Another crazy responseWewe wa.kumfundusha Kipilimba kazi ?. dunia imekwisha![]()
Musiba kikubwa anachofanya ni kuwabomoa wote wanaoonekana kuwa waweza kuwa wagombea uraisi kwa tiketi ya CCM ndio lengo lake kuu. Kuwabomoa wao na wote anaohisi kuwa ni watu wao wa karibu na kubomoa anayohisi Ni mitandao yao. Hao wanaoonekana kuwa waweza kuwa wagombea uraisi ndio lengo na mkakati wake. Kwanini anawalenga hao, sijui ila sidhani Kama ni sahihi.
Kama Kuna mtu kamshauri Musiba atumie strategy hiyo kakosea Sana Tena Sana na end results mwisho wa siku itakuwa Sio nzuri.
Kuna msemo usemao ukiona Kobe kanyamaza kimya ujue anatunga Sheria.
Wewe ndiye musiba? basi tumekwisha kichaa ekapewa runguTISS huwa hawafanyi kazi kwa shinikizo,kuna watu wabobezi na wa ana akili za kutisha
Kama Musiba ana kuudhi mpeleke mahakamani kama membe alivyofanya
Kwa sasa wanafanya kazi zote za watu wasiojulikana. Wanateka wanapoteza na ni makada wa chama chao kuangamiza mawazo mbadala.Hivi kumbe Musiba anawasumbua sana vichwa ehee!! Na kama mkiendelea kumfuatilia, kumzungumzia basi atawatesa sana. Dawa ya mpumbavu ni kumpuuza tu.
Tiss kazi yao ni kutafuta habari popote pale, kuzichambua, na kushauri juu ya hatua za kufanya kwa serikali. Hawakamati,hawpigi, wala kufanya ishu yoyote ya action.....
Mkuu, ngoja nikupe like nimeona chief Maxence Melo ametoa ya kwake hapoMusiba kikubwa anachofanya ni kuwabomoa wote wanaoonekana kuwa waweza kuwa wagombea uraisi kwa tiketi ya CCM ndio lengo lake kuu. Kuwabomoa wao na wote anaohisi kuwa ni watu wao wa karibu na kubomoa anayohisi Ni mitandao yao. Hao wanaoonekana kuwa waweza kuwa wagombea uraisi ndio lengo na mkakati wake. Kwanini anawalenga hao, sijui ila sidhani Kama ni sahihi.
Kama Kuna mtu kamshauri Musiba atumie strategy hiyo kakosea Sana Tena Sana na end results mwisho wa siku itakuwa Sio nzuri.
Kuna msemo usemao ukiona Kobe kanyamaza kimya ujue anatunga Sheria.
Tanzania Sikh si nyingi itaogelea kwenye bahari ya damu, baadaye itameguka vipande vipande, dhambi ya kutokuheshimu demokrasia itaitafuna nchiLeo tena mimi na wewe mzee wangu, usije kudhani nakuchukia baada ya wiki iliyopita kukuandikia makala nyingine. La hasha, ila nakuonea huruma sana. Ni Kama hujui umuhimu na uzito wa kazi ulionao.
Musiba si mjinga wala kichaa kama watu wanavyodhania, bali kuna mtu mwenye nguvu kubwa kuliko wote Tanzania ndo yupo nyuma ya Musiba.
Maneno anayoongea Musiba, hayaongei kwa bahati mbaya au kwa kuhisi, bali ni mkakati maalumu mzito ili kufanikisha jambo maalumu zito.
Bahati mbaya zaidi ofisi yako inadhalilishwa na Musiba, huyu ni mtu Hatari sana ambaye idara yako ilitakiwa kumnyamazisha kimya hata kwa njia zisizojulikana Kwa ajili ya usalama wa nchi.
Musiba amekuwa msiba Kwa watu, hivi hujui athari ya kauli zake na tuhuma zake Kwa watu zinaweza kuchafua usalama wa nchi?
Huyu mtu amefikia hatua ya kuwagusa hadi marais wastaafu. Unadhani ni hali ya kawaida hiyo?
Wewe Kama Mkurugenzi mkuu wa TISS, unajua majukumu yako, hakuna wa kukufundisha kazi, ila hali ilivyo inaonyesha kabisa unafundishwa kazi.
Hivi unajua kuwa vita vya ghuba vilisababishwa na mtu kama Musiba, mkimbizi wa Iraq aliyekuwa akiishi Germany?
Musiba kaumiza wengi, na anaendelea kuwaumiza, na hakuna wa kumgusa huyu mtu, yupo juu ya sheria, a strong man is behind him.
Kwanini TISS imekosa uadilifu mikononi mwako?
Nakushauri u resign ili ulinde heshima yako, vinginevyo utaendelea kuvuliwa nguo.
Nilitarajia ungeiendesha Idara kwa muundo wa CIA, MI6 au Mossad, haya mashirika yapo Kwa maslahi ya mataifa yao na watu wao, na hayatumiki na wanasiasa uchwara.
Watu wanahangaika kuipasua Tanzania, upo umekaa unawatizama tu.
