Unaweza kumsema kumbe ndiye aliye nyuma yake, haya mambo yana mkono wa idara yote. Sifia zote ukandamizaji wa upinzani, mabadiliko na utungwaji wa sheria za takwimu, makosa ya mtandaoni, sheria ya habari, na sasa sheria ya mashirika ya kujitolea.
Ili kumnyosha mtu anatakiwa asikie sauti yako tu, unalosema kuwa anavuliwa nguo siyo kweli. Baada ya 2020 kutakuwa na vibweka zaidi. Taarifa na sifia zitatoka huko vijijini na watunga sheria ambao watakuwa wa upande mmoja na wachache sana kutoka kwa mamluki wa vyama vya siasa wanaenda kutunga nyongeza ya miaka ya utawala.
Na huyuhuyu huenda akawa mbunge na kuwa waziri wa mambo ya ndani na atakunyosha. Kuna jeshi linaandaliwa kuwamaliza kabisa wapinzani linaitwa green nini sijui, litaua na kuharibu wapinzani waziwazi hasa wenye ushawishi mbele yake mkuu wa idara.
Kwa nini watoa maoni, wenye kutafakari na wenye mawazo mbadala wanapingwa kwa nguvu zote hata kuuliwa ni sawa kuna jambo kubwa acha tusibiri.