Kipilimba, Umekubali kuvuliwa nguo?

Kipilimba, Umekubali kuvuliwa nguo?

Musiba kikubwa anachofanya ni kuwabomoa wote wanaoonekana kuwa waweza kuwa wagombea uraisi kwa tiketi ya CCM ndio lengo lake kuu. Kuwabomoa wao na wote anaohisi kuwa ni watu wao wa karibu na kubomoa anayohisi Ni mitandao yao. Hao wanaoonekana kuwa waweza kuwa wagombea uraisi ndio lengo na mkakati wake. Kwanini anawalenga hao, sijui ila sidhani Kama ni sahihi.

Kama Kuna mtu kamshauri Musiba atumie strategy hiyo kakosea Sana Tena Sana na end result mwisho wa siku itakuwa Sio nzuri.

Kuna msemo usemao ukiona Kobe kanyamaza kimya ujue anatunga Sheria.
Sikutarajia kama ungeongea point nzuri kiasi hiki, naona mmeanza kuona nuru ya ukweli ilipo...
 
Hivi kumbe Musiba anawasumbua sana vichwa ehee!! Na kama mkiendelea kumfuatilia, kumzungumzia basi atawatesa sana. Dawa ya mpumbavu ni kumpuuza tu.
Tiss kazi yao ni kutafuta habari popote pale, kuzichambua, na kushauri juu ya hatua za kufanya kwa serikali. Hawakamati,hawpigi, wala kufanya ishu yoyote ya action.....
Nani kakuambia TISS hawafanyi action?
Unamjua aliyempiga risasi Commando Tamimu wakati wa jaribio la mapinduzi ya serikali ya Nyerere? Unadhani alikuwa Police? au mwanajeshi?
 
Kipilimba is there to stay, mtabwata na kuhara sana nyie bata bukini!!. Mwenye shida na Musiba, the court doors are open for you!. Kipilimba Kipilimba Kipilimba kila saaa, wehu nini nyie!? You have no chance awamu hii kubalianeni tu na hali halisi!
 
Nani kakuambia TISS hawafanyi action?
Unamjua aliyempiga risasi Commando Tamimu wakati wa jaribio la mapinduzi ya serikali ya Nyerere? Unadhani alikuwa Police? au mwanajeshi?
Watajulia wapi hao makapuku, kazi yao kubwata tuuu!
 
Tanzania Sikh si nyingi itaogelea kwenye bahari ya damu, baadaye itameguka vipande vipande, dhambi ya kutokuheshimu demokrasia itaitafuna nchi
Ni kweli kabisa mkuu, 2020 ndo mwaka mbaya kuliko miaka yote ya uchaguzi Tanzania.
Hebu vuta hii picha, Mkapa, na Kikwete wanasimama jukwaani ili kumpigia kampeni mgombea Urais wa Upinzani, je? nini kitatokea? Kwa akili ndogo za jiwe anaweza kuamuru wakamatwe au wapigwe shaba, hapo hapo jeshi litachukua nchi na kusimamisha uchaguzi au jeshi litapasuka vipande,team mabeyo, loyal to Mr Stone na team upinzani loyal to wananchi.
Hakika TB JOSHUA ni mtumishi wa Mungu, baada ya jiwe kuteuliwa kugombea urais, Mungu alimwonyesha TB JOSHUA hatima mbaya kabisa ya Tanzania.
Ndipo alipokuja na ndege yake Tanzania, akiwa hana viatu miguuni kama ishara ya kuiteka ardhi ya Tanzania ili isimwage Damu.
Aliongea maneno Mazito sana juu ya nchi
 
Can yo please share what TB Joshua said about Tanzania? Sio wengi waliosikia maana ninahakika kama kuna alilosema haikua hadharani
 
My Son drink water (mwanangu kunywa maji) naomba niseme neno hapa... Idara ya USALAMA wa taifa ndio kama idara moyo wa nchi... Hivyo utendaji wao kidogo ni tofauti kwakuwa wao ishu zao haziendi polisi au mahakamani bali wao huwa ni backup tu... Kwahiyo huchukua muda mrefu kidogo kuchukua maamuzi fulani japo hili kidogo ni tatizo kwakuwa kuna athari zinakuwa tayari zishatokea
Kama unakumbuka hapo nyuma bash boi alitaka kuivuruga hii idara lakini kilichokuja kutokea wote tulikiona.. Na kuna mengi nyuma yake hatukuyafahamu
Swala la Musiba ambaye kwasasa ni kama msiba wa taifa ni swala la muda tuu kabla hajanyooshwa akanyooka
Hofu yangu ni moja yeyote anayempa jeuri na kiburi Musiba amakinike naye ili asije kumletea msiba mkubwa
Uko sahihi mkuu, kumnyoosha Musiba si rahisi kihivyo, nyuma ya Musiba kuna mtu mzito sana, tatizo watu wengi wanampima Musiba kwenye mzani wa kg 10,badala ya mzani wa Tani 1,000.
Huwezi kumpata Musiba kama humjapata mtu mwenye nguvu kubwa kuliko wote Tanzania
 
Kipilimba is there to stay, mtabwata na kuhara sana nyie bata bukini!!. Mwenye shida na Musiba, the court doors are open for you!. Kipilimba Kipilimba Kipilimba kila saaa, wehu nini nyie!? You have no chance awamu hii kubalianeni tu na hali halisi!
Hapa Duniani kosa vyote ila usikose akili
 
Kweli Musiba amewakamata pabaya. Ajabu, hamuendi mahakamani mmeng'ang'ania TISS TISS. Tangu lini TISS ikaenda mahakamani? Kama mnahisi kavunja sheria mmepelekeni mahakamani. Muache kutupigia kelele za chura humu. Igeni mfano wa Sumaye na Membe. Sumaye aliwahi kulishtaki gazeti la Tanganyika Leokwa kumdhalilisha na akashinda. Leo hii Membe yuko mahakamani akidai haki yake. Hao ndio wanajua. Sio ninyi kutwa kucha TISS TISS! Handamaneni basi mwende huko TISS!
Kilichompata NGWENA na KIBOKO ni hivyo hivyo.
 
