapambania furaha yake. Acha waenjoy.
 
Back
Top Bottom