Google Pixel 6 zina tatizo

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Baada ya watumiaji wengi kupata toleo jipya la android Version 14 Operating system yake, Kuna baadhi ya watu ambao wanatumia simu za Google pixel 6 wamekumbana na hii changamoto.

Ime ripotiwa kuwa watumiaji wengi wa Google pixel 6 wamepatwa na changamoto mbalimbali Kwenye simu zao kama ifuatavyo

• simu inaandika not enough space
• simu inakataa kupakua kitu Chochote mtandao au play store
• baadhi ya apps zinakataa ku download
• baadhi ya simu zinazingua kupiga picha nk

Mnakua mnapokea ujumbe wa not enough space kila mara Kwenye simu zao na kufanya mtu au watu kuona simu zao kama Zina changamoto.

Solution
- zima na uwashe simu Yako kuangalia kama issue Yako itaweza kuondoka.

- ingia sehemu ya update bonyeza update kuangalia kama Kuna update mpya hakikisha umefanya update ukiona hamna inabidi uvumilivu ukishindwa sasa

- inabidi ufanye factory reset simu Yako na kuondoa Android version 14.

images%20(84).jpg
 
Factory reset ina roll back version ya android?

Au mi ndio sijaelewa hapo?
 
Back
Top Bottom