Kipindi cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere; mgeni Mohamed Said - Radio Imaan

Status
Not open for further replies.
Sawa, Nyerere sio Mungu wala malaika. Huyo mzee Mohamed Said kashadadia tu ubaya wa mwalimu, aseme basi na mabaya ya hao akina Abdul Sykes, Aziz Dosa na Hamza Mwapachu. Hakuna balance kwenye hizo tathmini zake. Radio ina wajibu wa kuongea vitu vya kuwaunganisha watanzania, sio kuwaeleza vitu visivyo na tija kama hivi. Ni aibu sana kwa mzee kama huyu kushadadia mijadala ya vijiweni


Angalia kichwa cha habari kinahusu nini?

lakin ukweli lazima usemwe hata kama kuna watu utawaudhi na kuwakera.

Pole sana. Tumwache MS amwage data.

 
Jamani Tanzania haina DINI, na kila mtu anahaki ya akubudu na kuzungumza kile anachokijua au kupenda kuzungumza ilimradi asivunje sheria!
 
humu JF si huwa anakimbia hoja kumbuka kuna thread kamkimbia Nguruvi3 baaada ya kushushiwa nondo nzito.. Na hao radio imaan mbna huwa hawa' balance hoja zao kwa kuita watu wa upande mwingine wao kila siku wanaita watu wasiompenda Nyerere kama mohamed said, sheikh mohamed issa na sheikh ponda?

Humjuhi Mohamed Said, wewe umejiunga lini JF? Uliza kwa nini mijadala yake kuanzia mwaka juzi mpaka mwaka jana ulifungwa.
 
Last edited by a moderator:
Huyu hakika sio mzima anasema itikadi ya kiislamu ndio iliyoleta uhuru.. Huyu mzee ni hopeless ngoja nizime radio
 
ingekuwa wakristo wanafanya hizi ungesikia mijitu inaandamana na kuuwa watu

Hiyo dini ni janga la dunia, hata huko ilikotokea ni janga.
Tatizo la Maulamaa, kila jambo wanalitazama kidini, hata kama aliyelifanya ni mpagani, watamuhusisha na Ukristo.
The more you go deep in Islam, the more you become ignorant and blind. Haijalishi umesoma kwa kiwango gani.
 
Pia wanasema shule za wakristo mfano Itaga seminary, Marian girls huwa zinapendelewa na NECTA.
Jamni ni chuki over chuki.

Serkali mko wapi kuwachia waganga njaa kama hawa.
Iko Msikitini....ni maombi kwa kwenda mbele,hii Redio ingekuwa ya Kikristo..........any way Wakristo hatuna huo ujinga
 
kwani ni kina nani wanaandika historia? anayeona historia imekosewa, aandike yake iliyo sahihi PERIOD!! John Okello inasemekana ali-mastermind mapinduzi ya Zanzibar in the field na haandikwi katika historia , je ni kwa sababu ya dini yake? utaifa wake? Mbona tunawasoma saaaana kina Sykes vitabu vya historia? Nyerere binafsi amenukuliwa mara kadhaa aki-appreciate michango ya wazee wa kiislam katika kuusaka uhuru wa TANGANYIKA, mfano zindiko la pale Magomeni aliposema Mkristo alikuwa peke yake. Ulalamishi kama huu ni uoga...kutojiamini na kujidharaulisha PERIOD!!

Waislam wa nchi hii, mmefanikiwa katika nini? maana kila kitu mnalalamika mmeonewa!! ni miaka 50 sasa soon tutakuwa na marais waislam kwa kipindi cha miaka 10. Tusio waislam tumewachoka sasa na baadhi ya waislam wenzenu wamewachoka sasa kwa ulalamishi. Tolerance yenu iko ZERO na MUNGU angekuwa Muislam angekuwa ameshatuteketeza tusio waislam.

Kuna filamu nyingi saaaana zinazomkashifu/zinazomtusi YESU KRISTO lakini kwa vile tumezipuuzia zimekufa natural death. Tunafanya hivi simply because MUNGU wetu yu hai na kama jambo limemuudhi, then ata-act accordingly. Angalia reaction yenu kwa 'Innocence of Muslim' imefanya mamilioni ya watu (including me) tuitafute na kui-watch. Nimeshaitazama mara mbili na kuisambaza kwa baadhi ya rafiki zangu kama 25.