Kwa hiyo unasubiri kushuhudia Tanzania ikipasuliwa na wakati uwezo wa kuzuia unao? Ni kituko cha karne mtu mmoja tu anayejiita mwanaharakati anafanya lolote atakalo na hakuna wa kumgusa.
Yetu macho, siku mkianza kuvuna mnachopanda msikimbie.
Musiba anamtukana hadi VASCO na TISS kweli joka wamelifuga linaanza kuwala.Leo tena mimi na wewe mzee wangu, usije kudhani nakuchukia baada ya wiki iliyopita kukuandikia makala nyingine. La hasha, ila nakuonea huruma sana. Ni Kama hujui umuhimu na uzito wa kazi ulionao.
Musiba si mjinga wala kichaa kama watu wanavyodhania, bali kuna mtu mwenye nguvu kubwa kuliko wote Tanzania ndo yupo nyuma ya Musiba.
Maneno anayoongea Musiba, hayaongei kwa bahati mbaya au kwa kuhisi, bali ni mkakati maalumu mzito ili kufanikisha jambo maalumu zito.
Bahati mbaya zaidi ofisi yako inadhalilishwa na Musiba, huyu ni mtu Hatari sana ambaye idara yako ilitakiwa kumnyamazisha kimya hata kwa njia zisizojulikana Kwa ajili ya usalama wa nchi.
Musiba amekuwa msiba Kwa watu, hivi hujui athari ya kauli zake na tuhuma zake Kwa watu zinaweza kuchafua usalama wa nchi?
Huyu mtu amefikia hatua ya kuwagusa hadi marais wastaafu. Unadhani ni hali ya kawaida hiyo?
Wewe Kama Mkurugenzi mkuu wa TISS, unajua majukumu yako, hakuna wa kukufundisha kazi, ila hali ilivyo inaonyesha kabisa unafundishwa kazi.
Hivi unajua kuwa vita vya ghuba vilisababishwa na mtu kama Musiba, mkimbizi wa Iraq aliyekuwa akiishi Germany?
Musiba kaumiza wengi, na anaendelea kuwaumiza, na hakuna wa kumgusa huyu mtu, yupo juu ya sheria, a strong man is behind him.
Kwanini TISS imekosa uadilifu mikononi mwako?
Nakushauri u resign ili ulinde heshima yako, vinginevyo utaendelea kuvuliwa nguo.
Nilitarajia ungeiendesha Idara kwa muundo wa CIA, MI6 au Mossad, haya mashirika yapo Kwa maslahi ya mataifa yao na watu wao, na hayatumiki na wanasiasa uchwara.
Watu wanahangaika kuipasua Tanzania, upo umekaa unawatizama tu.
Kwa hiyo unasubiri kushuhudia Tanzania ikipasuliwa na wakati uwezo wa kuzuia unao? Ni kituko cha karne mtu mmoja tu anayejiita mwanaharakati anafanya lolote atakalo na hakuna wa kumgusa.
Yetu macho, siku mkianza kuvuna mnachopanda msikimbie.
Toa yako uone kilicho mtoa kanga manyoya shingoni.Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake Musiba acha atoe maoni yake siasa ina mambo mengi ukiifatilia utaumiza kichwa usishangae Lissu ukamkuta CCM ndio maisha
Ni wewe kweli umesema hayaMusiba kikubwa anachofanya ni kuwabomoa wote wanaoonekana kuwa waweza kuwa wagombea uraisi kwa tiketi ya CCM ndio lengo lake kuu. Kuwabomoa wao na wote anaohisi kuwa ni watu wao wa karibu na kubomoa anayohisi Ni mitandao yao. Hao wanaoonekana kuwa waweza kuwa wagombea uraisi ndio lengo na mkakati wake. Kwanini anawalenga hao, sijui ila sidhani Kama ni sahihi.
Kama Kuna mtu kamshauri Musiba atumie strategy hiyo kakosea Sana Tena Sana na end result mwisho wa siku itakuwa Sio nzuri.
Kuna msemo usemao ukiona Kobe kanyamaza kimya ujue anatunga Sheria.
My Son drink water (mwanangu kunywa maji) naomba niseme neno hapa... Idara ya USALAMA wa taifa ndio kama idara moyo wa nchi... Hivyo utendaji wao kidogo ni tofauti kwakuwa wao ishu zao haziendi polisi au mahakamani bali wao huwa ni backup tu... Kwahiyo huchukua muda mrefu kidogo kuchukua maamuzi fulani japo hili kidogo ni tatizo kwakuwa kuna athari zinakuwa tayari zishatokeaLeo tena mimi na wewe mzee wangu, usije kudhani nakuchukia baada ya wiki iliyopita kukuandikia makala nyingine. La hasha, ila nakuonea huruma sana. Ni Kama hujui umuhimu na uzito wa kazi ulionao.
Musiba si mjinga wala kichaa kama watu wanavyodhania, bali kuna mtu mwenye nguvu kubwa kuliko wote Tanzania ndo yupo nyuma ya Musiba.
