Kipindi cha diva Clouds FM, leo kacopy na kupaste habari ya JamiiForums

SIJAELEWA HATA ROHO. NAONA CHENGA.. USIKU MWEMA JF. KESHO NITA SOMA TENA
 
Huyo ndo kawaida yake anapita humu anaangalia story anachagua anaenda kusmulia et ametmiwa email na mtu wakat huku anatoa huyu mwehu
 
Daaah
Diva asha mchomea jamaa ujue Rabboni aliitoa hii stori akisema anajua wahusika hawapo jf
Namnukuu mwandishi kwenye sehem ya stori yake alisema

"E siyo member wa Jf yeye ni Whatsapp na facebook tu, naandika hapa nikijua she won't see this, labda baadhi ya wafanyakazi wenzetu wanatujua".

Diva kazingua, mchizi hakuwish hii stori iende cloudz angemtumia huko huko
 
Hii story anayosimulia mbona imo humu jamii forums mda mwingi, au huwa anatoa humu story then anafanya kuwa kuna watu wamemtafuta?
nyingi tuu huwa anatoa humu hasa jukwaa la MMU wiki iliyopita alitoa story humu
 
Back
Top Bottom