Kipimajoto ITV miaka 18 bila Baba wa Taifa; Je, misingi ya utaifa aliyosimamia inaenziwa na kuendelezwa

..miye naona hata mwendesha kipindi hakimudu vizuri..Ingekuwa Paskali (yule wa ENZI za KITIMOTO) au Majura, kipindi kingeenda vena na ndugu Harakaharaka asingebishana ili kupoteza muda..
Ni kweli, kipindi cha majadiliano kama kile huyu dada hakiwezi!
 
Gentamycine.......unamaanisha hawa ma prof wawili au hata wale wateuleee....???
Vyovyote vile nikuombe uwatake Radhi wao na pia mamlaka iliyowateuwa na sisi wenye nchi tunao ongozwa na aliyewateuwa...
 

Hayo ni maoni yako tu na wala sio facts ni ukosefu wa akili wa daraja A kuongea pumba kwa ujasiri namna hiyo.Kwa vigezo vipi unasema maprofesa ni watupu wewe umefundishwa na maprofesa vilaza ndio maana na wewe ni kilaza ndio maana stereotipically unawaza kwa namna hiyo
 
Ila Polepole si anawakilisha CCM Mpya so haina shida kama chama chake kilimuona ndiyo anayefaa zaidi kuliko wale wengine. Afu ujue toka wastaafu waambiwe wengine wanawashwa wengi wamekwepa kutoa kauli au kushiriki kwenye mambo mengi
 

Hivi Darasa la Saba huwa anafundishwa na Profesa? You're hopeless Creature on earth.
 
Mbona kwenye Tume ya Warioba hukushauri akae pembeni?!!
Kwenye tume kulikuwa na nafasi ya kuelekezana, kufafanuliana na kufundishana ikibidi ili kuwa na uelewa mpana wa pamoja. Kwa ufupi hata ww ungefit kwenye hiyo tume kwa sababu usichojua ungepata nafasi ya kuelekezwa
 
kama 10% basi bdo wapo maprofesa wenye akili.
 
Hua najiuliza hivi ingekuwaje kama Mwinyi angepiga marufuku wastaafu kuongea ongea!?
Mana Hotuba nyingi za Nyerere alizitoa baada ya kustaafu.

Kwa kweli waasisi wa Taifa hili walilijenga katika misingi ya demokrasia.

Nyerere alikua anatoa maoni yake kwa uhuru kabisa hata baada ya kustafu. Mwinyi naye aliheshimu mani yake bila kujibizana naye wala kumtolea vitisho.
Demokrasia iliyokuwepo nchini inafaa kuenziwa na kuwa mfano wa kuigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…