Kipindi cha diva Clouds FM, leo kacopy na kupaste habari ya JamiiForums

Mkuu Rabboni umeuza mechi??



...ila Diva yule Dada yaani hayuko damuni kabisa, sipendi hata kusikia sauti yake!
Dhaaaa!!! Kiaz yule anamharibia mkuu #Rabbon# ndoa yake maana kama wife wake ataiskia hiii cjui kama kutalalika huko ndan pia E anajua n cr yake na rabbon kumbe ishafka public

Lahaulaaaa hakuna,cr chin ya jua
 
Admin wa jf watusaidie kumchukulia hatua Diva coz kama jamaa alikuwa amefanya siri na sasa huyo E akaisikia redioni na Mrs wa jamaa pia akiifuatilia akaona inamuhusu unadhani mtoa uzi atakuwa ktk mazingira gani home na kazini?
 
Sasa hii story si itafika kwa wife wake aise...mbaya sana...sijui kwanini dunia hii ukifanya dhambi lazima ijulikane?
 
SIONI UBAYA UNLESS TUNAAMUA KUWA WACHOYO WA HABARI NA HVYO HATUTAKUA TOFAUTI NA ZILE SHERIA NYIMIFU
 
Huyu dawa yake ni kumwendea kumchana.
Atafanya watu wenye stoei za ukweli wawe wanaogopa kuzileta hapa.
Mkuu umeongea kitu ambacho wengi hawajafikiria madhara yake! Watu watashindwa kuleta baadhi ya story, coz wanajua asubuhi tu zitasikika Clouds! Inatakiwa ifunguliwe Thread na kumchana huyo Bi Mdada!
 
SIONI UBAYA UNLESS TUNAAMUA KUWA WACHOYO WA HABARI NA HVYO HATUTAKUA TOFAUTI NA ZILE SHERIA NYIMIFU
humu mtu anakuwa na id ya aka, anatoa stori ya siri inayomhusukabisa! huoni kama ikiwekwa wazi upo uwezekano mhusika akajulikana?
 
Mnajuaje labda yeye ndie aliyeipost humu na pia wahusika husambaza sehemu tofauti tofauti habari isambae nyie hamtaki na Jf sio sources ya habari as per sheria za humu hivyo acheni ujinga.. Kuweni kama magreat thinker acheni watangazaji wao ndio watu haswa Wa habari nyie ni wasomaji na wasikilizaji tu au muitwe walaji... News nyingi humu huletwa na waandishi Wa habari muelewe hivyo... Pimeni tu kwanza mtaji tambua
 
Ni mwanzo wa kuishiwa, unapoanzisha kipindi kama mwandoshi unayetaka kuitandea haki tasnia yako ujifanyine tathmini kama kipindi chako kinaweza kudumu walau kwa miaka kumi huku kila wakati ukiongeza ubunifu..
Vinginevyo utafikia hatua aliyofikia huyo mwanamke ama yule aliyeamua kutuletea Punga Studio akimwacha alijisifia kwa upuuzi aufanyao....
Tatizo wanakuwa bize na mambo ya kipuuzi(Drama) ili kuendelea kuzungumzwa badala ya kuboresha kazi zao mwisho wa siku wanaishia kuiba visa na kusema uongo....

Mfano mzuri kuna yule jamaa wa twiter wa [HASHTAG]#Ask[/HASHTAG]..... huwa nimemkubali sana kwa ubunifu wake na aedelee kuwa mbunifu ili hawa wahuni na wajanja wajanja wajue nini kinahitajika na wajirekebishe vinginevyo wataishia kusaka kiki hadi z kulala na Trump...



Dunia Uwanja wa Fujo
 
Bora story aisikie mchepuko wakuu, ingawa na yeye kitawaka ofisini, ila kama akiisikia wife ni noma sana.

Maana jamaa alijieleza kwa kinagaubaga kiasi ambacho haichukui dakika 2 mhusika kuelewa kwamba inamhusu.
 
J

Je alisema source ni jf
Hakusema mkuu yaani aliishia kujichekesha tu alipokuwa anasoma kile kipengele cha penetration ndogo ya papuchi ya E.akaanza kujipandishia mizuka tuu mwisho akaaga Na kipindi kikaisha.Poor diva
 
Back
Top Bottom