Mkuu Marekani imeshiriki ku-assassinate viongozi wengi miaka ile ya 1960 wakati wa vuguvugu la mataifa ya afrika kutafuta uhuru.

Ingilia maslahi ya Marekani moja kwa moja halafu utaona kipi kitakachokukuta. Marekani anadukua maongezi ya simu ya karibu dunia nzima halafu ashindwe kumshughulikia mtu mmoja tu mwenye kujifanya mjuaji!.
Duh...na wewe mkuu, kuna mtu ka hack account yako au ni wewe original?
Inakuwaje leo mnaandika point tupu tofauti na siku zote?
 
Ni kweli kabisa mkuu, 2020 ndo mwaka mbaya kuliko miaka yote ya uchaguzi Tanzania.
Hebu vuta hii picha, Mkapa, na Kikwete wanasimama jukwaani ili kumpigia kampeni mgombea Urais wa Upinzani, je? nini kitatokea? Kwa akili ndogo za jiwe anaweza kuamuru wakamatwe au wapigwe shaba, hapo hapo jeshi litachukua nchi na kusimamisha uchaguzi au jeshi litapasuka vipande,team mabeyo, loyal to Mr Stone na team upinzani loyal to wananchi.
Hakika TB JOSHUA ni mtumishi wa Mungu, baada ya jiwe kuteuliwa kugombea urais, Mungu alimwonyesha TB JOSHUA hatima mbaya kabisa ya Tanzania.
Ndipo alipokuja na ndege yake Tanzania, akiwa hana viatu miguuni kama ishara ya kuiteka ardhi ya Tanzania ili isimwage Damu.
Aliongea maneno Mazito sana juu ya nchi
Mental Masterbation gives relieve! Isn't it?
 
Halafu assassination character ni tabia ya mashirika yote ya kijasusi Duniani kwa mtu yoyote aliye hatari Kwa usalama wa nchi nadhani hilo hulijui

hahahahaaa....

hiyo ni third world huku tu!

wenzetu wana think, wanatumia vichwa, wanajua ukiruhusu serikali kuua watu kisiri siri inagueka mchezo mchafu wa kisiasa, utahalalisha watu kuuliwa kwa kushukiwa kuhatarisha Taifa, kumbe mtu alikuwa anakosoa serikali...
 
Leo tena mimi na wewe mzee wangu, usije kudhani nakuchukia baada ya wiki iliyopita kukuandikia makala nyingine. La hasha, ila nakuonea huruma sana. Ni Kama hujui umuhimu na uzito wa kazi ulionao.

Musiba si mjinga wala kichaa kama watu wanavyodhania, bali kuna mtu mwenye nguvu kubwa kuliko wote Tanzania ndo yupo nyuma ya Musiba.

Maneno anayoongea Musiba, hayaongei kwa bahati mbaya au kwa kuhisi, bali ni mkakati maalumu mzito ili kufanikisha jambo maalumu zito.

Bahati mbaya zaidi ofisi yako inadhalilishwa na Musiba, huyu ni mtu Hatari sana ambaye idara yako ilitakiwa kumnyamazisha kimya hata kwa njia zisizojulikana Kwa ajili ya usalama wa nchi.

Musiba amekuwa msiba Kwa watu, hivi hujui athari ya kauli zake na tuhuma zake Kwa watu zinaweza kuchafua usalama wa nchi?

Huyu mtu amefikia hatua ya kuwagusa hadi marais wastaafu. Unadhani ni hali ya kawaida hiyo?

Wewe Kama Mkurugenzi mkuu wa TISS, unajua majukumu yako, hakuna wa kukufundisha kazi, ila hali ilivyo inaonyesha kabisa unafundishwa kazi.

Hivi unajua kuwa vita vya ghuba vilisababishwa na mtu kama Musiba, mkimbizi wa Iraq aliyekuwa akiishi Germany?

Musiba kaumiza wengi, na anaendelea kuwaumiza, na hakuna wa kumgusa huyu mtu, yupo juu ya sheria, a strong man is kubanwaa yabehind him.

Kwanini TISS imekosa uadilifu mikononi mwako?

Nakushauri u resign ili ulinde heshima yako, vinginevyo utaendelea kuvuliwa nguo.

Nilitarajia ungeiendesha Idara kwa muundo wa CIA, MI6 au Mossad, haya mashirika yapo Kwa maslahi ya mataifa yao na watu wao, na hayatumiki na wanasiasa uchwara.

Watu wanahangaika kuipasua Tanzania, upo umekaa unawatizama tu.

Kwa hiyo unasubiri kushuhudia Tanzania ikipasuliwa na wakati uwezo wa kuzuia unao? Ni kituko cha karne mtu mmoja tu anayejiita mwanaharakati anafanya lolote atakalo na hakuna wa kumgusa.

Yetu macho, siku mkianza kuvuna mnachopanda msikimbie.
naona wazee na wanachama wa "saccos" baada ya kubanwa kuliibi taifa sasa wameamua kujaribu kulea mfarakano wa watu na idara za serikali ili waweze "kuliibia taifa" katika ya huomfarakano. msije tu mkakimbilia nchi jirani
 
Back
Top Bottom