Kipilimba, Umekubali kuvuliwa nguo?

Kipilimba, Umekubali kuvuliwa nguo?

Mkuu nilitaka kukupita bila kukufsham. Kwa nini umebadilisha avatar Picha yako tuliyokuzoea?
 
Kipilimba is there to stay, mtabwata na kuhara sana nyie bata bukini!!. Mwenye shida na Musiba, the court doors are open for you!. Kipilimba Kipilimba Kipilimba kila saaa, wehu nini nyie!? You have no chance awamu hii kubalianeni tu na hali halisi!
Hebu rudia tena kwa sauti kubwa wote wakusikie!!!!
 
Musiba atasababisha vita ya kimbari.Anaeneza chuki kila kukicha
Labda atasababisha vita vya kimbari kwa wafungwa!
Hivi mtu na akili zako utashawishika kukamata silaha kupigana na fellow Tanzanian kwa ajili ya kutetea kutajwa majizi ya rasilimali za taifa, utakuwa una akilii, matope! Hata kama ni njaa yenyewe! Upuuzi mtupu.
 
Leo tena mimi na wewe mzee wangu, usije kudhani nakuchukia baada ya wiki iliyopita kukuandikia makala nyingine. La hasha, ila nakuonea huruma sana. Ni Kama hujui umuhimu na uzito wa kazi ulionao.

Musiba si mjinga wala kichaa kama watu wanavyodhania, bali kuna mtu mwenye nguvu kubwa kuliko wote Tanzania ndo yupo nyuma ya Musiba.

Maneno anayoongea Musiba, hayaongei kwa bahati mbaya au kwa kuhisi, bali ni mkakati maalumu mzito ili kufanikisha jambo maalumu zito.

Bahati mbaya zaidi ofisi yako inadhalilishwa na Musiba, huyu ni mtu Hatari sana ambaye idara yako ilitakiwa kumnyamazisha kimya hata kwa njia zisizojulikana Kwa ajili ya usalama wa nchi.

Musiba amekuwa msiba Kwa watu, hivi hujui athari ya kauli zake na tuhuma zake Kwa watu zinaweza kuchafua usalama wa nchi?

Huyu mtu amefikia hatua ya kuwagusa hadi marais wastaafu. Unadhani ni hali ya kawaida hiyo?

Wewe Kama Mkurugenzi mkuu wa TISS, unajua majukumu yako, hakuna wa kukufundisha kazi, ila hali ilivyo inaonyesha kabisa unafundishwa kazi.

Hivi unajua kuwa vita vya ghuba vilisababishwa na mtu kama Musiba, mkimbizi wa Iraq aliyekuwa akiishi Germany?

Musiba kaumiza wengi, na anaendelea kuwaumiza, na hakuna wa kumgusa huyu mtu, yupo juu ya sheria, a strong man is behind him.

Kwanini TISS imekosa uadilifu mikononi mwako?

Nakushauri u resign ili ulinde heshima yako, vinginevyo utaendelea kuvuliwa nguo.

Nilitarajia ungeiendesha Idara kwa muundo wa CIA, MI6 au Mossad, haya mashirika yapo Kwa maslahi ya mataifa yao na watu wao, na hayatumiki na wanasiasa uchwara.

Watu wanahangaika kuipasua Tanzania, upo umekaa unawatizama tu.

Kwa hiyo unasubiri kushuhudia Tanzania ikipasuliwa na wakati uwezo wa kuzuia unao? Ni kituko cha karne mtu mmoja tu anayejiita mwanaharakati anafanya lolote atakalo na hakuna wa kumgusa.

Yetu macho, siku mkianza kuvuna mnachopanda msikimbie.
Hili goma halikuwa la kitoto......JF huwa ina watabiri wengi sanaa
 
Majuzi Musiba kamtaja huyo Kipilimba "kiaina" kuwa "mkuu wa idara/taasisi nyeti anayempa Membe siri za serikali" (of course it is true lakini Musiba si mtu stahili kusema haya)

I knew it would one day come to haunt them. Walimfuga chatu, wakamlisha sumu ya kutukana #WatuHatari, leo chatu huyo huyo kawageukia wamiliki wake.

View attachment 1152921
Hahahahahahahahahahaha.......balaa
 
Back
Top Bottom