Muongozwe na hekima na uvumilivu ndugu zangu.
 
christine ibrahim;4800843]waache waendelee kupiga kelele,cc tunasonga

sasa na hizi mbegu wanazozipanda tufanyeje?,kusonga tu haitoshi,lazima tung`oe hizi mbegu,nashangaa Serikali ipo kimya kuhusu hii redio,labda ndo imeianzisha,who knows?!
 
Tatizo lililopo ni wengi wenu kumuona Nyerere kama ni Mungu au Malaika kuwa yeye hakuweza kufanya makosa. Lakin katika moja ya hotba zake aliwahi kukiri hadharani kuwa katika uongozi wake aliweza kufanya makosa ya kibin'Adam na kuomba radhi kwayo.

Lazima mjua siku zote UKWELI unasimama hivyo ni vibaya kumsingizia mtu ima awe hai au maiti. LAKIN ni vizuri atajwe kwa swifa zake au matendo yake alofanya duniyani iwe mazuri au mabaya.

Sasa msichukia akitajwa kwa mabaya kwani ni funzo kwa wengine kujisahihisha kwayo. Kwani MS alichosema kipo katika kitabu chake (ameweka katika fasihi andishi) hivyo dahal na dahal watapita na kusoma na kugundua ukweli upo wapi.

Narudi pale pale kusema NYERERE SI MUNGU WALA MALAIKA

Mwacheni marhum apumzike kwa amani.RIP Mwl we lv u.
 
tatizo watu wengi humu jf wanabwabwaja bila kutoa hoja za kupinga kinachoongelea.

Inakuaje mtu awe mdini kwa kusema ukweli?
Kama anachosema ni uongo hao wanaoujua ukweli mbona wapo kimya?

Mohamed Said anawadanganya ninyi mliokuwa wavivu wa kufuatilia historia ya nchi hii. Wakati tunaelekea kuadhimisha miaka 50 ya uhuru alikuja hapa JF na propaganda zake za udini tukampiga maswali hadi akakimbia.
Tafuta thread yake ya harakati za waislamu na uhuru wa Tanganyika, pia tafuta thread ya Mag3 inayokanusha upotoshaji wa Mohamed Said uone alivyoshindwa kujibu hoja za msingi akaishiwa kucopy na kupaste majarida na machapisho yake ya chuki dhidi ya Nyerere na Ukristo hasa Ukatoliki.
 
Last edited by a moderator:
Angalia kichwa cha habari kinahusu nini?

lakin ukweli lazima usemwe hata kama kuna watu utawaudhi na kuwakera.

Pole sana. Tumwache MS amwage data.


Nakwambia hivi, "A stitch in time saves nine". Haya angemwambia Nyerere mwenyewe basi ili ujumbe uwe umefika pahala pake. Kama umenielewa, nashukuru. Kwaheri
 
mimi sipingani sana na maelezo ya bw said,ila siku zote nawachukia watu wanaodai kuwa kitu flani kilikuwa changu zamani,pumbaf.
hawa wasomi wetu wa kiislam ndio waliotufikisha hapa tulipo,tanganyika haikupigana vita ya uhuru kwa sababu ilikuwa rehani uno na ilitakiwa mtanzania yeyote akienda uno kudai nchi anapewa sasa hawa wasomi wetu walisubiri mpaka nyerere afe ndio waje kutulisha sumu?
walikuwa wapi?
kibinadamu hata yeye angepewa chakula akaambiwa amlishe ndugu yake kipofu lakini wale wote lazma amzidi matonge,mungu tu ndo anaweza kutenda haki.
historia inasema uislam ulikuwa zaidi maeneo ya mijini na hivyo huwezi pinga kuwa waislam ndio waanzilishi wa harakati za uhuru.
 
