Kipimajoto ITV miaka 18 bila Baba wa Taifa; Je, misingi ya utaifa aliyosimamia inaenziwa na kuendelezwa

Swali dogo tu kama polepole angekuwa profesa kwa kipndi kile na polepole wa sasa wewe ungemwka katika % ipi kati ya 10% na 90%

Jumlisha hizo percentages hapo kisha gawanya kwa mbili na jibu utakalolipata ndiyo zingekuwa % za Polepole Mkuu. Sijui una swali lingine labda?
 
Tatizo la vijana wa tanzania ni kuoneana wivu na.mambo yasiyo ya msingi,

Si kwamba pole pole kaenda nje ya mada kabisa kuna mazuri pia kachangia ,

Ila.kwakuwa.tumezoea kuja na ID fake na kupinga kila.kitu basi mnadhani mnajenga kumbe tunadumaza akili zetu,

Jamii yetu imemzunguka majungu na pointi pembeni,

Humphrey si ndo huyu mlikuwa mnamshangilia akiwa na warioba?

Tuwe fair
Yani nyie watu kwa kupenda kufukua makabuli! Sasa kama alikuwa anashangiliwa akiwa na warioba ndio iwe ticket yake ya kuboronga kwa sasa?!
 
Tatizo la vijana wa tanzania ni kuoneana wivu na.mambo yasiyo ya msingi,

Si kwamba pole pole kaenda nje ya mada kabisa kuna mazuri pia kachangia ,

Ila.kwakuwa.tumezoea kuja na ID fake na kupinga kila.kitu basi mnadhani mnajenga kumbe tunadumaza akili zetu,

Jamii yetu imemzunguka majungu na pointi pembeni,

Humphrey si ndo huyu mlikuwa mnamshangilia akiwa na warioba?

Tuwe fair
Kwani kupotoka hakupo? Hamphrey wa kipindi kile anamuona apo? Be fair first!
 
Narudia tena kusema na safari hii kwa jeuri na nyodo zote kabisa kwamba 90% ya Maprofesa wa Tanzania ni ' Mabogasi ' utake usitake. Tunashinda nao 24/7 na tunawaona hivyo binafsi nazungumzia kwa upande wangu kwakuwa nina bahati kubwa sana ya kutatana nao sehemu mbalimbali za Kitaaluma. Uprofesa wao ni wa katika Vyeti vyao tu ' thinking ' yao ipo chini mno na kuna muda ukiwabatisha kuwa nao unaweza usione tofauti ya Mimi GENTAMYCINE niliyeishia darasa la Saba tu na Wao waliobahatika kufika huko Kwenu Chuo Kikuu.
Usijifariji...if possible kasome
 
Naangalia kipima joto hapa, Ndg. Pole Pole kawekwa katikati ya Proffesa Baregu na Proffesa mwingine hapa kuongelea miaka kumi na nane bila Baba wa Taifa, je misingi ya utaifa aliyoasisi inaenziwa!?

Ndg Pole Pole hapa anayoongea ki uhalisia hayaendani na Mada na amepwaya mbele ya wachangia Mada wengine.

Hili linaweza lisiwe kosa lake maana watu alionao sio level yake! Ni kosa la muandaa kipindi! Huwezi kumuweka Pole Pole katikati ya wazee tena maprofesa kujadili jambo! Huyu alitakiwa kukaa pembeni na kuwasikiliza kujifunza kutoka kwao
Waliompa kazi walimuona ni msomi zaidi,sasa wewe unamtetea,waambie ccm kwamba kazi waliompa sio level yake.huku nje ya ccm ataumbuka watu na elimu zao.
 
Mbona kwenye Tume ya Warioba hukushauri akae pembeni?!!
Kwenye tume ya Warioba si alikuwa karani wa hao wazee?! Hata ukarani angeshindwa? Issue hapa ni kujadili mambo mazito na wabobevu ya masuala ya kitaifa na kimataifa siyo propaganda ya chama.
 
Back
Top Bottom