unajua kiepe wewe? bna natania ngoja nifikiriechips mayai inaweza kua kivutio kwa watu kutembelea banda langu?
wengine huwa wanaweka nini?fikiria plz,ntafurai kama utanisaidia kunipa wazo zuri?
kama nini kuwa muwazi wengine hata airport hatujawai kufika tuambie kwanza tujue cha kukusaidiawengine uwa wanaweka vitu ambavyo ni nadra kuvipata mataifa mengine pamoja na vitu vya asili kutoka nchini kwao
hahaha nimeipenda iyo mkuu,bendera nisha ipata nilienda kuiomba kwa bolozi wetu nchini apaJe, wenzako wanaweka nini kama Identity ya mataifa yao?
Chukua Bendera ya taifa letu, chomeka kwenye kimti, kisha iache ipepee huku unasakata singeli kwa pembeni na picha ya Msaga Sumu au Man Fongo, hakika utatutambulisha kimataifa.
Feel the difference.
balozi sio bolozi dogo !hahaha nimeipenda iyo mkuu,bendera nisha ipata nilienda kuiomba kwa bolozi wetu nchini apa