DINI..... UDINI.....Tusipotumia busara tutakosana na kumkose MUNGU. Kitu kimoja tu tutambue kuwa DINI zililetwa na wazungu na waarabu tena walizileta kwa kutumia mashua kwa kuwa hakukuwa na access mbadala enzi hizo. Sisi wa hapahapa tuvumiliane.
 
Mohamed Said anawadanganya ninyi mliokuwa wavivu wa kufuatilia historia ya nchi hii. Wakati tunaelekea kuadhimisha miaka 50 ya uhuru alikuja hapa JF na propaganda zake za udini tukampiga maswali hadi akakimbia.
Tafuta thread yake ya harakati za waislamu na uhuru wa Tanganyika, pia tafuta thread ya Mag3 inayokanusha upotoshaji wa Mohamed Said uone alivyoshindwa kujibu hoja za msingi akaishiwa kucopy na kupaste majarida na machapisho yake ya chuki dhidi ya Nyerere na Ukristo hasa Ukatoliki.

Sio vizuri mtu mzima kuongea uongo wapi alikimbia? Unaleta uongo JF mjadala ya Mohamed Said, ulifungwa rasmi...alikuwa na thread tatu na zote alikuwa anashusha nondo mpaka mods wakazifunga.
 
Last edited by a moderator:
WC,

Usiseme hivyo kwani naweza kupa mifano hai na wewe mwenyewe ukaona wazi kuwa alikuwa mbaguzi wa Rangi.

Mfano. Kumbuka kuwa katika Tanzania kuna watu wa rangi tofauti yaani kuna wahindi, waarabu, wazungu na watu weusi lakin wote ni watanzania.

Kumbuka na watu hao bila kujali rangi zao walipelekwa JKT mwaka mmoja mara walipokuwa wanamaliza Form six au vyuo kwa mujibu wa Sharia.

Suala langu Je umewahi kumuona Mhindi au Mwarabu kuwa katika vyombo vyenu vya ulinzi kama Jeshi, polisi, magereza n.k
Kumbuka Kwenye chombo cha kutunga Sharia yaani Bungeni wapo tena wametokana na kuchaguliwa na wananchi. Je unajuwa kwanini? au mtu akilisemea hilo kuwa amemsingizia?

Kumbuka kuwa NYERERE SI MUNGU WALA MALAIKA

Barubaru,
JKT tulikuwa tunakwenda kwa mujibu wa sheria. Mhindi au Mwarabu kuajiriwa huko kwenye vyombo vya DOLA ni hiyari ya mtu mwenyewe. Wahindi na Waarabu hata kwenye ajira hizi za kiraia kwenye vyombo vya serikali na umma ni wachache sana. Wenzetu ajira zenu zinakuwa tayari zimeandaliwa na jamii yenu.

Moja ya mambo yaliyosababisha yale maasi ya jeshi ya mwaka 1964 ni Mwalimu kuendelea kuwaajiri wazungu na wahindi ndani ya chombo hicho nyeti. Waafrika wakaona wanachelewa kupandishwa vyeo. Mwalimu aliuchukia ubaguzi wa namna yoyote tangu zamani kabisa. Unazijua zile kura tatu za Tabora? Unajua kwa nini Zuberi Mtemvu aliondoka TANU?
 
Tolerance yenu iko ZERO na MUNGU angekuwa Muislam angekuwa ameshatuteketeza tusio waislam. Kuna filamu nyingi saaaana zinazomkashifu/zinazomtusi YESU KRISTO lakini kwa vile tumezipuuzia zimekufa natural death. Tunafanya hivi simply because MUNGU wetu yu hai na kama jambo limemuudhi, then ata-act accordingly. Angalia reaction yenu kwa 'Innocence of Muslim' imefanya mamilioni ya watu (including me) tuitafute na kui-watch. Nimeshaitazama mara mbili na kuisambaza kwa baadhi ya rafiki zangu kama 25.

Muongozwe na hekima na uvumilivu ndugu zangu.

Namuomba MUNGU kila member wa JF asome hii post yako. Awaondolee uvivu wale warukia magari kwa mbele wawe na subra na kutuliza akili. The red text says it all. Thanks

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom