Kipindi cha diva Clouds FM, leo kacopy na kupaste habari ya JamiiForums

sipendi hata kumsikiliza, hajithamini kiasili, anaongea lugha mchanganyiko maringo na rafudhi za kigeni, hana jipya
sasa kachanganya na kuoba story!
 
Story nimeisoma mchana, inajina E Kama main character,... Nimemuuliza mtunzi Kama kuna maelewano naona kimya.
 
Kaiweka hadharani sasa
Uzuri ile stori nilifuatilia jamaa alisema

"E siyo member wa Jf yeye ni Whatsapp na facebook tu, naandika hapa nikijua she won't see this, labda baadhi ya wafanyakazi wenzetu wanatujua."

Sasa if alijua she wont see this, but now she will hear it kupitia diva
 
mbona kawaida ndo hivyo anafanyaga mkuu we ndo unashtukia leo. nyingi tuu
Leo nimemaliza kusikiliza michezo nkasema nimsikilize kidogo huku navuta mda wa game....mara story anayosimulia nshawahi kuisoma humu nkasema daaah
 
Hiko kipindi ni redio gani?

na vipi kama ni member wa humu wanacopy na kumtumia huyo Email??
 
Uzuri ile stori nilifuatilia jamaa alisema

"E siyo member wa Jf yeye ni Whatsapp na facebook tu, naandika hapa nikijua she won't see this, labda baadhi ya wafanyakazi wenzetu wanatujua."

Sasa if alijua she wont see this, but now she will hear it kupitia diva
inakuwa noma, atavunja ndoa za watu huyu!
 
Back
Top Bottom