Kipilimba, Umekubali kuvuliwa nguo?

Kipilimba, Umekubali kuvuliwa nguo?

Kweli Musiba amewakamata pabaya. Ajabu, hamuendi mahakamani mmeng'ang'ania TISS TISS. Tangu lini TISS ikaenda mahakamani? Kama mnahisi kavunja sheria mmepelekeni mahakamani. Muache kutupigia kelele za chura humu. Igeni mfano wa Sumaye na Membe. Sumaye aliwahi kulishtaki gazeti la Tanganyika Leokwa kumdhalilisha na akashinda. Leo hii Membe yuko mahakamani akidai haki yake. Hao ndio wanajua. Sio ninyi kutwa kucha TISS TISS! Handamaneni basi mwende huko TISS!
 
Hapo wewe ndo umeonekana mburula wa kiwango cha Summa cum Laude . My God . CIA nk ndo kazi huku waafrika wanaiga tu. Pole sna mkuu
Umesema serikali imzime Musiba kwa njia zisizojulikana kwa usalama wa Taifa halafu unagusia CIA na MI6 kama mifano, don't be ridiculous, ongelea mambo yenu ya third world huku kunakonuka damu za raia chini ya mikono ya dola, sio Marekani,sio UK!

It is against Federal Law, ni kinyume cha sheria, kwa serikali ya Marekani ku assasinate mtu yeyote, raia, foreigner , kiongozi wa nchi nyingine, n.k., unless ametangazwa wazi wazi bungeni au na rais kwamba ni adui mpiganaji, enemy combatant!

Kwa hiyo tafadhali tumia mifano ya kwenu huku Burundi, Tanzania, Uganda, Kenya, Rwanda, Sudan, na kwingine Afrika kuchafu huku kunakovunda damu za wananchi.
 
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake Musiba acha atoe maoni yake siasa ina mambo mengi ukiifatilia utaumiza kichwa usishangae Lissu ukamkuta CCM ndio maisha
Akina Lissu wakitoa maoni yao wanaitwa wasaliti,akina Ben saa 8 wakitoa maoni yao wanaishia kupotea,sisi tukitoa maoni yetu hapa,Max anaishia kuburuzwa mahakamani,nadhani maoni ya Msiba mkuu ni special
 
Kupata misosi yote mitatu bado sina uwakika, harafu nije ni comment hapa si ntakuwa najidanganya!!

Bora muda huu nimsaidie Mama watoto kuosha vyombo au kufua Nepi za Mtoto.
jariibu kufanya tadhimini though si utaratibu wetu,kwamba hayo unayoyaona ya muhimu kwako umeyafanya kwa muda gani na umepata nini,na unadhani ukiendelea na maisha hayo ni lini utakuwa na uhakika na milo mitatu?
 
Huyu Mzee anashindwa kujua kazi za kijasusi wakati mwingine unafanya kimya kimya kinyume na bosi wako kwa maslahi ya taifa na wala asijue ,sasa yeye sijui anangoja nini kutoa magugu .
 
Back
Top Bottom