Kipimo cha umasikini wa wafanyakazi wa serikali ni hiki hapa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.

2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji

PRELUDE:
NIMEONA KUNA WATU WANA NEGATIVE FEELINGS/RESPONSES. MIMI SIWACHEKI WALA KUWADHIHAKI, NASIKITIKA KUWA SERIKALI INASHINDWA KUWALIPA WAFANYAKAZI AT LEAST FEDHA YA KUKIDHI MAHITAJI MUHIMU..AMENITIES OF LIFE...BASIC, VERY BASIC NEEDS.
NINA WANAONIHUSU WANAPITIA HALI HIYO, NAWAJIBIKA KUWAPA MSAADA WAFIKE MWISHO WA MWEZI....SIWACHEKI WALA KUWADHIHAKI
 
1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.

2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji
Tanzania wote ni masikini, hata wasio watumishi kujua hilo angalie jinsi maduka ya nafaka yanavo fungiliwa kila kona, ndo uwezo wetu, supermarket ni mapambo hamna wanao ingia humo........bucha mpaka sa sita usiku nyama bado haijaisha wanunuzi hawapo duh.
 
Na wewe dalili ya ufukara wako ni kufuatilia maisha ya watu wengine wanavyoishi.

Illussions na matatizo ya akili.

Ni lini hao wafanyakazi wa serikali walikwambia wao ni MATAJIRI???
 
1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.

2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji
Hii mada imeludiwa, ni juzi tu kuna mwana JF alifungua thread kama hii,
Moderator unganisha huu uzi na ule wa juzi
 
Tanzania wote ni masikini, hata wasio watumishi kujua hilo angalie jinsi maduka ya nafaka yanavo fungiliwa kila kona, ndo uwezo wetu, supermarket ni mapambo hamna wanao ingia humo........bucha mpaka sa sita usiku nyama bado haijaisha wanunuzi hawapo duh.
Asili yetu ya kununua na kuuza Chakula siyo kwenye masuper market, na Wala siyo ndo utajiri...asili yetu na maisha yetu ni maduka makubwa ya nafaka, magulioni...na hata magengeni...uko ndo tunakoishi...hizo habari za supermarket ni za wazungu.
 
1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.

2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji
Mkuu, ina maana na wewe huwa unawachunguza kila zikifika hizo tarehe, au na wewe ni mmoja wao?
 
Back
Top Bottom