Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,198
- 162,739
Yametimia,leo kageukwa.
Team Kikwete wapo chama gani.?hii ni kwa sababu Kapilimba ni team Kikwete
Aliyokuwa anayafanya Musiba yalikuwa hayana baraka za Magu?Kumbe Rais Magufuli ni msikivu sana.
P
VP Leo nadhan umeamin humu kuna watu zaidi ya,,,, ,,,, utamalizia mwenyeweWewe wa.kumfundusha Kipilimba kazi ?. dunia imekwisha![]()
Tanzania intelligence of sukuma society , that make sense by the way.
Tanzania intelligence of sukuma society , that make sense by the way.
membe yuko chama gani ?Team Kikwete wapo chama gani.?
Leo kaanza chekechea basi. Huko aliko anasoma namba.Wewe wa.kumfundusha Kipilimba kazi ?. dunia imekwisha![]()
😆😆😆😆Wewe wa.kumfundusha Kipilimba kazi ?. dunia imekwisha![]()
Hakika ni msikivu .... Bado ukuu wa wilaya wako🤣🤣🤣Kumbe Rais Magufuli ni msikivu sana.
P
labda ni kuboresha tu...............Membe Kweli anatisha. Naona watu wake wanang'olewa mmoja baada ya mwingine.
Yametimia,leo kageukwa.
Wewe wa.kumfundusha Kipilimba kazi ?. dunia imekwisha![]()
Nakumbuka ww ndo umewai sema kua kapilimba aliwekwa na membe usalama wa taifa na kila nafasi ambazo alikua akiacha membe kapilimba anaingia leo ndo mkubwa kashituka na kumtengua kitachofuata ni kupangiwa ubaloziMajuzi Musiba kamtaja huyo Kipilimba "kiaina" kuwa "mkuu wa idara/taasisi nyeti anayempa Membe siri za serikali" (of course it is true lakini Musiba si mtu stahili kusema haya)
I knew it would one day come to haunt them. Walimfuga chatu, wakamlisha sumu ya kutukana #WatuHatari, leo chatu huyo huyo kawageukia wamiliki wake.
View attachment 1152921