Maneno anayoongea Musiba, hayaongei kwa bahati mbaya au kwa kuhisi, bali ni mkakati maalumu mzito ili kufanikisha jambo maalumu zito.
Bahati mbaya zaidi ofisi yako inadhalilishwa na Musiba, huyu ni mtu Hatari sana ambaye idara yako ilitakiwa kumnyamazisha kimya hata kwa njia zisizojulikana Kwa ajili ya usalama wa nchi.
Musiba amekuwa msiba Kwa watu, hivi hujui athari ya kauli zake na tuhuma zake Kwa watu zinaweza kuchafua usalama wa nchi?
Huyu mtu amefikia hatua ya kuwagusa hadi marais wastaafu. Unadhani ni hali ya kawaida hiyo?
Wewe Kama Mkurugenzi mkuu wa TISS, unajua majukumu yako, hakuna wa kukufundisha kazi, ila hali ilivyo inaonyesha kabisa unafundishwa kazi.
Hivi unajua kuwa vita vya ghuba vilisababishwa na mtu kama Musiba, mkimbizi wa Iraq aliyekuwa akiishi Germany?
Musiba kaumiza wengi, na anaendelea kuwaumiza, na hakuna wa kumgusa huyu mtu, yupo juu ya sheria, a strong man is behind him.
Kwanini TISS imekosa uadilifu mikononi mwako?
Nakushauri u resign ili ulinde heshima yako, vinginevyo utaendelea kuvuliwa nguo.
Nilitarajia ungeiendesha Idara kwa muundo wa CIA, MI6 au Mossad, haya mashirika yapo Kwa maslahi ya mataifa yao na watu wao, na hayatumiki na wanasiasa uchwara.
Watu wanahangaika kuipasua Tanzania, upo umekaa unawatizama tu.
Kwa hiyo unasubiri kushuhudia Tanzania ikipasuliwa na wakati uwezo wa kuzuia unao? Ni kituko cha karne mtu mmoja tu anayejiita mwanaharakati anafanya lolote atakalo na hakuna wa kumgusa.
Yetu macho, siku mkianza kuvuna mnachopanda msikimbie.
Tena kwa njia mbali mbali.Acha uongo, dunia nzima secret service wana siri nzito za ku eliminate watu bila nyinyi kujua!
Kama ana masikio ya kusikia amekusikia loud and clear.Leo tena mimi na wewe mzee wangu, usije kudhani nakuchukia baada ya wiki iliyopita kukuandikia makala nyingine. La hasha, ila nakuonea huruma sana. Ni Kama hujui umuhimu na uzito wa kazi ulionao.
Musiba si mjinga wala kichaa kama watu wanavyodhania, bali kuna mtu mwenye nguvu kubwa kuliko wote Tanzania ndo yupo nyuma ya Musiba.
Maneno anayoongea Musiba, hayaongei kwa bahati mbaya au kwa kuhisi, bali ni mkakati maalumu mzito ili kufanikisha jambo maalumu zito.
Bahati mbaya zaidi ofisi yako inadhalilishwa na Musiba, huyu ni mtu Hatari sana ambaye idara yako ilitakiwa kumnyamazisha kimya hata kwa njia zisizojulikana Kwa ajili ya usalama wa nchi.
Musiba amekuwa msiba Kwa watu, hivi hujui athari ya kauli zake na tuhuma zake Kwa watu zinaweza kuchafua usalama wa nchi?
Huyu mtu amefikia hatua ya kuwagusa hadi marais wastaafu. Unadhani ni hali ya kawaida hiyo?
Wewe Kama Mkurugenzi mkuu wa TISS, unajua majukumu yako, hakuna wa kukufundisha kazi, ila hali ilivyo inaonyesha kabisa unafundishwa kazi.
Hivi unajua kuwa vita vya ghuba vilisababishwa na mtu kama Musiba, mkimbizi wa Iraq aliyekuwa akiishi Germany?
Musiba kaumiza wengi, na anaendelea kuwaumiza, na hakuna wa kumgusa huyu mtu, yupo juu ya sheria, a strong man is behind him.
Kwanini TISS imekosa uadilifu mikononi mwako?
Nakushauri u resign ili ulinde heshima yako, vinginevyo utaendelea kuvuliwa nguo.
Nilitarajia ungeiendesha Idara kwa muundo wa CIA, MI6 au Mossad, haya mashirika yapo Kwa maslahi ya mataifa yao na watu wao, na hayatumiki na wanasiasa uchwara.
Watu wanahangaika kuipasua Tanzania, upo umekaa unawatizama tu.
Kwa hiyo unasubiri kushuhudia Tanzania ikipasuliwa na wakati uwezo wa kuzuia unao? Ni kituko cha karne mtu mmoja tu anayejiita mwanaharakati anafanya lolote atakalo na hakuna wa kumgusa.
Yetu macho, siku mkianza kuvuna mnachopanda msikimbie.
Inaweza ikawarudi hiiMusiba anatumika ili Kapilimba ang'olewe
Hata mimi nimeinusa hiyoMusiba anatumika ili Kapilimba ang'olewe