Kipima joto cha leo.....

sio kwamba siku hiyo hukufanya jitihada za kutosha kumpulizia? maana Asprin kazi kweli mpaka umuimbie 'simama dede nikupe mkate' na kapenseli kake kakiinuka unakaimbia 'kasimama peke yake kaona mchumba wake'.

:biggrin1::biggrin1:
 
Kwa mtaji huu hakika kuna siku seva ya jf tutaivunjavunja maana kuna siku kitawaka hapa.
 
Last edited by a moderator:

mmh! we mkaliii
 
Last edited by a moderator:
Hehehe mie nimepita kuwasalimu tu na ujumbe wangu ni kwamba

"msinitafuteeee mwenzenu niko bizeeee, msinitafute mwenzenu niko bizeeee"

Mzembe nakamilisha makabrasha ya mwisho mwisho nilambe share yangu Zimbwabwe Airlines.
Erotica na sweetlady anzeni kufanya mazoezi ya kutumia pafyumu za kifahari.

Kwaherini. Akiniulizia mzembe yoyote mwambieni nimeigomea JF kuunga mkono kuhama kwa Husninyo.

DJ weka wimbo wa taifa
 
Last edited by a moderator:
Heheheeee umbea tu Remmy
We yanakuhusu nini?
Lol hata wewe na mimi ni kweli eeeh?
Hahahaaa nimuulize PJ?
BTW
Mzima wewe?


Hahahaaaaa....yote hii ni wivu tu ulionao.....
Ila ni kweli mi NAKUPENDA sana tu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…