Kipi kinapendwa na wanawake mbali na Status?

Kipi kinapendwa na wanawake mbali na Status?

Nikikuita mkorofi unabisha. Kusema sijauona ugali kwa miezi mi-8 maana yake nakula chips? Haya bana.

Sasa hapo ukorofi wangu nn? Yaani wewe kila nitakachoandika mimi mkorofi, basi unakula ubwabwa thi ndio eeh mdogo wangu.
 
kumbe mara mojamoja una akili sasa mbona wajitia wenge kushabikia ukawa, otherwise ungekuwa na akili kama dunia nzima


Pamoja na hayo hapo juu lakini
-mpe social life
- mpe muda wa kuongea umbea
-mpe loop holes kwa baadhi ya mambo
Kishapo ukikikamata kipochi manyoya kisulubu kisawasawa uone kaa utaachwa...ukiingia huko upole peleka kureeee...ire ni vita mura
 
1. Pesa
2.dyudyu sio kibamia niseme poo kitandani
3. Social life.
4.peace .
5.Nibadili mboga, nguo na maisha yenye upendo na amsha amsha. hapo sibanduki ng'o
 
1. Pesa
2.dyudyu sio kibamia niseme poo kitandani
3. Social life.
4.peace .
5.Nibadili mboga, nguo na maisha yenye upendo na amsha amsha. hapo sibanduki ng'o

mi nna mshikio wa maana co kibamia,na mmb fln kwa bed najarbu.Vp nitupe ndoana
 
wanawake tuambieni maana imekuwa taaaaabu kuwaelewa mnachokpenda.kidume ht uwe na pesa,mpole na mwenye mapenzi ya kweli pia waweza achwa.valentina,masai dada,lara0(1) tupeni ya moyoni
kudanganywa...
 
Back
Top Bottom