Kinyengeli
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 452
- 143
Mods naomba mkanibadilishie iwe Joyce Kiwia na sio Joyce Kiria; Samahani wanaJF
We vipi mbona unarudia makosa au umevimbiwa pilau la mwaka mpya? Ni Joyce Kiria si Joyce Kiwia ati!!!
Mods naomba mkanibadilishie iwe Joyce Kiwia na sio Joyce Kiria; Samahani wanaJF
Amesoma qualifying test (qt) amemaliza f4 in Feminist mwenye mlengo wa WID-Women In Development. Lakini contemporary Feminist wanatumia Gender and Development-GAD .Ni kweli aisee yule bint I think ana nature ya ujeuri!! Yule mzee siku ile alimdharirisha kwa kweli ! Yy alijua kuna nn ndani ya family ile!!! Anajua mis understand ndani ya ndoa za watu!!!!!! Ajirekebishe
Amesoma qualifying test (qt) amemaliza f4 in Feminist mwenye mlengo wa WID-Women In Development. Lakini contemporary Feminist wanatumia Gender and Development-GAD .
Huwezi kutumia WID ukampatia mwanamke maendeleo bila kuwashirikisha wanaume.GAD ndilo suluhisho kwani uwashirikisha zaidi wanaume ambao ndio kikwazo kwa wanawake kufikia malengo yao.
So Joyce Kiria anahitaji mtaalam wa masuala ya jinsia ili asije kuharibu badala ya kurekebisha.
Otherwise yupo sawa katika kutoa elimu.
Katika television zetu pamekuwa na utitiri wa uanzishwaji wa vipindi vyenye kuongozwa na watu binafsi Mfano Jenerali on Monday, This week in perspective, je tutafika, mimi na tanzania-Hoyce Temu, Diary ya Lady Jay Dee, Wema Sepetu in My Shoes, WANAWAKE LIVE-CHA JOYCE KIWIA Kileo na vingine.
Uanzishwaji wa vipindi hivi sijui unazingatia nini lakini kipindi cha wanawake live ni kipindi Muhimu hasa ambapo wanawake tunahitaji usawa na wanaume lakini SI kuwa sawa., ni kipindi sensitive kinachohitaji mwongozaji makini pengine mwenye uelewa wa hali ya juu ya Gender, Sociology, Sheria, Pschology n.k mi sijui Joyce Kiwia ana elimu gani maana hiki kipindi kitageuka janga siku sio nyingi. Anatumia maneno makali kwa wanaume mf Aliwahi kumwambia mzee mmoja "mbebe mkeo kama ulivyokuwa unamtongoza"! ha-balance story (kusikiliza pande mbili) yeye anahukumu tu.
Lakini anaongea na mambo ambayo yanaweza kusababisha chuki kwenye familia hasa ambazo hazina uwezo wa kuchambua mambo vizuri na ndoa zitavunjika na kusambaratika nyingi. Lakini baadae itaathiri hata siasa za Henry Kilewo negatively kama mambo hayatabadilika.
Wanawawake tunahitaji utetezi bila kuathiri ndoa zetu au kudhalilisha waume zetu.
Tangu mume wake amwagie ndugu yangu Tindikali kule igunga hata kipindi hicho huwa siangalii.
Kwanza Joyce Kiria alifeli form four na akajaribu kusoma pale ustawi akaangukia pua.
Kwa ufupi ni kilaza.
watu wanajifunza kutokana na mazingira... ikiwa hubadiliki kutokana na mazingira basi wewe tatizo. suala la heshima halihitaji elimu.Yote uliyosema yanaweza kuwa sahihi,je kama hana elimu na hajapata malezi mazuri haya ni makosa yake?Unamsaidiaje wewe uliyepata elimu ili awe na uwezo wa kupambanua mambo na kipindi kiwe bora?au unashauri kisiwepo na yeye aishi kinyonge tu kwa vile hana elimu?au asijaribu kufanya kitu kizuri kwa vile hakupata malezi mazuri toka kwa wazazi?je ukimshauri akualike wewe uliyepata elimu ili umsaidie kuweka mambo vizuri unadhani atakataa?Heri ya mwaka mpya 2014!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
dogo sina majigambo, ila huo ni ukweli kwake na kwako pia....Hzi ni chuki binafsi..huna habari kwamba watu wanaweza jijendeleza ukubwani kama wewe ulivosoma QT? acha dharau na majigambo dogo
Ukishindwa kuangalia wanawake live angalia in my shoes kwa kipindi kikiisha unavunja Tv yako